Mbowe ametumia ujana wake wote kuitesekea CHADEMA kwa jasho na machozi

Zile post zako za kumponda vip Leo Kawa malaika kwako?
 
Je, hili swala la jasho, damu na machozi ni swala la vijana wa UV kufurahia? tumepoteza sana muelekeo hii jumuiya hatujui hasa tunapaswa kufanya nini wakati gani.
Ukiona kwa maadui wameanza kupigana wao kwa wao, unaachaje kufurahia? Acha UVCCM wafurahie maana mambo yao yamewanyookea.

Bravo UVCCM!
 
Mwashambwa pumzika kdg kaka.. au unaumwa?
 
Wewe leo,, tena ghafla ndiye wa kumsifia Mbowe, ama kweli tembea uone maajabu. Hongera kwa unafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…