Mbowe ametumia ujana wake wote kuitesekea CHADEMA kwa jasho na machozi

Waliojitolea uhai kuipambania Tanzania kama Shujaa Magufuli wao watasemaje !!!
 
Ccm yote inampigia tumba mbowe, imekuwa vituko, ni kama wanamkejeli, imekuwa too much, kuna mwingine kaandika huko x mbowe asikubali kushindwa na lissu atakuwa fala, eti amepigania sana chama cha mkwe wake. Hii ni kejeli, hawa makada wa ccm ni wapuuzi kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa na kumvisha kilemba cha ukoka mbowe, hata timu ya mbowe hawafanyi upuuzi huu
 
Ujinga ni kufanya jambo lile lile kwakutumia njia ileile hata akili zilezile ukitegemea matokeo chanya

Taking things and people for granted
 
Kama una ubavu nenda kachukue Fomu ushindane Naye.
 
Hiyo sio Hoja ni swali ,Swali hilo unapaswa kujibu wewe mwenyekiti wako nyerere aliacha madaraka kwa muda gani baada yakupambania CCM
Ndio Maana nasema acha Mwamba Aendelea kuongoza CHADEMA na kama kuna anayeona kuwa amekaa muda mrefu nasi akachukue Fomu kushindana naye kwenye sanduku la kura
 
Si unatambua ni mtu wenu ndio maana mnapambapamba na mnajua kabisa kwa kuendelea kwake chadema itakuwa kama jibwa linaloweka mkia tumboni mnajua kabisa tundu akishika nafasi ya uongozi mtapata sana shida
 
Unampigia debe mwana ccm mwenzako naona
 
Si unatambua ni mtu wenu ndio maana mnapambapamba na mnajua kabisa kwa kuendelea kwake chadema itakuwa kama jibwa linaloweka mkia tumboni mnajua kabisa tundu akishika nafasi ya uongozi mtapata sana shida
Hakuna mwenye akili Timamu anayeweza mpa lissu kura ya ndio.
 
Ndio Maana nasema acha Mwamba Aendelea kuongoza CHADEMA na kama kuna anayeona kuwa amekaa muda mrefu nasi akachukue Fomu kushindana naye kwenye sanduku la kura
Sawa mwenyekiti wako alipambania pia Chama alikaa muda gani?
 
halafu eti anakuja mtu kajiunga juzi tu chadema, anakuja na makelele na mdomo tu, eti anataka apambane nae uongozini,

vibwengo vingine bana dah 🤣
 
halafu eti anakuja mtu kajiunga juzi tu chadema, anakuja na makelele na mdomo tu, eti anataka apambane nae uongozini,

vibwengo vingine bana dah 🤣
Ni vichekesho sana .Mtu hajui CHADEMA imejengwaje jengwaje na ni gharama kiasi gani imetumika halafu leo anataka kuigawa CHADEMA kwa mdomo wake wa uropokaji na Mihemuko.
 
Ni vichekesho sana .Mtu hajui CHADEMA imejengwaje jengwaje na ni gharama kiasi gani imetumika halafu leo anataka kuigawa CHADEMA kwa mdomo wake wa uropokaji na Mihemuko.
wacha mdomo wake na makelele yake yamnyooshe sasa automatically, ili aianze 2025 bila cheo lakini pia ugombeaji urasi kupitia chadema asahau kabisa yaani..
 
Kama una ubavu nenda kachukue Fomu ushindane Naye.
nimefanikiwa kunyukana na mwenzako tlaatlaah kwa wakati mmoja ila nyuzi tofauti. Mnafanana nyuzi zenu kumshadidia mbowe na kumbondea lissu huku nyie nyote mkionekana ni ccm kindakindaki mnaoandika upupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…