Mbowe ametumia ujana wake wote kuitesekea CHADEMA kwa jasho na machozi

Acha kuweweseka na kuleta uzushi hapa .kama unataka ungegombea wewe.
 
Tafuta maandiko yangu soma ukiwa umetulia maana nilishaandika kila kitu.
 
Mama amelifikia lijinga kama wewe. Hasara kubwa kwa nchi yetu kuwa na chizi na shetani kama wewe. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Lisu atashindwa vibaya matokeo yake atahama chama atakimbilia ACT
ACT watampokea kwa shingo upande.Wametulia na utaratibu wao, akiingia ataanza fukunyuku, kutaka uongozi - ataanza kuhoji Zitto ni nani pale na yule mama ni nani..hahaha..then atahitaji kiti cha Zitto. Na vile anawafuasi wanaharakati kibao mtandaoni ACT itaanza kushambuliwa kwa kunyima democrasia na kuwa na cheo cha Zitto ambacho hakieleweki.
 
Lucas umeandika yoote lakini umesahau kitu kimoja ambacho wa TZ wanapaswa kukumbushwa ya Kuwa Mwamba ndo aliefanya mpango na kusimamia kupelekwa Lissu Nairobi kwa mamtibabu baada ya kupigwa risasi kule Dodoma ile ilitaka ujasiri wa hali ya juu !
 
Ni sawa kabisa, sasa autumie uzee wake wote kuitesekea ccm.
 
Lucas umeandika yoote lakini umesahau kitu kimoja ambacho wa TZ wanapaswa kukumbushwa ya Kuwa Mwamba ndo aliefanya mpango na kusimamia kupelekwa Lissu Nairobi kwa mamtibabu baada ya kupigwa risasi kule Dodoma ile ilitaka ujasiri wa hali ya juu !
Mwamba Amefanya mambo Mengi sana ambayo kwa mtu mwenye akili Timamu atajua kuwa huyu ni mtu na nusu
 


Nelson Mandela alifungwa miaka 27 akatawala kwa muhula mmoja tu wa miaka mitano.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…