Pre GE2025 Mbowe amvaa Dkt. Slaa kisa Tundu Lissu, adai "mpiga debe wa CCM hapaswi kutufundisha CHADEMA"

Pre GE2025 Mbowe amvaa Dkt. Slaa kisa Tundu Lissu, adai "mpiga debe wa CCM hapaswi kutufundisha CHADEMA"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
"Tunaona watu ambao walishaondoka CHADEMA huko miaka ya nyuma kama akina Dkt Wilbroad Slaa ambao walikimbia CHADEMA wakaenda Chama cha Mapinduzi wakapewa na zawadi ya ubalozi, eti leo naye amekuwa ndiye mpiga debe mkubwa wa Makamu Mwenyekiti wangu kutaka apewe Mwenyekiti wa chama na kubeza na kutweza watu na wengine wa vyama vingine vya upinzani"- Freeman Mbowe, Mwenyekiti CHADEMA
IMG_2438.jpeg

Soma, Pia

Freeman Mbowe: Dkt. Slaa na wanaojiita Tanzania Diaspora wanapanga kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA

Willibrod Slaa: Anachopigania Tundu Lissu ni kuisafisha CHADEMA
 
"Tunaona watu ambao walishaondoka CHADEMA huko miaka ya nyuma kama akina Dkt Wilbroad Slaa ambao walikimbia CHADEMA wakaenda Chama cha Mapinduzi wakapewa na zawadi ya ubalozi, eti leo naye amekuwa ndiye mpiga debe mkubwa wa Makamu Mwenyekiti wangu kutaka awepe Mwenyekiti wa chama na kubeza na kutweza watu na wengine wa vyama vingine vya upinzani"- Freeman Mbowe, Mwenyekiti CHADEMA
View attachment 3197182
Mkuu ameshindwa kujibu hoja za msingi anatafuta public sympathy, kajixhokea tu.
 
Mkuu ameshindwa kujibu hoja za msingi anatafuta public sympathy, kajixhokea tu.
Kwani ulikuwa unasikia Radio gani au TV gani wewe? Nimemsikia Mbowe mwanzo mwisho.

Amekidhi haja kwa majibu yake. Composed, not emotional and very wise
 
"Tunaona watu ambao walishaondoka CHADEMA huko miaka ya nyuma kama akina Dkt Wilbroad Slaa ambao walikimbia CHADEMA wakaenda Chama cha Mapinduzi wakapewa na zawadi ya ubalozi, eti leo naye amekuwa ndiye mpiga debe mkubwa wa Makamu Mwenyekiti wangu kutaka awepe Mwenyekiti wa chama na kubeza na kutweza watu na wengine wa vyama vingine vya upinzani"- Freeman Mbowe, Mwenyekiti CHADEMA
View attachment 3197182
Mbowe kakosa hoja
 
Kwani ulikuwa unasikia Radio gani au TV gani wewe? Nimemsikia Mbowe mwanzo mwisho.

Amekidhi haja kwa majibu yake. Composed, not emotional and very wise
Kaulizwa kuna mahara uongozi iliruhusu mianya kwa kuvuja mpaka siri za chama kuvuja alikua apatikani kwenye simu, niambia jibu lake lilikua je? Kama kweli inamsikiliza?
 
Kaulizwa kuna mahara uongozi iliruhusu mianya kwa kuvuja mpaka siri za chama kuvuja alikua apatikani kwenye simu, niambia jibu lake lilikua je? Kama kweli inamsikiliza?
Moja ya sifa za mijadala ni kukwepa maswali ya kwenye mtego.
 
Kwa wote mnaosema hajajibu hoja, kwani hoja ilikuwa nini?!!!!!! Mbona mleta mada kaleta tu hicho kipande Sasa wenzetu nyie habari ya hoja iliyoibua maelezo hayo mmeijuaje Hadi mnamshambulia kuwa katoka nje?!!! Dah, wabongo aiseee!!!
 
Aseme akichaguliwa tena anaenda kufanya nini alicho shindwa kufanya miaka 20 iliopita, sio alete sere zake sio kuelezea yaliopita, iko kujitetea zaidi kuliko kusema atakacho fanya akichaguliwa.
Samahani, hv lissu ye ameshasema zaidi ya kutaja tu neno 'mshike mshike'?!!!
 
Samahani, hv lissu ye ameshasema zaidi ya kutaja tu neno 'mshike mshike'?!!!
Kasema tutakua na vibrant politics sio maridhiano ya huyu mzee, huwezi ku negotiate na adui yako jinsi ya kukuiba na kukutesa mbowe hajui anacho ongelea politics na ccm sio ya ku negotiate madaraka tu, anapenda viepesi kupata pesa ya kustaafia.
 
Kwa wote mnaosema hajajibu hoja, kwani hoja ilikuwa nini?!!!!!! Mbona mleta mada kaleta tu hicho kipande Sasa wenzetu nyie habari ya hoja iliyoibua maelezo hayo mmeijuaje Hadi mnamshambulia kuwa katika nje?!!! Dah, wabongo aiseee!!!
Kila alichoulizwa alikuwa hakijibu
 
Back
Top Bottom