Pre GE2025 Mbowe amvaa Dkt. Slaa kisa Tundu Lissu, adai "mpiga debe wa CCM hapaswi kutufundisha CHADEMA"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kasema tutakua na vibrant politics sio maridhiano ya huyu mzee, huwezi ku negotiate na adui yako jinsi ya kukuiba na kukutesa mbowe hajui anacho ongelea politics na ccm sio ya ku negotiate madaraka tu, anapenda viepesi kupata pesa ya kustaafia.
Okay, sawa ngoja tusubiri huyo lissu aje kuing'oa ccm madarakani🤭🤭🤭
 
Kwani ulikuwa unasikia Radio gani au TV gani wewe? Nimemsikia Mbowe mwanzo mwisho.

Amekidhi haja kwa majibu yake. Composed, not emotional and very wise
Hata matapeli huwa wako composed mkuu, utani tu lakini
 
"Tunaona watu ambao walishaondoka CHADEMA huko miaka ya nyuma kama akina Dkt Wilbroad Slaa ambao walikimbia CHADEMA wakaenda Chama cha Mapinduzi wakapewa na zawadi ya ubalozi, eti leo naye amekuwa ndiye mpiga debe mkubwa wa Makamu Mwenyekiti wangu kutaka apewe Mwenyekiti wa chama na kubeza na kutweza watu na wengine wa vyama vingine vya upinzani"- Freeman Mbowe, Mwenyekiti CHADEMA
View attachment 3197182

Soma, Pia

Freeman Mbowe: Dkt. Slaa na wanaojiita Tanzania Diaspora wanapanga kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA

Willibrod Slaa: Anachopigania Tundu Lissu ni kuisafisha CHADEMA
Ni vema ukaambatisha kakideo clip.
 
Soma ulichoandika Mkuu
Kaulizwa kuna mahara uongozi iliruhusu mianya kwa kuvuja mpaka siri za chama kuvuja alikua apatikani kwenye simu, niambia jibu lake lilikua je? Kama kweli inamsikiliza?
 
Umekubali kwambe sera za mbowe haziwezi kung'oa CCM madarakani, zaidi ya kumtunza yeye kama Mbowe kupata pesa.
Ok, hebu twende kwenye facts Sasa tuache kuchangamsha genge tu;
1. Hakuna mwenye kuweza kuitoa ccm kwa Sasa.....mbowe mnamuonea tu. Wengine hao ndo hata alipofika mbowe hawatofika.
2. Kuhusu yeye kujinufaisha kipesa sijui......mi nachojua tu ni kwamba chadema mzima ya juu, ukiacha hawa malofa (in late Mkapa's voice) wa humu mitandaoni wasiojua lolote, imehudhuria sana ikulu kipindi Cha kikwete na Kuna mamia ya picha ya kuelezea hilo. Hadi picha za kugawana juisi zipo. Aidha, nachojua kingine ni karibisho maridhawa kabisa la Moja ya mafisadi tulioambiwa wanastahili hata kuzomewa (in lema's voice) kutokana na ufisadi wao akikaribishwa chadema na kutetewa na wote.......elewa neno 'wote'.

Ndiyo, karibu kamanda!
 
Hii mbungi inanoga maana wanatajana majina kabisa bila kuzunguka. Wapasuane tu
Acha wamalizane

Anyone who can trust slaa needs medical attention

It takes a courage to deceive kanisa, chama, nchi, watoto ulio wazaa, mamlaka na bado ukaamka na kuamini una mora authority ya kunyooshea vidole watu wengine…. Kichwa ile imecorrupt files zote

Na hao wa tiss waliomwambia wako tayari kuna public watamtokea puani
 
Kwani ulikuwa unasikia Radio gani au TV gani wewe? Nimemsikia Mbowe mwanzo mwisho.

Amekidhi haja kwa majibu yake. Composed, not emotional and very wise
hukuona alivyorukaruka na kupotezea maswali ya waandishi?
 
Mbowe anamshutumu Lissu kumtaja mama Abdul kumhonga anasema hakuna ushahidi. Kasahau kuwa naye alishasema Magufuli alitaka kumhonga cheo na hela kusudi aende CCM sasa yeye katoa ushahidi gani? Mbowe kajichokea sana.
 
"Tunaona watu ambao walishaondoka CHADEMA huko miaka ya nyuma kama akina Dkt Wilbroad Slaa ambao walikimbia CHADEMA wakaenda Chama cha Mapinduzi wakapewa na zawadi ya ubalozi, eti leo naye amekuwa ndiye mpiga debe mkubwa wa Makamu Mwenyekiti wangu kutaka apewe Mwenyekiti wa chama na kubeza na kutweza watu na wengine wa vyama vingine vya upinzani"- Freeman Mbowe, Mwenyekiti CHADEMA
View attachment 3197182
View attachment 3197312
Soma, Pia

Freeman Mbowe: Dkt. Slaa na wanaojiita Tanzania Diaspora wanapanga kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA

Willibrod Slaa: Anachopigania Tundu Lissu ni kuisafisha CHADEMA
Mbona yeye anapigiwa debe na ccm waziwazi?
Au kwa vile wanamuwezesha hivyo anaona kwake ni kawaida tu
 
Kwani ulikuwa unasikia Radio gani au TV gani wewe? Nimemsikia Mbowe mwanzo mwisho.

Amekidhi haja kwa majibu yake. Composed, not emotional and very wise
Kaeleza atafanya nini ambacho hajakifanya kwa miaka 21 kama atachaguliwa tena?
Atueleze atatufanyia nini tukimchagua na si kueleza historia ya nyuma.
Chama kimekosa ushawishi na hakiaminiki tena kwa sababu ya uongozi mbovu na kuendeshwa kiujanjaujanja.
 
Aseme akichaguliwa tena anaenda kufanya nini alicho shindwa kufanya miaka 20 iliopita, sio alete sere zake sio kuelezea yaliopita, iko kujitetea zaidi kuliko kusema atakacho fanya akichaguliwa.
Hayo siyo maswali yaliyompeleka pale, labda andaa na wewe press yako.
 
Kwa wote mnaosema hajajibu hoja, kwani hoja ilikuwa nini?!!!!!! Mbona mleta mada kaleta tu hicho kipande Sasa wenzetu nyie habari ya hoja iliyoibua maelezo hayo mmeijuaje Hadi mnamshambulia kuwa katoka nje?!!! Dah, wabongo aiseee!!!
Watu wa kambi ya TAL ni wajinga sana. Press imeandaliwa na Clouds, na yeye amejibu maswali aliyoulizwa kwa ukomavu, busara, utulivu na akili sana.

Walitaka aanze kuropoka kama Lissu au Dr Slaa??
 
Kaeleza atafanya nini ambacho hajakifanya kwa miaka 21 kama atachaguliwa tena?
Atueleze atatufanyia nini tukimchagua na si kueleza historia ya nyuma.
Chama kimekosa ushawishi na hakiaminiki tena kwa sababu ya uongozi mbovu na kuendeshwa kiujanjaujanja.
Kwani hilo swali lilikuwapo kwenye orodha ya maswali?
 
Kwani ulikuwa unasikia Radio gani au TV gani wewe? Nimemsikia Mbowe mwanzo mwisho.

Amekidhi haja kwa majibu yake. Composed, not emotional and very wise
Kuna maswali mengi sana hajayajibu alikua anakwepa, kila swali anapojibu lazima aanze na maelezo ya ukomo wa madaraka
 
Huo sasa ndiyo uzoefu wa uongozi. Siyo lazima ujibu maswali kama unafanya NECTA.

HAKUNA jibu moja kwenye maswali ya kisiasa. Maswali mengine ukitaka kujibu unaingia kwenye mtego
 
"Tunaona watu ambao walishaondoka CHADEMA huko miaka ya nyuma kama akina Dkt Wilbroad Slaa ambao walikimbia CHADEMA wakaenda Chama cha Mapinduzi wakapewa na zawadi ya ubalozi, eti leo naye amekuwa ndiye mpiga debe mkubwa wa Makamu Mwenyekiti wangu kutaka apewe Mwenyekiti wa chama na kubeza na kutweza watu na wengine wa vyama vingine vya upinzani"- Freeman Mbowe, Mwenyekiti CHADEMA
View attachment 3197182
View attachment 3197312
Soma, Pia

Freeman Mbowe: Dkt. Slaa na wanaojiita Tanzania Diaspora wanapanga kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA

Willibrod Slaa: Anachopigania Tundu Lissu ni kuisafisha CHADEMA
Yeye anapogiwa debe na Kigwa
 
Back
Top Bottom