Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mkuu ameshindwa kujibu hoja za msingi anatafuta public sympathy, kajixhokea tu."Tunaona watu ambao walishaondoka CHADEMA huko miaka ya nyuma kama akina Dkt Wilbroad Slaa ambao walikimbia CHADEMA wakaenda Chama cha Mapinduzi wakapewa na zawadi ya ubalozi, eti leo naye amekuwa ndiye mpiga debe mkubwa wa Makamu Mwenyekiti wangu kutaka awepe Mwenyekiti wa chama na kubeza na kutweza watu na wengine wa vyama vingine vya upinzani"- Freeman Mbowe, Mwenyekiti CHADEMA
View attachment 3197182
Kwani ulikuwa unasikia Radio gani au TV gani wewe? Nimemsikia Mbowe mwanzo mwisho.Mkuu ameshindwa kujibu hoja za msingi anatafuta public sympathy, kajixhokea tu.
Mbowe kakosa hoja"Tunaona watu ambao walishaondoka CHADEMA huko miaka ya nyuma kama akina Dkt Wilbroad Slaa ambao walikimbia CHADEMA wakaenda Chama cha Mapinduzi wakapewa na zawadi ya ubalozi, eti leo naye amekuwa ndiye mpiga debe mkubwa wa Makamu Mwenyekiti wangu kutaka awepe Mwenyekiti wa chama na kubeza na kutweza watu na wengine wa vyama vingine vya upinzani"- Freeman Mbowe, Mwenyekiti CHADEMA
View attachment 3197182
Kaulizwa kuna mahara uongozi iliruhusu mianya kwa kuvuja mpaka siri za chama kuvuja alikua apatikani kwenye simu, niambia jibu lake lilikua je? Kama kweli inamsikiliza?Kwani ulikuwa unasikia Radio gani au TV gani wewe? Nimemsikia Mbowe mwanzo mwisho.
Amekidhi haja kwa majibu yake. Composed, not emotional and very wise
Kila kitu kina majira yake, binadamu pia hujirudi kwa kujifunza, mbowe anadhani ana akili kuliko mtu yeyote duniani?, (You can not be perfect all the time)Mkuu ameshindwa kujibu hoja za msingi anatafuta public sympathy, kajixhokea tu.
Nanaelezea historia ya chama badala ya kujibu hoja za msingi.Mbowe kakosa hoja
Mbuzi kafia Kwa muuza supu🤣Mbowe amvaa Slaa......Slaa akamatwa na polisi!!
Coincidence!?🤔
Moja ya sifa za mijadala ni kukwepa maswali ya kwenye mtego.Kaulizwa kuna mahara uongozi iliruhusu mianya kwa kuvuja mpaka siri za chama kuvuja alikua apatikani kwenye simu, niambia jibu lake lilikua je? Kama kweli inamsikiliza?
Aseme akichaguliwa tena anaenda kufanya nini alicho shindwa kufanya miaka 20 iliopita, sio alete sere zake sio kuelezea yaliopita, iko kujitetea zaidi kuliko kusema atakacho fanya akichaguliwa.Moja ya sifa za mijadala ni kukwepa maswali ya kwenye mtego.
Samahani, hv lissu ye ameshasema zaidi ya kutaja tu neno 'mshike mshike'?!!!Aseme akichaguliwa tena anaenda kufanya nini alicho shindwa kufanya miaka 20 iliopita, sio alete sere zake sio kuelezea yaliopita, iko kujitetea zaidi kuliko kusema atakacho fanya akichaguliwa.
Kasema tutakua na vibrant politics sio maridhiano ya huyu mzee, huwezi ku negotiate na adui yako jinsi ya kukuiba na kukutesa mbowe hajui anacho ongelea politics na ccm sio ya ku negotiate madaraka tu, anapenda viepesi kupata pesa ya kustaafia.Samahani, hv lissu ye ameshasema zaidi ya kutaja tu neno 'mshike mshike'?!!!
Kila alichoulizwa alikuwa hakijibuKwa wote mnaosema hajajibu hoja, kwani hoja ilikuwa nini?!!!!!! Mbona mleta mada kaleta tu hicho kipande Sasa wenzetu nyie habari ya hoja iliyoibua maelezo hayo mmeijuaje Hadi mnamshambulia kuwa katika nje?!!! Dah, wabongo aiseee!!!
Kubwa kuliko yote ukomo wa viongozi ndani ya chama na wale wa viti maalumSamahani, hv lissu ye ameshasema zaidi ya kutaja tu neno 'mshike mshike'?!!!