Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 997
- 1,220
Okay, sawa ngoja tusubiri huyo lissu aje kuing'oa ccm madarakani🤭🤭🤭Kasema tutakua na vibrant politics sio maridhiano ya huyu mzee, huwezi ku negotiate na adui yako jinsi ya kukuiba na kukutesa mbowe hajui anacho ongelea politics na ccm sio ya ku negotiate madaraka tu, anapenda viepesi kupata pesa ya kustaafia.
Umekubali kwambe sera za mbowe haziwezi kung'oa CCM madarakani, zaidi ya kumtunza yeye kama Mbowe kupata pesa.Okay, sawa ngoja tusubiri huyo lissu aje kuing'oa ccm madarakani[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Hata matapeli huwa wako composed mkuu, utani tu lakiniKwani ulikuwa unasikia Radio gani au TV gani wewe? Nimemsikia Mbowe mwanzo mwisho.
Amekidhi haja kwa majibu yake. Composed, not emotional and very wise
Ni vema ukaambatisha kakideo clip."Tunaona watu ambao walishaondoka CHADEMA huko miaka ya nyuma kama akina Dkt Wilbroad Slaa ambao walikimbia CHADEMA wakaenda Chama cha Mapinduzi wakapewa na zawadi ya ubalozi, eti leo naye amekuwa ndiye mpiga debe mkubwa wa Makamu Mwenyekiti wangu kutaka apewe Mwenyekiti wa chama na kubeza na kutweza watu na wengine wa vyama vingine vya upinzani"- Freeman Mbowe, Mwenyekiti CHADEMA
View attachment 3197182
Soma, Pia
• Freeman Mbowe: Dkt. Slaa na wanaojiita Tanzania Diaspora wanapanga kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA
• Willibrod Slaa: Anachopigania Tundu Lissu ni kuisafisha CHADEMA
Kaulizwa kuna mahara uongozi iliruhusu mianya kwa kuvuja mpaka siri za chama kuvuja alikua apatikani kwenye simu, niambia jibu lake lilikua je? Kama kweli inamsikiliza?
Ok, hebu twende kwenye facts Sasa tuache kuchangamsha genge tu;Umekubali kwambe sera za mbowe haziwezi kung'oa CCM madarakani, zaidi ya kumtunza yeye kama Mbowe kupata pesa.
Acha wamalizaneHii mbungi inanoga maana wanatajana majina kabisa bila kuzunguka. Wapasuane tu
hukuona alivyorukaruka na kupotezea maswali ya waandishi?Kwani ulikuwa unasikia Radio gani au TV gani wewe? Nimemsikia Mbowe mwanzo mwisho.
Amekidhi haja kwa majibu yake. Composed, not emotional and very wise
Mbona yeye anapigiwa debe na ccm waziwazi?"Tunaona watu ambao walishaondoka CHADEMA huko miaka ya nyuma kama akina Dkt Wilbroad Slaa ambao walikimbia CHADEMA wakaenda Chama cha Mapinduzi wakapewa na zawadi ya ubalozi, eti leo naye amekuwa ndiye mpiga debe mkubwa wa Makamu Mwenyekiti wangu kutaka apewe Mwenyekiti wa chama na kubeza na kutweza watu na wengine wa vyama vingine vya upinzani"- Freeman Mbowe, Mwenyekiti CHADEMA
View attachment 3197182
View attachment 3197312
Soma, Pia
• Freeman Mbowe: Dkt. Slaa na wanaojiita Tanzania Diaspora wanapanga kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA
• Willibrod Slaa: Anachopigania Tundu Lissu ni kuisafisha CHADEMA
Kaeleza atafanya nini ambacho hajakifanya kwa miaka 21 kama atachaguliwa tena?Kwani ulikuwa unasikia Radio gani au TV gani wewe? Nimemsikia Mbowe mwanzo mwisho.
Amekidhi haja kwa majibu yake. Composed, not emotional and very wise
Hayo siyo maswali yaliyompeleka pale, labda andaa na wewe press yako.Aseme akichaguliwa tena anaenda kufanya nini alicho shindwa kufanya miaka 20 iliopita, sio alete sere zake sio kuelezea yaliopita, iko kujitetea zaidi kuliko kusema atakacho fanya akichaguliwa.
Watu wa kambi ya TAL ni wajinga sana. Press imeandaliwa na Clouds, na yeye amejibu maswali aliyoulizwa kwa ukomavu, busara, utulivu na akili sana.Kwa wote mnaosema hajajibu hoja, kwani hoja ilikuwa nini?!!!!!! Mbona mleta mada kaleta tu hicho kipande Sasa wenzetu nyie habari ya hoja iliyoibua maelezo hayo mmeijuaje Hadi mnamshambulia kuwa katoka nje?!!! Dah, wabongo aiseee!!!
Kwani hilo swali lilikuwapo kwenye orodha ya maswali?Kaeleza atafanya nini ambacho hajakifanya kwa miaka 21 kama atachaguliwa tena?
Atueleze atatufanyia nini tukimchagua na si kueleza historia ya nyuma.
Chama kimekosa ushawishi na hakiaminiki tena kwa sababu ya uongozi mbovu na kuendeshwa kiujanjaujanja.
Kuna maswali mengi sana hajayajibu alikua anakwepa, kila swali anapojibu lazima aanze na maelezo ya ukomo wa madarakaKwani ulikuwa unasikia Radio gani au TV gani wewe? Nimemsikia Mbowe mwanzo mwisho.
Amekidhi haja kwa majibu yake. Composed, not emotional and very wise
Huo sasa ndiyo uzoefu wa uongozi. Siyo lazima ujibu maswali kama unafanya NECTA.Kuna maswali mengi sana hajayajibu alikua anakwepa, kila swali anapojibu lazima aanze na maelezo ya ukomo wa madaraka
Yeye anapogiwa debe na Kigwa"Tunaona watu ambao walishaondoka CHADEMA huko miaka ya nyuma kama akina Dkt Wilbroad Slaa ambao walikimbia CHADEMA wakaenda Chama cha Mapinduzi wakapewa na zawadi ya ubalozi, eti leo naye amekuwa ndiye mpiga debe mkubwa wa Makamu Mwenyekiti wangu kutaka apewe Mwenyekiti wa chama na kubeza na kutweza watu na wengine wa vyama vingine vya upinzani"- Freeman Mbowe, Mwenyekiti CHADEMA
View attachment 3197182
View attachment 3197312
Soma, Pia
• Freeman Mbowe: Dkt. Slaa na wanaojiita Tanzania Diaspora wanapanga kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA
• Willibrod Slaa: Anachopigania Tundu Lissu ni kuisafisha CHADEMA