Mbowe anakosa sifa muhimu ya kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Ajiuzulu nafasi yake kwa maslahi ya chama na Taifa kwa ujumla

Ulijaribu pia kuangalia upande wa pili? Je jana hawakuwa tayari kujitetea?
Kwanini DPP alikimbia kabla ya utetezi kuwekwa mezani ili tujue madhila waliyopitia na maovu ya watunga ushahidi?
Siku zote uongo huwa unavuma sana lakini hauishi.
 
Naumga mkono hoja
 
Ushasema tuhuma. Umetuhumiwa mangapi wewe?
 

Umevimbiwa kitalolo.
 
Mkuu Mwamba ndio keshatoka lupango na breki ya kwanza jumba jeupe. Walichoongea Kule ni Siri Yao. Kuna watu kwenye sakata la Mbowe kwisha habari yao ni suala la muda tu.
 
Chawa kurunzi kwa sasa unarudi rasmi huku posho ya uchawa baibai
 

Siasa za kipuuzi zimepitwa na wakati boss. Mambo ya kubambikia kesi ni mbinu za kizee kweli kweli, hasa ukizingatia ule ushahidi wa kihanithi uliokuwa unatolewa mahakamani na upande wa jamuhuri. Ule utoto jamuhuri wameonyesha mahakamani ni aibu ya karne kwa watu wanaojitambua.
 
Gaidi anaweza kuitwa ikulu usiku akaongea na mh rais na kukubaliana jinsi ya kufanya siasa kistarabu na kuzingatia haki
 
Kavute bangi inaonekana leo dawa yako imeisha kwenye stoku
 
Hapa umeshindwa kuelewa point yangu ndogo tu kuwa.

Kwakua kulikua na uamuzi wa mahakama kuwa mbowe ana cha kujibu ilipaswa ajibu ili audhihirishie uma yote hayo unayoyasema kwa ajili ya kuweka rekodi sawa.

Ila rekodi iliyopo mpaka sasa haimpi faida yeye kwani inasomeka kwamba alikutwa na kesi ya kujibu katika tuhuma za ugaidi.

Mawakili na wanachama wangepaswa kumshauri afanye hivyo ila wote wanashangilia.

Hili ni anguko la kisiasa na uzembe wa hali ya juu kwa Chadema.

CCM imeendelea kuonesha ukomavu wa kisiasa na mbinu dhidi ya Chadema.

Kuiondoa sio leo wala kesho bado ipo ipo sana.
 
Nimependa sana unavyojibiwa kwenye huu uzi. Tumiaga akili wakati mwingine unapoanzisha thread ktk hili jukwaa
 
Sasa hapo kosa ni la Mbowe ama la nani? Maana tulishawaambia toka mwanzo wajinga kama wewe, hakuna ugaidi wa laki 6 ambazo zilitumika kama " nauli", lakin mkashupaza shingo. Leo Mbowe yupo tayari kujitetea, mkaona aibu itawafika sasa, maana kuanzia Samia, Sirro, DCI Boaz, maafisa wa jeshi wa makomandoo ngerengere wangesimama kizimbani kutestify, mmeingia mitini kwa aibu kubwa!!!! Mbowe alishasema hataki msamaha wala huruma. Hivyo kama vp rudisheni kesi tuendelee.. maana hakuna kesi pale. Aibu tupu maccm mnatamani kulia 🚮🚮🚮
 
Mwamba Tuvushe. Chadema tuna Imani na Mwenyekiti wetu hizo kesi zenu za mchongo mngeendelea nazo muone aibu ya mwaka
 
Sasa kwanini dpp hakutaka ajibu wakati alikuwa tayari kujibu? Kosa la nani? Kosa la Mbowe hilo
 
Very stupid arguments
 
AkIJiuzulu tunampa stroke uenyekiti⛹️
 
Kama mlijipanga hivyo imekula kwenu.
Mwamba anabaki kuwa mwanba.

Ķama hamjamuelewa jaji mkamulize.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…