Congressman
JF-Expert Member
- Jun 2, 2020
- 781
- 2,305
Kumbe mbowe alikuwa tayari kahukumiwa na mahakama kuwa ni gaidi?
Hahah vibaraka wa mwendazake mnateseka sana

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asie mwadilifu hapa ni nani sasa huyo alieshindwa kuthibitisha shtaka au huyo alieachiwa huru?Uadilifu ni sifa kuu na ya msingi anayopaswa kuwa nayo kiongozi yeyote yule wa Taasisi ya uma.
Chadema kama chama kingine cha siasa ni Taasisi ya uma kwa kuwa imesajiliwa kwa kufuata sheria za nchi zinazoongoza vyama vya siasa hapa nchini kwa maana hiyo haikwepi kuwa na vigezo muhimu vya taasisi yeyote ya uma ikiwa na kigezo nilichokitaja awali cha uadilifu wa viongozi wake.
Jana siku ya tarehe 4/03/2022 DPP Kupitia kifungu cha 91 Cha Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai aliamua kufuta mashitaka ya Ugaidi dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema na wenzake watatu.
Kwa kupitia kifungu hicho tafsiri yake ni kwamba pale ambapo itaonekana inafaa DPP anaweza yarejesha mashitaka hayo.
Hiyo inamaana kwamba kesi iliondolewa mahakamani bila ya Mbowe kutoa utetezi wake mahakamani na hatimaye mahakama kutoa maamuzi kuhusiana na tuhuma hizo.
Kwakua hakuna hukumu yeyote ile ya mahakama iliyosema kwamba Mbowe hajafanya alichotuhumiwa nacho au kakifanya na kwakua bado. DPP anaweza kurejesha tena kesi mahakamani basi kiufundi tunasema kwamba tuhuma dhidi ya Mbowe zinabakia pale pale.
Kwakua tuhuma bado zipo kwakua hakuna rekodi ya mahakama inayomsafisha Mbowe na tuhuma dhidi yake basi kwa manufaa mapana ya Chadema na Taifa kwa ujumla inampasa Mbowe kujiuzulu nafasi yake ya Uwenyekiti na kukaa mbali na siasa za kiushindani.
Inampasa Mbowe kujiuzulu kwani anakosa sifa muhimu ya uadilifu kwani tuhuma dhidi yake ni kubwa na hatarishi kwa ustawi wa Taifa lolote na haitakuwa afya kwa chama kuongozwa na kiongozi ambaye anaishi na tuhuma hizo.
The good things could have been to let Mbowe testify and the court to rule as to whether Mbowe is guilty or not but so far as we speak the allegations have not been cleared against him thus he must resign.
Jana kanywa juice ikulu na kuombwa msamaha na mwenyekiti wako unaTuhuma ya Ugaidi bado inabakia pale pale.
Hakuna mahakama iliyomsafisha mbowe.
Unaweza usinielewe sasa ila kwa baadae utakuja kunielewa kwamba.
Rekodi za mahakama zinatambua kwamba mbowe alikutwa na kesi ya kujibu ila hakutoa utetezi wake dhidi ya madai hayo na hivyo hakuna hukumu ambayo inasema kwamba Mbowe sio gaidi.
Tuhuma dhidi yake hazijaondolewa kwa rekodi ya mahakama inabakia hivyo.
Kaombwa au kaomba msamaha na kuahidi kutokuwa msumbufu tena.Jana kanywa juice ikulu na kuombwa msamaha na mwenyekiti wako una
jingine we Dogo!
Umeandika upuuzi.Naona hiyo stroke imekupitia kwenye ubongoUadilifu ni sifa kuu na ya msingi anayopaswa kuwa nayo kiongozi yeyote yule wa Taasisi ya uma.
Chadema kama chama kingine cha siasa ni Taasisi ya uma kwa kuwa imesajiliwa kwa kufuata sheria za nchi zinazoongoza vyama vya siasa hapa nchini kwa maana hiyo haikwepi kuwa na vigezo muhimu vya taasisi yeyote ya uma ikiwa na kigezo nilichokitaja awali cha uadilifu wa viongozi wake.
Jana siku ya tarehe 4/03/2022 DPP Kupitia kifungu cha 91 Cha Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai aliamua kufuta mashitaka ya Ugaidi dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema na wenzake watatu.
Kwa kupitia kifungu hicho tafsiri yake ni kwamba pale ambapo itaonekana inafaa DPP anaweza yarejesha mashitaka hayo.
Hiyo inamaana kwamba kesi iliondolewa mahakamani bila ya Mbowe kutoa utetezi wake mahakamani na hatimaye mahakama kutoa maamuzi kuhusiana na tuhuma hizo.
Kwakua hakuna hukumu yeyote ile ya mahakama iliyosema kwamba Mbowe hajafanya alichotuhumiwa nacho au kakifanya na kwakua bado. DPP anaweza kurejesha tena kesi mahakamani basi kiufundi tunasema kwamba tuhuma dhidi ya Mbowe zinabakia pale pale.
Kwakua tuhuma bado zipo kwakua hakuna rekodi ya mahakama inayomsafisha Mbowe na tuhuma dhidi yake basi kwa manufaa mapana ya Chadema na Taifa kwa ujumla inampasa Mbowe kujiuzulu nafasi yake ya Uwenyekiti na kukaa mbali na siasa za kiushindani.
Inampasa Mbowe kujiuzulu kwani anakosa sifa muhimu ya uadilifu kwani tuhuma dhidi yake ni kubwa na hatarishi kwa ustawi wa Taifa lolote na haitakuwa afya kwa chama kuongozwa na kiongozi ambaye anaishi na tuhuma hizo.
The good things could have been to let Mbowe testify and the court to rule as to whether Mbowe is guilty or not but so far as we speak the allegations have not been cleared against him thus he must resign.
Hawa ndio chawa wa CCM, kumbuka Rais Samia mwanzoni tu alionyesha nia ya kuliunganisha Taifa lakini chawa wa CCM Kama huyu walimbadili mawazo. Kwa Sasa Rais Samia ameanza kuonyesha uhalisia wa tabia yake ya kuliunganisha Taifa, Ila chawa Kama huyu wanapenda utengano wa Kitaifa kwa misingi ya vyama uendelee kuwepo, wapo wengi, kina Ndugai,Lusinde n.k. wangependa ubabe na utengano wa vyama uendelee kuwepo.Hebu acha makelele pumzika mkuu, inaonekana umeumia sana hadi kutuandikia waraka, hukutegemea kama angeachiwa, ndio kashaachiwa na ataendelea kua mwenyekiti wao Chadema, ajiuzulu what for?
Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Popoma tu wewe huelewi lolote.Uadilifu ni sifa kuu na ya msingi anayopaswa kuwa nayo kiongozi yeyote yule wa Taasisi ya uma.
Chadema kama chama kingine cha siasa ni Taasisi ya uma kwa kuwa imesajiliwa kwa kufuata sheria za nchi zinazoongoza vyama vya siasa hapa nchini kwa maana hiyo haikwepi kuwa na vigezo muhimu vya taasisi yeyote ya uma ikiwa na kigezo nilichokitaja awali cha uadilifu wa viongozi wake.
Jana siku ya tarehe 4/03/2022 DPP Kupitia kifungu cha 91 Cha Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai aliamua kufuta mashitaka ya Ugaidi dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema na wenzake watatu.
Kwa kupitia kifungu hicho tafsiri yake ni kwamba pale ambapo itaonekana inafaa DPP anaweza yarejesha mashitaka hayo.
Hiyo inamaana kwamba kesi iliondolewa mahakamani bila ya Mbowe kutoa utetezi wake mahakamani na hatimaye mahakama kutoa maamuzi kuhusiana na tuhuma hizo.
Kwakua hakuna hukumu yeyote ile ya mahakama iliyosema kwamba Mbowe hajafanya alichotuhumiwa nacho au kakifanya na kwakua bado. DPP anaweza kurejesha tena kesi mahakamani basi kiufundi tunasema kwamba tuhuma dhidi ya Mbowe zinabakia pale pale.
Kwakua tuhuma bado zipo kwakua hakuna rekodi ya mahakama inayomsafisha Mbowe na tuhuma dhidi yake basi kwa manufaa mapana ya Chadema na Taifa kwa ujumla inampasa Mbowe kujiuzulu nafasi yake ya Uwenyekiti na kukaa mbali na siasa za kiushindani.
Inampasa Mbowe kujiuzulu kwani anakosa sifa muhimu ya uadilifu kwani tuhuma dhidi yake ni kubwa na hatarishi kwa ustawi wa Taifa lolote na haitakuwa afya kwa chama kuongozwa na kiongozi ambaye anaishi na tuhuma hizo.
The good things could have been to let Mbowe testify and the court to rule as to whether Mbowe is guilty or not but so far as we speak the allegations have not been cleared against him thus he must resign.
Alikuwa amebet, mkeka umechanika. Ndio waliokuwa waimbaji wakubwa wa kibwagizo: Mbowe ni gaidi. Sasa kinyumeKwa hiyo unamlaumu Mbowe kwa vile hakutoa utetezi wake?
Mkuu 'Stroke', wakati mwingine kujitoa ufahamu na kupoteza muda kwa kuandika andiko lote hili uliloweka hapa ni aibu kwa mtu kama wewe..
Ni kipi kinachokupa msukumo wa chuki kiasi hiki!
Unaandika kuhusu "uadilifu", hivi unafahamu maana ya neno hili? Tukirejea katika maandishi yako ya utetezi wa viongozi uliyoyaweka humu JF, tutapata tafsiri nzuri ya "uadilifu" unaotaka Mbowe auonyeshe?
Nimekuwa nikifuatilia misimamo yako kadhaa juu ya taifa letu na kukubaliana nawe, hasa kwenye siku hizi za karibuni. Lakini maandishi ya aina hii uliyoweka hapa yanaonyesha kuna kasoro hata kwenye yale ninayodhani unayaaamini juu ya nchi yetu. Nadhani kuna chuki ndani yake.
Kwahiyo ni mahakama gani imemtia hatiani kuwa ni gaidi?Tuhuma ya Ugaidi bado inabakia pale pale.
Hakuna mahakama iliyomsafisha mbowe.
Unaweza usinielewe sasa ila kwa baadae utakuja kunielewa kwamba.
Rekodi za mahakama zinatambua kwamba mbowe alikutwa na kesi ya kujibu ila hakutoa utetezi wake dhidi ya madai hayo na hivyo hakuna hukumu ambayo inasema kwamba Mbowe sio gaidi.
Tuhuma dhidi yake hazijaondolewa kwa rekodi ya mahakama inabakia hivyo.
Huna akili tangu zamani au umelogwa ghafla ?Uadilifu ni sifa kuu na ya msingi anayopaswa kuwa nayo kiongozi yeyote yule wa Taasisi ya uma.
Chadema kama chama kingine cha siasa ni Taasisi ya uma kwa kuwa imesajiliwa kwa kufuata sheria za nchi zinazoongoza vyama vya siasa hapa nchini kwa maana hiyo haikwepi kuwa na vigezo muhimu vya taasisi yeyote ya uma ikiwa na kigezo nilichokitaja awali cha uadilifu wa viongozi wake.
Jana siku ya tarehe 4/03/2022 DPP Kupitia kifungu cha 91 Cha Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai aliamua kufuta mashitaka ya Ugaidi dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema na wenzake watatu.
Kwa kupitia kifungu hicho tafsiri yake ni kwamba pale ambapo itaonekana inafaa DPP anaweza yarejesha mashitaka hayo.
Hiyo inamaana kwamba kesi iliondolewa mahakamani bila ya Mbowe kutoa utetezi wake mahakamani na hatimaye mahakama kutoa maamuzi kuhusiana na tuhuma hizo.
Kwakua hakuna hukumu yeyote ile ya mahakama iliyosema kwamba Mbowe hajafanya alichotuhumiwa nacho au kakifanya na kwakua bado. DPP anaweza kurejesha tena kesi mahakamani basi kiufundi tunasema kwamba tuhuma dhidi ya Mbowe zinabakia pale pale.
Kwakua tuhuma bado zipo kwakua hakuna rekodi ya mahakama inayomsafisha Mbowe na tuhuma dhidi yake basi kwa manufaa mapana ya Chadema na Taifa kwa ujumla inampasa Mbowe kujiuzulu nafasi yake ya Uwenyekiti na kukaa mbali na siasa za kiushindani.
Inampasa Mbowe kujiuzulu kwani anakosa sifa muhimu ya uadilifu kwani tuhuma dhidi yake ni kubwa na hatarishi kwa ustawi wa Taifa lolote na haitakuwa afya kwa chama kuongozwa na kiongozi ambaye anaishi na tuhuma hizo.
The good things could have been to let Mbowe testify and the court to rule as to whether Mbowe is guilty or not but so far as we speak the allegations have not been cleared against him thus he must resign.
PumbavuUadilifu ni sifa kuu na ya msingi anayopaswa kuwa nayo kiongozi yeyote yule wa Taasisi ya uma.

Ilikuwa unamwamini Mtu wa ovyo Sana.Kwa hiyo unamlaumu Mbowe kwa vile hakutoa utetezi wake?
Mkuu 'Stroke', wakati mwingine kujitoa ufahamu na kupoteza muda kwa kuandika andiko lote hili uliloweka hapa ni aibu kwa mtu kama wewe..
Ni kipi kinachokupa msukumo wa chuki kiasi hiki!
Unaandika kuhusu "uadilifu", hivi unafahamu maana ya neno hili? Tukirejea katika maandishi yako ya utetezi wa viongozi uliyoyaweka humu JF, tutapata tafsiri nzuri ya "uadilifu" unaotaka Mbowe auonyeshe?
Nimekuwa nikifuatilia misimamo yako kadhaa juu ya taifa letu na kukubaliana nawe, hasa kwenye siku hizi za karibuni. Lakini maandishi ya aina hii uliyoweka hapa yanaonyesha kuna kasoro hata kwenye yale ninayodhani unayaaamini juu ya nchi yetu. Nadhani kuna chuki ndani yake.
Matatizo yenu ndio hayo siku zote mnafanya maamuzi kwa hisia na kupenda kusikia mnayotaka kusikia kwa aina hiyo ya siasa mtaendelea kubakia wanaharakati siku zote.
CCM itaendelea kuwaburuza kwa muda mrefu ujao.
Sasa mwenye tuhuma tu na aliyepoteza watu kwenye masandarusi nani anastahili kuenguliwa uenyekiti wa chama?Uadilifu ni sifa kuu na ya msingi anayopaswa kuwa nayo kiongozi yeyote yule wa Taasisi ya uma.
Chadema kama chama kingine cha siasa ni Taasisi ya uma kwa kuwa imesajiliwa kwa kufuata sheria za nchi zinazoongoza vyama vya siasa hapa nchini kwa maana hiyo haikwepi kuwa na vigezo muhimu vya taasisi yeyote ya uma ikiwa na kigezo nilichokitaja awali cha uadilifu wa viongozi wake.
Jana siku ya tarehe 4/03/2022 DPP Kupitia kifungu cha 91 Cha Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai aliamua kufuta mashitaka ya Ugaidi dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema na wenzake watatu.
Kwa kupitia kifungu hicho tafsiri yake ni kwamba pale ambapo itaonekana inafaa DPP anaweza yarejesha mashitaka hayo.
Hiyo inamaana kwamba kesi iliondolewa mahakamani bila ya Mbowe kutoa utetezi wake mahakamani na hatimaye mahakama kutoa maamuzi kuhusiana na tuhuma hizo.
Kwakua hakuna hukumu yeyote ile ya mahakama iliyosema kwamba Mbowe hajafanya alichotuhumiwa nacho au kakifanya na kwakua bado. DPP anaweza kurejesha tena kesi mahakamani basi kiufundi tunasema kwamba tuhuma dhidi ya Mbowe zinabakia pale pale.
Kwakua tuhuma bado zipo kwakua hakuna rekodi ya mahakama inayomsafisha Mbowe na tuhuma dhidi yake basi kwa manufaa mapana ya Chadema na Taifa kwa ujumla inampasa Mbowe kujiuzulu nafasi yake ya Uwenyekiti na kukaa mbali na siasa za kiushindani.
Inampasa Mbowe kujiuzulu kwani anakosa sifa muhimu ya uadilifu kwani tuhuma dhidi yake ni kubwa na hatarishi kwa ustawi wa Taifa lolote na haitakuwa afya kwa chama kuongozwa na kiongozi ambaye anaishi na tuhuma hizo.
The good things could have been to let Mbowe testify and the court to rule as to whether Mbowe is guilty or not but so far as we speak the allegations have not been cleared against him thus he must resign.
Labda Mbowe ndiyo alisema hana niaSasa hili kosa la DPP kwa nini unalihamishia kwa Mbowe? Mbowe alikuwa tayari kuanza utetezi wake, kwanini DPP akasema hana nia ya kuendelea na hiyo kesi?
Sawa hakuna hukumu ya mahakama inayosema Mbowe sio gaidi, basi wewe tuwekee hiyo hukumu ya mahakama inayosema Mbowe ni gaidi.
Kusema Mbowe amechafuka kwa tuhuma ambazo hazijathibitishwa kwa hukumu ya mahakama ni kichekesho, kwa mtindo huo kila mtu anaweza kuchafuliwa kwa tuhuma za kutengeneza, hili haliwezi kuruhusiwa kwa taifa la wanaojitambua.