Mbowe anakosa sifa muhimu ya kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Ajiuzulu nafasi yake kwa maslahi ya chama na Taifa kwa ujumla

Kumbe mbowe alikuwa tayari kahukumiwa na mahakama kuwa ni gaidi?

Hahah vibaraka wa mwendazake mnateseka sana
 
asie mwadilifu hapa ni nani sasa huyo alieshindwa kuthibitisha shtaka au huyo alieachiwa huru?
 
Jana kanywa juice ikulu na kuombwa msamaha na mwenyekiti wako una
jingine we Dogo!
 
Jana kanywa juice ikulu na kuombwa msamaha na mwenyekiti wako una
jingine we Dogo!
Kaombwa au kaomba msamaha na kuahidi kutokuwa msumbufu tena.

Tambua vyema mwenye mamlaka ndugu.

Hapo ile kitu tunaita Personality ya mwenyekiti ndio ameigaragaza kwenye matope.
 
Umeandika upuuzi.Naona hiyo stroke imekupitia kwenye ubongo
 
Hebu acha makelele pumzika mkuu, inaonekana umeumia sana hadi kutuandikia waraka, hukutegemea kama angeachiwa, ndio kashaachiwa na ataendelea kua mwenyekiti wao Chadema, ajiuzulu what for?

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Hawa ndio chawa wa CCM, kumbuka Rais Samia mwanzoni tu alionyesha nia ya kuliunganisha Taifa lakini chawa wa CCM Kama huyu walimbadili mawazo. Kwa Sasa Rais Samia ameanza kuonyesha uhalisia wa tabia yake ya kuliunganisha Taifa, Ila chawa Kama huyu wanapenda utengano wa Kitaifa kwa misingi ya vyama uendelee kuwepo, wapo wengi, kina Ndugai,Lusinde n.k. wangependa ubabe na utengano wa vyama uendelee kuwepo.
 
Popoma tu wewe huelewi lolote.
 
Alikuwa amebet, mkeka umechanika. Ndio waliokuwa waimbaji wakubwa wa kibwagizo: Mbowe ni gaidi. Sasa kinyume
 
Kwahiyo ni mahakama gani imemtia hatiani kuwa ni gaidi?
 
Huna akili tangu zamani au umelogwa ghafla ?
 
Mkuu Mimi bado mpaka sasa hivi sijaona katika Chama wa kumrithi Mbowe katika nafasi yake ya Uenyekiti.
 
Pumbavu
 
Ilikuwa unamwamini Mtu wa ovyo Sana.
 
Matatizo yenu ndio hayo siku zote mnafanya maamuzi kwa hisia na kupenda kusikia mnayotaka kusikia kwa aina hiyo ya siasa mtaendelea kubakia wanaharakati siku zote.

CCM itaendelea kuwaburuza kwa muda mrefu ujao.

Maamuzi kwa hisia wakati uhalisia tunauona! Ccm kama chama kimeshapotea, imebaki nguvu ya dola pekee. Ni kweli kabisa ccm ndani ya vyombo vya dola itaalendelea kuburuza wakati bado watu ni waoga, lakini uoga ukiondoka ndio mwisho wa hiyo ccm mfu unayoiongelea.
 
Sasa mwenye tuhuma tu na aliyepoteza watu kwenye masandarusi nani anastahili kuenguliwa uenyekiti wa chama?
 
kwahyo mkuu nini ulipendelea kifanyike? nan nani akifanye??
 
Labda Mbowe ndiyo alisema hana nia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…