Mbowe anaungwa mkono na Wajumbe wapiga kura wengi ndani ya CHADEMA, Lissu anaungwa mkono na umati mkubwa wa wapiga kelele

pili pili ya shamba inamuwasha jirani
kumbe hili kombora la maana sana ni pilipili gentleman?

pole na samahani sana my friend, Lakini itabidi uzoeee tu maana hakuna namna nyingine sasa.

Freeman Aikaeli Mbowe anaenjoy kura nyingi zaidi za wajumbe wapiga kura kumchagua mwenyekiti wa Taifa chadema, huku Tundu Antipas Lisu akiinjoy makelele, mdomo na useless mass popularity, ambayo haitasaidia chochote kwenye harakati za kutafuata uongozi wa juu chadeama
 
Wachagga acheni uchawa kwa huyu mzee Mbowe,kiuhalisia ccm itatawala milele
 
Wanachiana zamu tu akitoka gentleman Tlaahtlaah anaingia Chiembe, kama wapo kwenye mduara🤣🤣
hii inaitwa bampa to bampa mambo ni mengi muda mchache,

kama mbobevu mwandamizi katiaka siasa za vya vya siasa nawajibika bila uchoyo kuwafungua macho na maskio juu ya mabo haya muhimu sana kwa ustawi wa demokrasia ndani ya vyama vya siasa.

ni muhimu kuwa watulivu na wenye subra, katika kuyafahamu na kuyajua mambo haya muhimu sana, katika kuongeza uelewa na ufahamu hususani katika hili la uchaguzi wa ndani ya chadema iliyogawanyika.

bilashaka tunaelewana gentleman
 
Kwa wiki hii pekee nadhani hii ni post yako ya kumi na kitu kuhusu CHADEMA na zote zimekuwa post za kizushi majungu uongo mwingi na kila aina ya upuuzi.Hivi huoni haya wala kujisikia vibaya? Maana hakuna hata moja uliloandika limekuwa kweli
 
Anawatisha aisee bado wiki na nusu ya nyuzi mpya kila saa, baadaye watazoea tu! Alipomuita jiwe dikteta uchwara walijificha uvunguni wakisubiri outcome
ni muhimu zaidi kwenye hili,
tukajikita kuona namna mafahali hawa wawili watamenyanya katika uchaguzi huu muhimu sana wa chadema iliyogawanyika.

kanda za kiutawala chadema zipo 10.
na mpaka sasa kanda4 za PWANI, NYASA, KASKAZINI NA VICTORIA zipo upanda wa Chairman MBOWE.

na ili kushinda uchaguzi huo kwa kishindo cha uhakika ni lazima uwe na saporti ya walau zaidi ya nusu ya kanda hizo 10 za kiutawala, maana yake upate ushindi na sapoti ya wajumbe walau wa kanda 7.

je mpaka sasa,
Lisu ana sapoti ya kanda ngapi kwa mfano ili walau kujihakikishia ushindi?
 

Umejuaje haya? Umepiga ramli?
 
Mwaka huu utapata tabu sana
sina pressure kwenye taaluma yangu,
nakula maisha silali njaa wenzangu... hukuwahi kuskia taarabu yenye maneno hayo gentleman?

mwanadiplomasia mbobevu na mwanasiasa mwandamizi mtaalamu wa siasa za vyama anapataje tabu, kutoa elimu, maelezo na ufafanuzi wa juu ya namna mafahali hawa wawili wa chadema iliyogawanyika wanaweza kushinda uchaguzi huo kulingana na numbers na suport ya wajumbe wapiga kura.

relax na utulie tu,
na wala usinionee huruma gentleman,
nitafanya kazi hii for free, kwa bidii zaidi, kwa kasi zaidi na kwa nguvu na kasi mpya...

naomba wadau waelewe hivyo
 
Mbowe nae awe na aibu,amefanya chama ni chake,aachie wenzie waongoze….Hichi ndio chama kinataka kuchukua serikali?
 
Basi wajumbe Wameinua Nyundo Na wenye majembe wameyainua wakisubiri wajumbe wamalize kuponda, wao Wafukie na kuondoka.
Wekeni mizani mjue wapi panabembea!
uchaguzi huu muhimu wa ndani wa chadema iliyogawanyika,

ni baina ya utulivu na mipango mikakati dhidi ya makelele, mdomo na kiki.

waamuzi ni wajumbe wa kanda 10 za kiutawala ndani ya chadema.
ustahimilivu na subra ni jambo muhimu sana, mengi zaidi yanakuja
 
gentlemani,
uchaguzi sio suala la kusimamisha maisha ya mtu. hilo ni vizuri likaeleweka hivyo na si vinginevyo

ni kweli chadema haimpi chochote lakini tuanafahamu jinsi ambavyo huyu muungwana ni hodari wa kuombaomba kuchangiwa vitu mbalimbali ndani na nje ya nchi, kwahiyo nadhani kwa tabia na hulka yake hiyo japo ni ya fedheha na aibu but hatutegemei akashinda njaa.

actualy,
mengine hayo ya kujimwambafai si muhimu sana,
na ikiwa kweli muungwana ni mwamba basi ni muhimu akawin the suport ya wajumbe walau kutoka katika kanda hata 5 tu za uhakika na tutajua kwamba mwamba yupo serious na jambo hili,

but akitegemea makelele, mdomo na kiki bila mipango ataishia kuondoka chadema kwa hasira na aibu ya kushindwa uchaguzi tu na si vinginevyo
 

Bahati mbaya sana kwa simba makundi au mitandao sio sehemu ya mfumo wake wa maisha! Wajumbe wapime waamue na mambo yataendelea! Hayo mambo ya mitandao ya kikanda na kuhonga wajumbe yapo ccm, simba hana na hayataki!
 
Ccm ni mapumbavu badala ya kujadiki ushindi wenu wa asilimia 99 wa genge lenu la wapuuz ambalo limeshindwa kushindana mnajadili wanaume wa shoka.
 
Wewe na mamayako mlimchangia kiasi gani.
 
Acha porojo. Hangaika na chawa wenzako huko CCM.

Huko CHADEMA wanahitajika wenye akili timamu, wanaoongea kwa data na siyo kwa ramli na ujuha.
 
Gentleman,
hii inadhirisha bayana kwamba, Lisu has no numbers, compared to Mbowe in wining the support of delegates to clinch the seat of mwenyekiti wa Chadema Taifa 🐒


Kama una kitu unachokijua, weka hizo data na source yake ili watu waone uhakika wa unachokisema.

Jifunze kuleta mada badala ya kuropoka.
 
Kama una kitu unachokijua, weka hizo data na source yake ili watu waone uhakika wa unachokisema.

Jifunze kuleta mada badala ya kuropoka.

una hitaji kielelezo gani hali ya kua kati ya kanda 10 za kiutawala chadema, kanda za NYASA, VICTORIA, PWANI NA KASAKAZINI tayari zinamsapoti chairman mbowe, huku lisu akisapotiwa na wanyanturu wenzake wachache tu mpaka sasa?
 
Wachagga acheni uchawa kwa huyu mzee Mbowe,kiuhalisia ccm itatawala milele
gentleman,
masuala ya vyama vingine vya siasa si tujadiliane siku nyingine, kwasasa tudeal na hili la chadema iliyogawanyika tu, ili tumalizane nalo kwanza?
 
Maccm yanaanza piga chapuo kwa Mbowe maana wanajua ,pamoja na misimamo ya Mbowe , ccm huweza kumlaghai kiana ,sasa wanaanza jiuliza Mwenyekiti akiwa lissu ,katibu mkuu akawa John Heche, makam mwenyekiti akawa lema itakuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…