Mbowe anaungwa mkono na Wajumbe wapiga kura wengi ndani ya CHADEMA, Lissu anaungwa mkono na umati mkubwa wa wapiga kelele

Mbowe anaungwa mkono na Wajumbe wapiga kura wengi ndani ya CHADEMA, Lissu anaungwa mkono na umati mkubwa wa wapiga kelele

pili pili ya shamba inamuwasha jirani
kumbe hili kombora la maana sana ni pilipili gentleman? :pedroP:

pole na samahani sana my friend, Lakini itabidi uzoeee tu maana hakuna namna nyingine sasa.

Freeman Aikaeli Mbowe anaenjoy kura nyingi zaidi za wajumbe wapiga kura kumchagua mwenyekiti wa Taifa chadema, huku Tundu Antipas Lisu akiinjoy makelele, mdomo na useless mass popularity, ambayo haitasaidia chochote kwenye harakati za kutafuata uongozi wa juu chadeama:BASED:
 
Gentleman,
elewa somo basi sio kukurupuka na mihemko tu.

elections is all about numbers. where are numbers for Lisu miongoni mwa kanda 10 za kiutawala chadema?

atapata sapoti ya kura kutoka kwa wajumbe wa kanda ipi kwa mfano?

wasifu na kutia huruma ati alipigwa risasi vitasaidia nini na hana numbers za wajumbe kushinda uchaguzi?

Mbowe mpaka sasa ana kanda4, kibindoni uchaguzi ufanyike leo au mwakani anayo full support, mathalan kanda ya Pwani, Kaskazini, Victoria na Nyasa.

Na ili ushinde uchaguzi wa ndani wa chadema Taifa ni muhimu kua na sapoti ya kanda zisizo pungua 7, Je Lisu ana uhakika wa kanda hata moja gentleman, hata uje na wasifu?

mambo ya wasifu si ni kwenye mazishi?🐒
Wachagga acheni uchawa kwa huyu mzee Mbowe,kiuhalisia ccm itatawala milele
 
Wanachiana zamu tu akitoka gentleman Tlaahtlaah anaingia Chiembe, kama wapo kwenye mduara🤣🤣
hii inaitwa bampa to bampa mambo ni mengi muda mchache,

kama mbobevu mwandamizi katiaka siasa za vya vya siasa nawajibika bila uchoyo kuwafungua macho na maskio juu ya mabo haya muhimu sana kwa ustawi wa demokrasia ndani ya vyama vya siasa.

ni muhimu kuwa watulivu na wenye subra, katika kuyafahamu na kuyajua mambo haya muhimu sana, katika kuongeza uelewa na ufahamu hususani katika hili la uchaguzi wa ndani ya chadema iliyogawanyika.

bilashaka tunaelewana gentleman:BASED:
 
Kwa wiki hii pekee nadhani hii ni post yako ya kumi na kitu kuhusu CHADEMA na zote zimekuwa post za kizushi majungu uongo mwingi na kila aina ya upuuzi.Hivi huoni haya wala kujisikia vibaya? Maana hakuna hata moja uliloandika limekuwa kweli
 
Anawatisha aisee bado wiki na nusu ya nyuzi mpya kila saa, baadaye watazoea tu! Alipomuita jiwe dikteta uchwara walijificha uvunguni wakisubiri outcome
ni muhimu zaidi kwenye hili,
tukajikita kuona namna mafahali hawa wawili watamenyanya katika uchaguzi huu muhimu sana wa chadema iliyogawanyika.

kanda za kiutawala chadema zipo 10.
na mpaka sasa kanda4 za PWANI, NYASA, KASKAZINI NA VICTORIA zipo upanda wa Chairman MBOWE.

na ili kushinda uchaguzi huo kwa kishindo cha uhakika ni lazima uwe na saporti ya walau zaidi ya nusu ya kanda hizo 10 za kiutawala, maana yake upate ushindi na sapoti ya wajumbe walau wa kanda 7.

je mpaka sasa,
Lisu ana sapoti ya kanda ngapi kwa mfano ili walau kujihakikishia ushindi?:pedroP:
 
Umejuaje haya? Umepiga ramli?
 
Mwaka huu utapata tabu sana
sina pressure kwenye taaluma yangu,
nakula maisha silali njaa wenzangu... hukuwahi kuskia taarabu yenye maneno hayo gentleman?:pedroP:

mwanadiplomasia mbobevu na mwanasiasa mwandamizi mtaalamu wa siasa za vyama anapataje tabu, kutoa elimu, maelezo na ufafanuzi wa juu ya namna mafahali hawa wawili wa chadema iliyogawanyika wanaweza kushinda uchaguzi huo kulingana na numbers na suport ya wajumbe wapiga kura.

relax na utulie tu,
na wala usinionee huruma gentleman,
nitafanya kazi hii for free, kwa bidii zaidi, kwa kasi zaidi na kwa nguvu na kasi mpya...

naomba wadau waelewe hivyo:pedroP:
 
Friends, ladies and gentlemen.

Kwa kifupi kabisa,
ukipima kwa jicho la rohoni kabisa, numbers of votes zinamfavor chairman Mbowe, huku useless mass popularity ikimfavor vice chairman Lisu, ikiwa uchaguzi wa ndani wa chadema utafanyika mwaka huu 2024 au 2025.
There is no way Lisu can beat Mbowe in the ballot box, because Mbowe has real numbers, than Lisu has.

Uchaguzi ni mchakato unaozingatia na kutegemea zaidi numbers kwa washindani ili kushinda.

Ni dhahiri kanda za Pwani, Nyasa, Victoria na Kaskazini ni ngome imara za mwenyekiti wa sasa wa chadema Taifa, na tayari katika ujumla wake zimejipambanua kumuunga mkono.

Kanda ya kati,
nadhani sote tunafahamu uhasama kati ya Lisu na Kigaila. Ni majirani wasioelewana hawa.Tuchukulie kanda hiyo itakua imegawanyika.

Kanda ya Viktoria kwa kamanda Ezekia Wenje, kama kawaida Taifa zima linafahamu, huyo ndie makamu mwenyekiti wa chadema Taifa ajae, ambae pia anamuunga mkono Dr.Freeman Aikaeli Mbowe kua mwenyekiti wa chadema Taifa.

Nguvu ya Ezekia Wenje kisiasa ndani ya chadema, imemlazimisha na kumtoa mtu maarufu sana ulingoni kwenye kinyang'anyiro cha uongozi wa chama Taifa.

Kanda za Serengeti, Magharibi, Kusini n.k ni kama wanatafuta platforms na namna ya kujipambanua wako upande wa Mbowe au Lisu.

Kwa ujumla,
mizizi ya mwenyekiti wa chadema Taifa wa sasa ni mirefu, imara na imejikita sana ndani ya chadema. Kuing"oa yahitajika mipango mikakati ya kisayansi, Lakini pia nguvu, bongo kali, ushawishi wa hali na mali na jitihada za ziada. Asilimia kubwa ya viongozi wa chadema wa kanda, mikoa na wilaya wanatokana na mapendekezo na baraka za mwenyekiti wa chadema wa sasa.

Kwa maoni na mtazamo wako kisiasa, kati ya kanda 10 za kiutawala zilizopo chadema, unadhani ni kanda zipi zinanaweza kuunga mkono azma ya Tundu Lisu kua mwenyekiti wa chadema Taifa badala ya Freeman Mbowe?🐒

Mungu Ibarki Tanzania
Mbowe nae awe na aibu,amefanya chama ni chake,aachie wenzie waongoze….Hichi ndio chama kinataka kuchukua serikali?
 
Basi wajumbe Wameinua Nyundo Na wenye majembe wameyainua wakisubiri wajumbe wamalize kuponda, wao Wafukie na kuondoka.
Wekeni mizani mjue wapi panabembea!
uchaguzi huu muhimu wa ndani wa chadema iliyogawanyika,

ni baina ya utulivu na mipango mikakati dhidi ya makelele, mdomo na kiki.

waamuzi ni wajumbe wa kanda 10 za kiutawala ndani ya chadema.
ustahimilivu na subra ni jambo muhimu sana, mengi zaidi yanakuja:BASED:
 
Hahah eti unamuonea huruma!😛

OK suppose kashindwa kwa kura unafikiri maisha yake yatasimama? Atabaki Lissu (Simba) na maisha yataendelea jionee huruma mwenyewe unayetegemea kula kwa uchawa na siasa! Simba hana shaka, kwanza chadema haimpi hata mshahara, anapambania WITO wake tu. Na hata akishindwa, ile lecture imesikika nchi nzima hata ccm (kubwa lao sio uvccm) wamejifunza, mwangwi wa lile somo utaleta mabadiliko makubwa kila mahali! Wakati ni ukuta tusubiri na tuone.

Ile ilikua sio tu kutia nia ila ni lecture ya mwaka! hata mama yetu alikaa chini kupata somo, alishamsahau Simba na darasa lake tangu bunge la katiba (kama ulikua ushakomaa) na sasa kasema dah, huyu bwana bado ni yuleyule
gentlemani,
uchaguzi sio suala la kusimamisha maisha ya mtu. hilo ni vizuri likaeleweka hivyo na si vinginevyo:pedroP:

ni kweli chadema haimpi chochote lakini tuanafahamu jinsi ambavyo huyu muungwana ni hodari wa kuombaomba kuchangiwa vitu mbalimbali ndani na nje ya nchi, kwahiyo nadhani kwa tabia na hulka yake hiyo japo ni ya fedheha na aibu but hatutegemei akashinda njaa.

actualy,
mengine hayo ya kujimwambafai si muhimu sana,
na ikiwa kweli muungwana ni mwamba basi ni muhimu akawin the suport ya wajumbe walau kutoka katika kanda hata 5 tu za uhakika na tutajua kwamba mwamba yupo serious na jambo hili,

but akitegemea makelele, mdomo na kiki bila mipango ataishia kuondoka chadema kwa hasira na aibu ya kushindwa uchaguzi tu na si vinginevyo:BASED:
 
Bahati mbaya sana kwa simba makundi au mitandao sio sehemu ya mfumo wake wa maisha! Wajumbe wapime waamue na mambo yataendelea! Hayo mambo ya mitandao ya kikanda na kuhonga wajumbe yapo ccm, simba hana na hayataki!
 
Friends, ladies and gentlemen.

Kwa kifupi kabisa,
ukipima kwa jicho la rohoni kabisa, numbers of votes zinamfavor chairman Mbowe, huku useless mass popularity ikimfavor vice chairman Lisu, ikiwa uchaguzi wa ndani wa chadema utafanyika mwaka huu 2024 au 2025.
There is no way Lisu can beat Mbowe in the ballot box, because Mbowe has real numbers, than Lisu has.

Uchaguzi ni mchakato unaozingatia na kutegemea zaidi numbers kwa washindani ili kushinda.

Ni dhahiri kanda za Pwani, Nyasa, Victoria na Kaskazini ni ngome imara za mwenyekiti wa sasa wa chadema Taifa, na tayari katika ujumla wake zimejipambanua kumuunga mkono.

Kanda ya kati,
nadhani sote tunafahamu uhasama kati ya Lisu na Kigaila. Ni majirani wasioelewana hawa.Tuchukulie kanda hiyo itakua imegawanyika.

Kanda ya Viktoria kwa kamanda Ezekia Wenje, kama kawaida Taifa zima linafahamu, huyo ndie makamu mwenyekiti wa chadema Taifa ajae, ambae pia anamuunga mkono Dr.Freeman Aikaeli Mbowe kua mwenyekiti wa chadema Taifa.

Nguvu ya Ezekia Wenje kisiasa ndani ya chadema, imemlazimisha na kumtoa mtu maarufu sana ulingoni kwenye kinyang'anyiro cha uongozi wa chama Taifa.

Kanda za Serengeti, Magharibi, Kusini n.k ni kama wanatafuta platforms na namna ya kujipambanua wako upande wa Mbowe au Lisu.

Kwa ujumla,
mizizi ya mwenyekiti wa chadema Taifa wa sasa ni mirefu, imara na imejikita sana ndani ya chadema. Kuing"oa yahitajika mipango mikakati ya kisayansi, Lakini pia nguvu, bongo kali, ushawishi wa hali na mali na jitihada za ziada. Asilimia kubwa ya viongozi wa chadema wa kanda, mikoa na wilaya wanatokana na mapendekezo na baraka za mwenyekiti wa chadema wa sasa.

Kwa maoni na mtazamo wako kisiasa, kati ya kanda 10 za kiutawala zilizopo chadema, unadhani ni kanda zipi zinanaweza kuunga mkono azma ya Tundu Lisu kua mwenyekiti wa chadema Taifa badala ya Freeman Mbowe?🐒

Mungu Ibarki Tanzania
Ccm ni mapumbavu badala ya kujadiki ushindi wenu wa asilimia 99 wa genge lenu la wapuuz ambalo limeshindwa kushindana mnajadili wanaume wa shoka.
 
gentlemani,
uchaguzi sio suala la kusimamisha maisha ya mtu. hilo ni vizuri likaeleweka hivyo na si vinginevyo:pedroP:

ni kweli chadema haimpi chochote lakini tuanafahamu jinsi ambavyo huyu muungwana ni hodari wa kuombaomba kuchangiwa vitu mbalimbali ndani na nje ya nchi, kwahiyo nadhani kwa tabia na hulka yake hiyo japo ni ya fedheha na aibu but hatutegemei akashinda njaa.

actualy,
mengine hayo ya kujimwambafai si muhimu sana,
na ikiwa kweli muungwana ni mwamba basi ni muhimu akawin the suport ya wajumbe walau kutoka katika kanda hata 5 tu za uhakika na tutajua kwamba mwamba yupo serious na jambo hili,

but akitegemea makelele, mdomo na kiki bila mipango ataishia kuondoka chadema kwa hasira na aibu ya kushindwa uchaguzi tu na si vinginevyo:BASED:
Wewe na mamayako mlimchangia kiasi gani.
 
Machawa ya mzee Mbowe hayana hata aibu ,hivi jaribuni kuweka wasifu wa msomi Lissu na wasifu wa mzee Mbowe ndio mtajua kuwa makelele yote mnayorushia Lissu ni kwa ajili ya jambo moja tu, Lissu ni mkuwbwa mno kwa mzee Mbowe kwa Fikra ,mawazo na akili kwa ujumla .Acheni uwoga jamani ,kama mnavyojiita cham cha demokrasia ni wakati wa kuthitisheni hilo na si porojo.
Acha porojo. Hangaika na chawa wenzako huko CCM.

Huko CHADEMA wanahitajika wenye akili timamu, wanaoongea kwa data na siyo kwa ramli na ujuha.
 
Gentleman,
hii inadhirisha bayana kwamba, Lisu has no numbers, compared to Mbowe in wining the support of delegates to clinch the seat of mwenyekiti wa Chadema Taifa 🐒

Kama una kitu unachokijua, weka hizo data na source yake ili watu waone uhakika wa unachokisema.

Jifunze kuleta mada badala ya kuropoka.
 
Kama una kitu unachokijua, weka hizo data na source yake ili watu waone uhakika wa unachokisema.

Jifunze kuleta mada badala ya kuropoka.

una hitaji kielelezo gani hali ya kua kati ya kanda 10 za kiutawala chadema, kanda za NYASA, VICTORIA, PWANI NA KASAKAZINI tayari zinamsapoti chairman mbowe, huku lisu akisapotiwa na wanyanturu wenzake wachache tu mpaka sasa? :pedroP:
 
Wachagga acheni uchawa kwa huyu mzee Mbowe,kiuhalisia ccm itatawala milele
gentleman,
masuala ya vyama vingine vya siasa si tujadiliane siku nyingine, kwasasa tudeal na hili la chadema iliyogawanyika tu, ili tumalizane nalo kwanza?:pedroP:
 
Maccm yanaanza piga chapuo kwa Mbowe maana wanajua ,pamoja na misimamo ya Mbowe , ccm huweza kumlaghai kiana ,sasa wanaanza jiuliza Mwenyekiti akiwa lissu ,katibu mkuu akawa John Heche, makam mwenyekiti akawa lema itakuaje?
 
Back
Top Bottom