Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
Hivi kusini Lindi +Mtwara sio Kanda maana siwasikii viongozi wa chadema tokea huko.Friends, ladies and gentlemen.
Kwa kifupi kabisa,
ukipima kwa jicho la rohoni kabisa, numbers of votes zinamfavor chairman Mbowe, huku useless mass popularity ikimfavor vice chairman Lisu, ikiwa uchaguzi wa ndani wa chadema utafanyika mwaka huu 2024 au 2025.
There is no way Lisu can beat Mbowe in the ballot box, because Mbowe has real numbers, than Lisu has.
Uchaguzi ni mchakato unaozingatia na kutegemea zaidi numbers kwa washindani ili kushinda.
Ni dhahiri kanda za Pwani, Nyasa, Victoria na Kaskazini ni ngome imara za mwenyekiti wa sasa wa chadema Taifa, na tayari katika ujumla wake zimejipambanua kumuunga mkono.
Kanda ya kati,
nadhani sote tunafahamu uhasama kati ya Lisu na Kigaila. Ni majirani wasioelewana hawa.Tuchukulie kanda hiyo itakua imegawanyika.
Kanda ya Viktoria kwa kamanda Ezekia Wenje, kama kawaida Taifa zima linafahamu, huyo ndie makamu mwenyekiti wa chadema Taifa ajae, ambae pia anamuunga mkono Dr.Freeman Aikaeli Mbowe kua mwenyekiti wa chadema Taifa.
Nguvu ya Ezekia Wenje kisiasa ndani ya chadema, imemlazimisha na kumtoa mtu maarufu sana ulingoni kwenye kinyang'anyiro cha uongozi wa chama Taifa.
Kanda za Serengeti, Magharibi, Kusini n.k ni kama wanatafuta platforms na namna ya kujipambanua wako upande wa Mbowe au Lisu.
Kwa ujumla,
mizizi ya mwenyekiti wa chadema Taifa wa sasa ni mirefu, imara na imejikita sana ndani ya chadema. Kuing"oa yahitajika mipango mikakati ya kisayansi, Lakini pia nguvu, bongo kali, ushawishi wa hali na mali na jitihada za ziada. Asilimia kubwa ya viongozi wa chadema wa kanda, mikoa na wilaya wanatokana na mapendekezo na baraka za mwenyekiti wa chadema wa sasa.
Kwa maoni na mtazamo wako kisiasa, kati ya kanda 10 za kiutawala zilizopo chadema, unadhani ni kanda zipi zinanaweza kuunga mkono azma ya Tundu Lisu kua mwenyekiti wa chadema Taifa badala ya Freeman Mbowe?🐒
Mungu Ibarki Tanzania
Gentleman,Hivi kusini Lindi +Mtwara sio Kanda maana siwasikii viongozi wa chadema tokea huko.
Na wapo upande wa Mwamba VS Lissu.???
Point to note: kwanini viongozi wa kanda ya kusini (Lindi +Mtwara)wamepoa hata hawajulikani i mean sio maarufu kama akina wenje +boniyai???Gentleman,
nafuatilia kwa karibu sana kupata maoni, mtazamo na uelekeo wa uongozi wa kanda ya kusini ikihusisha maeneo uloyataja na kanda ya magharibi, kujua wanamuunga mkono mwamba wa Kaskazini au huyo mwamba wa kanda ya kati.
Kanda ya Serengeti, wameconmfirm muda si mrefu ulopita kupitia vyombo na vyanzo vyangu vya uhakika kwamba wako bega kwa bega na mwamba wa Kaskazini🐒
huko bana,Point to note: kwanini viongozi wa kanda ya kusini (Lindi +Mtwara)wamepoa hata hawajulikani i mean sio maarufu kama akina wenje +boniyai???
Tuache kutabiri, dawa washindanishwe tu kieleweke.kumbe hili kombora la maana sana ni pilipili gentleman?
pole na samahani sana my friend, Lakini itabidi uzoeee tu maana hakuna namna nyingine sasa.
Freeman Aikaeli Mbowe anaenjoy kura nyingi zaidi za wajumbe wapiga kura kumchagua mwenyekiti wa Taifa chadema, huku Tundu Antipas Lisu akiinjoy makelele, mdomo na useless mass popularity, ambayo haitasaidia chochote kwenye harakati za kutafuata uongozi wa juu chadeama
actually,Nimefuatilia mtifuano wa Mbowe na Lisu humu jukwani nimegundua vijana wa chadema wanatoaga matusi bafala ya hoja humu jukwaani wapo upande upi? Chadema ya kina Dr. Slaa haikuwa na vijana wa namna hii.
Huo ndio uhalisiaNimegundua CCM wanamwogopa sana Tundu Lissu
gentleman,Tuache kutabiri, dawa washindanishwe tu kieleweke.
Tunasubiri tuone hii analysisgentleman,
kama mtaalamu mbobevu katiaka sasa za vyama, ni muhimu kutoa uelekeo wa uchaguzi huo kadiri ya viashiria vya wazi kabisa miongoni mwa wahusika, kwamba yupi atafanya vizuri zaidi ya mwingine na kwasababu zipi,,
Sipotei. Tunajua upande wa pili wanajitahidi sana kupanga uongozi wa chadema uendelee kuwa weak.relax,
na usipotee sana humu jukwaani gentleaman
Kwa mawazo na maoni kama haya, kumbe ni bora CCM iendelee tu kula mema ya nchi. Nyie endeleeni kupiga porojo tu, huku mkiwasindikiza CCM katika kila uchaguzi. Hopeless opposition Party. Mnaendelea kuwavunja moyo Watanzania waliokuwa wanaendelea kuwaamini.Friends, ladies and gentlemen.
Kwa kifupi kabisa,
ukipima kwa jicho la rohoni kabisa, numbers of votes zinamfavor chairman Mbowe, huku useless mass popularity ikimfavor vice chairman Lisu, ikiwa uchaguzi wa ndani wa chadema utafanyika mwaka huu 2024 au 2025.
There is no way Lisu can beat Mbowe in the ballot box, because Mbowe has real numbers, than Lisu has.
Uchaguzi ni mchakato unaozingatia na kutegemea zaidi numbers kwa washindani ili kushinda.
Ni dhahiri kanda za Pwani, Nyasa, Victoria na Kaskazini ni ngome imara za mwenyekiti wa sasa wa chadema Taifa, na tayari katika ujumla wake zimejipambanua kumuunga mkono.
Kanda ya kati,
nadhani sote tunafahamu uhasama kati ya Lisu na Kigaila. Ni majirani wasioelewana hawa.Tuchukulie kanda hiyo itakua imegawanyika.
Kanda ya Viktoria kwa kamanda Ezekia Wenje, kama kawaida Taifa zima linafahamu, huyo ndie makamu mwenyekiti wa chadema Taifa ajae, ambae pia anamuunga mkono Dr.Freeman Aikaeli Mbowe kua mwenyekiti wa chadema Taifa.
Nguvu ya Ezekia Wenje kisiasa ndani ya chadema, imemlazimisha na kumtoa mtu maarufu sana ulingoni kwenye kinyang'anyiro cha uongozi wa chama Taifa.
Kanda za Serengeti, Magharibi, Kusini n.k ni kama wanatafuta platforms na namna ya kujipambanua wako upande wa Mbowe au Lisu.
Kwa ujumla,
mizizi ya mwenyekiti wa chadema Taifa wa sasa ni mirefu, imara na imejikita sana ndani ya chadema. Kuing"oa yahitajika mipango mikakati ya kisayansi, Lakini pia nguvu, bongo kali, ushawishi wa hali na mali na jitihada za ziada. Asilimia kubwa ya viongozi wa chadema wa kanda, mikoa na wilaya wanatokana na mapendekezo na baraka za mwenyekiti wa chadema wa sasa.
Kwa maoni na mtazamo wako kisiasa, kati ya kanda 10 za kiutawala zilizopo chadema, unadhani ni kanda zipi zinanaweza kuunga mkono azma ya Tundu Lisu kua mwenyekiti wa chadema Taifa badala ya Freeman Mbowe?🐒
Mungu Ibarki Tanzania
hekima na busara ikuelekeze kuchagua ushindi,Huo ndio ukweli na ole wao wajumbe watuchagulie/watuletee mtu tofauti.
Sijawahi kupigia kura tofauti na CHADEMA chaguzi kuu zoote ila wakifanya hivyo kwa mara ya kwanza wataikosa kura yangu!!.
Ila kiuhalisia ukiwauliza ccm watapenda mbowe abaki maana wanakula keki ya nchi pamoja, huyu mwingine akiingie ni vurugu tupu mdomo wake hauna brake kiufupi hana hekima ,busara wala karama ya uongoziFriends, ladies and gentlemen.