Mbowe anaungwa mkono na Wajumbe wapiga kura wengi ndani ya CHADEMA, Lissu anaungwa mkono na umati mkubwa wa wapiga kelele

Friends, ladies and gentlemen.

Kwa kifupi kabisa,
ukipima kwa jicho la rohoni kabisa, numbers of votes zinamfavor chairman Mbowe, huku useless mass popularity ikimfavor vice chairman Lisu, ikiwa uchaguzi wa ndani wa chadema utafanyika mwaka huu 2024 au 2025.
There is no way Lisu can beat Mbowe in the ballot box, because Mbowe has real numbers, than Lisu has.

Uchaguzi ni mchakato unaozingatia na kutegemea zaidi numbers kwa washindani ili kushinda.

Ni dhahiri kanda za Pwani, Nyasa, Victoria na Kaskazini ni ngome imara za mwenyekiti wa sasa wa chadema Taifa, na tayari katika ujumla wake zimejipambanua kumuunga mkono.

Kanda ya kati,
nadhani sote tunafahamu uhasama kati ya Lisu na Kigaila. Ni majirani wasioelewana hawa.Tuchukulie kanda hiyo itakua imegawanyika.

Kanda ya Viktoria kwa kamanda Ezekia Wenje, kama kawaida Taifa zima linafahamu, huyo ndie makamu mwenyekiti wa chadema Taifa ajae, ambae pia anamuunga mkono Dr.Freeman Aikaeli Mbowe kua mwenyekiti wa chadema Taifa.

Nguvu ya Ezekia Wenje kisiasa ndani ya chadema, imemlazimisha na kumtoa mtu maarufu sana ulingoni kwenye kinyang'anyiro cha uongozi wa chama Taifa.

Kanda za Serengeti, Magharibi, Kusini n.k ni kama wanatafuta platforms na namna ya kujipambanua wako upande wa Mbowe au Lisu.

Kwa ujumla,
mizizi ya mwenyekiti wa chadema Taifa wa sasa ni mirefu, imara na imejikita sana ndani ya chadema. Kuing"oa yahitajika mipango mikakati ya kisayansi, Lakini pia nguvu, bongo kali, ushawishi wa hali na mali na jitihada za ziada. Asilimia kubwa ya viongozi wa chadema wa kanda, mikoa na wilaya wanatokana na mapendekezo na baraka za mwenyekiti wa chadema wa sasa.

Kwa maoni na mtazamo wako kisiasa, kati ya kanda 10 za kiutawala zilizopo chadema, unadhani ni kanda zipi zinanaweza kuunga mkono azma ya Tundu Lisu kua mwenyekiti wa chadema Taifa badala ya Freeman Mbowe?🐒

Mungu Ibarki Tanzania
Hivi kusini Lindi +Mtwara sio Kanda maana siwasikii viongozi wa chadema tokea huko.
Na wapo upande wa Mwamba VS Lissu.???
 
Gentleman,
nafuatilia kwa karibu sana kupata maoni, mtazamo na uelekeo wa uongozi wa kanda ya kusini ikihusisha maeneo uloyataja na kanda ya magharibi, kujua wanamuunga mkono mwamba wa Kaskazini au huyo mwamba wa kanda ya kati.

Kanda ya Serengeti, wameconmfirm muda si mrefu ulopita kupitia vyombo na vyanzo vyangu vya uhakika kwamba wako bega kwa bega na mwamba wa Kaskazini🐒
 
Point to note: kwanini viongozi wa kanda ya kusini (Lindi +Mtwara)wamepoa hata hawajulikani i mean sio maarufu kama akina wenje +boniyai???
 
Nimefuatilia mtifuano wa Mbowe na Lisu humu jukwani nimegundua vijana wa chadema wanatoaga matusi bafala ya hoja humu jukwaani wapo upande upi? Chadema ya kina Dr. Slaa haikuwa na vijana wa namna hii.
 
huko bana,
vyama vyote vya upinzani vinatoshana nguvu kwa kiasi fulani, hakuna mnyonge baina yao,

infact Cuf na ACT wazalendo walifanikiwa kudominate siasa eneo kwa wakati fulani, but powerful ruling party hivi sasa wametake control na wamewaslow down mno kwasasa..

naweza kuhitimisha kwamba,
Chadema inaweza kua nafasi ya4 kwa popularity na powerfullnes katika eneo hilo baada ya CCM, ACT na CUF.

Lakini pia kama ijulikanavyo, chadema haina communications strategies ya kufanya watu wajue kinaendelea nini eaneo gani , wala kujua kirahisi kanda gani ina maoni gani, mathalani kuhusu uchaguzi wa kitaifa unaoendelea hivi sasa :BASED:
 
kumbe hili kombora la maana sana ni pilipili gentleman? :pedroP:

pole na samahani sana my friend, Lakini itabidi uzoeee tu maana hakuna namna nyingine sasa.

Freeman Aikaeli Mbowe anaenjoy kura nyingi zaidi za wajumbe wapiga kura kumchagua mwenyekiti wa Taifa chadema, huku Tundu Antipas Lisu akiinjoy makelele, mdomo na useless mass popularity, ambayo haitasaidia chochote kwenye harakati za kutafuata uongozi wa juu chadeama:BASED:
Tuache kutabiri, dawa washindanishwe tu kieleweke.
 
Nimefuatilia mtifuano wa Mbowe na Lisu humu jukwani nimegundua vijana wa chadema wanatoaga matusi bafala ya hoja humu jukwaani wapo upande upi? Chadema ya kina Dr. Slaa haikuwa na vijana wa namna hii.
actually,
hata wakiwa upande wa chairman au vice chairman, bado ni wanachadema tu, muhimu zaidi ni kwamba matusi sio kitu kizuri kabisa, waachae mambo hayo kwenye mijadala..

jambo muhimu la kunote ni kwamba,

ukiona mdau anachangia kwa mihemko ujue huyo umemkaba koo, anajaribu kujinasua ili atimue mbio,

na ukiona mdau mwingine anachangia hoja kwa kuporomosha matusi, ujue huyo tayari amefika ukomo wa mawazo mapya na fikra mbadala na kwahivyo analeta fujo ili kufuta yote mliojadiliana na muanze upya.

hata hivyo,
mihemko na matusi ni useless na nonsense kwenye mijadala mbalimbali humu jukwaani. ni muhimu hekima na busara zikatawala:BASED:
 
Tuache kutabiri, dawa washindanishwe tu kieleweke.
gentleman,
kama mtaalamu mbobevu katiaka sasa za vyama, ni muhimu kutoa uelekeo wa uchaguzi huo kadiri ya viashiria vya wazi kabisa miongoni mwa wahusika, kwamba yupi atafanya vizuri zaidi ya mwingine na kwasababu zipi,,:BASED:
 
Huo ndio uhalisia
uhalisia ni kwamba numbers dont lie,

kuna mgombea moja ana naumbers na mwingine ana mamakelele na mdomo tu pale chadema, eti anategemea huruma za wajumbe:pedroP:
 
Friends, ladies and gentlemen.

Kwa kifupi kabisa,
ukipima kwa jicho la rohoni kabisa, numbers of votes zinamfavor chairman Mbowe, huku useless mass popularity ikimfavor vice chairman Lisu, ikiwa uchaguzi wa ndani wa chadema utafanyika mwaka huu 2024 au 2025.
There is no way Lisu can beat Mbowe in the ballot box, because Mbowe has real numbers, than Lisu has.

Uchaguzi ni mchakato unaozingatia na kutegemea zaidi numbers kwa washindani ili kushinda.

Ni dhahiri kanda za Pwani, Nyasa, Victoria na Kaskazini ni ngome imara za mwenyekiti wa sasa wa chadema Taifa, na tayari katika ujumla wake zimejipambanua kumuunga mkono.

Kanda ya kati,
nadhani sote tunafahamu uhasama kati ya Lisu na Kigaila. Ni majirani wasioelewana hawa.Tuchukulie kanda hiyo itakua imegawanyika.

Kanda ya Viktoria kwa kamanda Ezekia Wenje, kama kawaida Taifa zima linafahamu, huyo ndie makamu mwenyekiti wa chadema Taifa ajae, ambae pia anamuunga mkono Dr.Freeman Aikaeli Mbowe kua mwenyekiti wa chadema Taifa.

Nguvu ya Ezekia Wenje kisiasa ndani ya chadema, imemlazimisha na kumtoa mtu maarufu sana ulingoni kwenye kinyang'anyiro cha uongozi wa chama Taifa.

Kanda za Serengeti, Magharibi, Kusini n.k ni kama wanatafuta platforms na namna ya kujipambanua wako upande wa Mbowe au Lisu.

Kwa ujumla,
mizizi ya mwenyekiti wa chadema Taifa wa sasa ni mirefu, imara na imejikita sana ndani ya chadema. Kuing"oa yahitajika mipango mikakati ya kisayansi, Lakini pia nguvu, bongo kali, ushawishi wa hali na mali na jitihada za ziada. Asilimia kubwa ya viongozi wa chadema wa kanda, mikoa na wilaya wanatokana na mapendekezo na baraka za mwenyekiti wa chadema wa sasa.

Kwa maoni na mtazamo wako kisiasa, kati ya kanda 10 za kiutawala zilizopo chadema, unadhani ni kanda zipi zinanaweza kuunga mkono azma ya Tundu Lisu kua mwenyekiti wa chadema Taifa badala ya Freeman Mbowe?🐒

Mungu Ibarki Tanzania
Kwa mawazo na maoni kama haya, kumbe ni bora CCM iendelee tu kula mema ya nchi. Nyie endeleeni kupiga porojo tu, huku mkiwasindikiza CCM katika kila uchaguzi. Hopeless opposition Party. Mnaendelea kuwavunja moyo Watanzania waliokuwa wanaendelea kuwaamini.

Tuombe tu siku moja CCM watifuane,ili kuje kuanzishwe chama kingine kitakachokuwa na nguvu na iwe mbadala wa Nyie mlioshindwa.
 
Huo ndio ukweli na ole wao wajumbe watuchagulie/watuletee mtu tofauti.
Sijawahi kupigia kura tofauti na CHADEMA chaguzi kuu zoote ila wakifanya hivyo kwa mara ya kwanza wataikosa kura yangu!!.
hekima na busara ikuelekeze kuchagua ushindi,

ukichagua fungu la kukosa utalalama na kumlaumu kila mtu aise..

uchaguzi wa chadema ni muhimu sana kwa ustawi na umadhubuti wa demokrasia ndani ya chadema yenyewe.

ni muhimu kushiriki katika hatua na mchakato wa kidemokrasia bila masharti, numbers dont lie :pedroP:
 
Friends, ladies and gentlemen.

Kwa kifupi kabisa,
ukipima kwa jicho la rohoni kabisa, numbers of votes zinamfavor chairman Mbowe, huku useless mass popularity ikimfavor vice chairman Lisu, ikiwa uchaguzi wa ndani wa chadema utafanyika mwaka huu 2024 au 2025.
There is no way Lisu can beat Mbowe in the ballot box, because Mbowe has real numbers, than Lisu has.

Uchaguzi ni mchakato unaozingatia na kutegemea zaidi numbers kwa washindani ili kushinda.

Ni dhahiri kanda za Pwani, Nyasa, Victoria na Kaskazini ni ngome imara za mwenyekiti wa sasa wa chadema Taifa, na tayari katika ujumla wake zimejipambanua kumuunga mkono.

Kanda ya kati,
nadhani sote tunafahamu uhasama kati ya Lisu na Kigaila. Ni majirani wasioelewana hawa.Tuchukulie kanda hiyo itakua imegawanyika.

Kanda ya Viktoria kwa kamanda Ezekia Wenje, kama kawaida Taifa zima linafahamu, huyo ndie makamu mwenyekiti wa chadema Taifa ajae, ambae pia anamuunga mkono Dr.Freeman Aikaeli Mbowe kua mwenyekiti wa chadema Taifa.

Nguvu ya Ezekia Wenje kisiasa ndani ya chadema, imemlazimisha na kumtoa mtu maarufu sana ulingoni kwenye kinyang'anyiro cha uongozi wa chama Taifa.

Kanda za Serengeti, Magharibi, Kusini n.k ni kama wanatafuta platforms na namna ya kujipambanua wako upande wa Mbowe au Lisu.

Kwa ujumla,
mizizi ya mwenyekiti wa chadema Taifa wa sasa ni mirefu, imara na imejikita sana ndani ya chadema. Kuing"oa yahitajika mipango mikakati ya kisayansi, Lakini pia nguvu, bongo kali, ushawishi wa hali na mali na jitihada za ziada. Asilimia kubwa ya viongozi wa chadema wa kanda, mikoa na wilaya wanatokana na mapendekezo na baraka za mwenyekiti wa chadema wa sasa.

Kwa maoni na mtazamo wako kisiasa, kati ya kanda 10 za kiutawala zilizopo chadema, unadhani ni kanda zipi zinanaweza kuunga mkono azma ya Tundu Lisu kua mwenyekiti wa chadema Taifa badala ya Freeman Mbowe?🐒

Mungu Ibarki Tanzania
Ila kiuhalisia ukiwauliza ccm watapenda mbowe abaki maana wanakula keki ya nchi pamoja, huyu mwingine akiingie ni vurugu tupu mdomo wake hauna brake kiufupi hana hekima ,busara wala karama ya uongozi
 
Back
Top Bottom