Mbowe anaungwa mkono na Wajumbe wapiga kura wengi ndani ya CHADEMA, Lissu anaungwa mkono na umati mkubwa wa wapiga kelele

Mbowe anaungwa mkono na Wajumbe wapiga kura wengi ndani ya CHADEMA, Lissu anaungwa mkono na umati mkubwa wa wapiga kelele

huko bana,
vyama vyote vya upinzani vinatoshana nguvu kwa kiasi fulani, hakuna mnyonge baina yao,

infact Cuf na ACT wazalendo walifanikiwa kudominate siasa eneo kwa wakati fulani, but powerful ruling party hivi sasa wametake control na wamewaslow down mno kwasasa..

naweza kuhitimisha kwamba,
Chadema inaweza kua nafasi ya4 kwa popularity na powerfullnes katika eneo hilo baada ya CCM, ACT na CUF.

Lakini pia kama ijulikanavyo, chadema haina communications strategies ya kufanya watu wajue kinaendelea nini eaneo gani , wala kujua kirahisi kanda gani ina maoni gani, mathalani kuhusu uchaguzi wa kitaifa unaoendelea hivi sasa :BASED:
Na hata viongozi wao hawaongelei kabisa Lindi na Mtwara.
Nakubaliana na mtizamo wako.
 
Labda kama wajumbe wa chadema hamnazo kama wa ccm, una mpigiaje kura mtu kakaa madarakani over 20yrs? Kipi hajafanya in 20 yrs atakacho kifanya in 5yrs? Kumbe ujinga wa wajumbe sio ccm tu bali hadi vyama vingine, Lissu kushinda hii kitu hahitaji hata campaign, it long overdue kwa Mbowe, hiyo tu ni disqualification peke yake, Mtawaambia nini vyama vingine kuwa democracy ilihali Mbowe yuko madarakani mile na mile ? Aii kwani yeye ni nani? Msifanye Tz au chadema ya mtu mmoja tu.
eti huhitaji kampeni :pedroP:

inahitaji huruma tu right?

miaka 20 si alikua anachaguliwa kwa kura ama?:BASED:
Ana shinikiza tu wajumbe wamchague, so anaitisha uchaguzi fake ili kuonyesha chadema kuna democracy.

Uchaguzi huo ni kama wa Rais Mseven wa Uganda, unadhani Uganda ya Mseven hufanya genuine election? Au mseven huzuga tu kuwaonyesha donors kuwa tumefanya uchaguzi.
 
The point is, CDM inaonyesha ukomavu kidemokrasia. CCM lini ilifanya uchaguzi wa mwenyekiti taifa? Lesholutwa tu mmeshasema itatoka fom moja ya mgombea uraisi.

CCM imekuwa takataka yani.
 
Friends, ladies and gentlemen.

Kwa kifupi kabisa, ukipima kwa jicho la rohoni kabisa, numbers of votes zinamfavor chairman Mbowe, huku useless mass popularity ikimfavor vice chairman Lisu, ikiwa uchaguzi wa ndani wa chadema utafanyika mwaka huu 2024 au 2025.

There is no way Lissu can beat Mbowe in the ballot box, because Mbowe has real numbers, than Lisu has.

Uchaguzi ni mchakato unaozingatia na kutegemea zaidi numbers kwa washindani ili kushinda.

Ni dhahiri kanda za Pwani, Nyasa, Victoria na Kaskazini ni ngome imara za mwenyekiti wa sasa wa chadema Taifa, na tayari katika ujumla wake zimejipambanua kumuunga mkono.

Kanda ya kati, nadhani sote tunafahamu uhasama kati ya Lissu na Kigaila. Ni majirani wasioelewana hawa.Tuchukulie kanda hiyo itakua imegawanyika.

Kanda ya Viktoria kwa kamanda Ezekia Wenje, kama kawaida Taifa zima linafahamu, huyo ndie makamu mwenyekiti wa chadema Taifa ajae, ambae pia anamuunga mkono Dr. Freeman Aikaeli Mbowe kua mwenyekiti wa chadema Taifa.

Nguvu ya Ezekia Wenje kisiasa ndani ya chadema, imemlazimisha na kumtoa mtu maarufu sana ulingoni kwenye kinyang'anyiro cha uongozi wa chama Taifa.

Kanda za Serengeti, Magharibi, Kusini n.k ni kama wanatafuta platforms na namna ya kujipambanua wako upande wa Mbowe au Lisu.

Kwa ujumla, mizizi ya mwenyekiti wa chadema Taifa wa sasa ni mirefu, imara na imejikita sana ndani ya chadema. Kuing’oa yahitajika mipango mikakati ya kisayansi, Lakini pia nguvu, bongo kali, ushawishi wa hali na mali na jitihada za ziada. Asilimia kubwa ya viongozi wa chadema wa kanda, mikoa na wilaya wanatokana na mapendekezo na baraka za mwenyekiti wa chadema wa sasa.

Kwa maoni na mtazamo wako kisiasa, kati ya kanda 10 za kiutawala zilizopo chadema, unadhani ni kanda zipi zinanaweza kuunga mkono azma ya Tundu Lisu kua mwenyekiti wa chadema Taifa badala ya Freeman Mbowe?🐒

Mungu Ibarki Tanzania
Siasa!!! Mbowe anatetewa hadi na ccm
 
pili pili ya shamba inamuwasha jirani
Mbona hata nyinyi mnachambuaga viongoni wa CCM pamoja na uchaguzi wanaofanya muhimu Ni hoja maana mkianza kuingiza itikadi zenu vya vyama vipi kwa sisi ambao hatuna vyama
 
Ana shinikiza tu wajumbe wamchague, so anaitisha uchaguzi fake ili kuonyesha chadema kuna democracy.

Uchaguzi huo ni kama wa Rais Mseven wa Uganda, unadhani Uganda ya Mseven hufanya genuine election? Au mseven huzuga tu kuwaonyesha donors kuwa tumefanya uchaguzi.
anazugaje na kila mtu anaona na mambo yanafanyika hadharani mchana kweupe gentleman?

ukizoea kushindwa uchaguzi matokeao yake ndiyo kama hayo, mindset, akili, na nafsi yako inatawaliwa na kugubikwa na dhana ya ufeki, kuibiwa kura au kuzuga kama ambavyo unaseama..

uchaguzi ni mchakato,
uchaguzi ni numbers,
uchaguzi ni kujipanga tu my friends :pedroP:
 
Siasa!!! Mbowe anatetewa hadi na ccm
zingatia tu maelezo bila kugubikwa na dhana potofu ambazo hazipo gentleman.

uchaguzi ni numbers,
uchaguzi ni kujipanga gentleman,

hata hivyo, kwa faida yako na wadau wengine JF,
kisayansi, ukiona unaweza kushawishi hadi watu wa nje ya chama chako kwenye kutafuta uongozi, then wewe ni among powerful and the most influential candidates katika uchaguzi huo, na hiyo ni advantage...

na chances za kuwin elections ni kubwa..

plz be possitive:pedroP:
 
The point is, CDM inaonyesha ukomavu kidemokrasia. CCM lini ilifanya uchaguzi wa mwenyekiti taifa? Lesholutwa tu mmeshasema itatoka fom moja ya mgombea uraisi.

CCM imekuwa takataka yani.
zingatia hoja mezani gentleman kwa faida ya wadau,

mengine nadhani tutajadili kwa wakati mwingine muafaka bila mawenge. hebu kwa sasa twende pamoja na liliopo mbele yetu mpaka tulihitimishe :pedroP:
 
Gentleman watanzania wanataka mabadiliko wasipoyapata ndani ya chadema ya Mbowe watayatafute nje ya Mbowe na ccm yake, watanzania wanamwitaji lisu ,ila kwa sbb Rushwa inapovusha akili na macho ya watu wapumbavu, wachache (chawa) Mbowe atapita
 
anazugaje na kila mtu anaona na mambo yanafanyika hadharani mchana kweupe gentleman?

ukizoea kushindwa uchaguzi matokeao yake ndiyo kama hayo, mindset, akili, na nafsi yako inatawaliwa na kugubikwa na dhana ya ufeki, kuibiwa kura au kuzuga kama ambavyo unaseama..

uchaguzi ni mchakato,
uchaguzi ni numbers,
uchaguzi ni kujipanga tu my friends :pedroP:
Kwani Uchaguzi wa Uganda hufanyika usiku wa saa nane? mchana kweupe na kampeni zina pigwa na kura Zana hesabiwa, 20yrs, hivi chadema tunaweza vipi kukosoa hata chaguzi za Uganda na Rwanda ili hali Mwenyekiti wetu yuko madarakani miongo miwili? Frankly speaking Mbowe hatakiwi hata kuchukua firm tena , awaachie up coming new generations wapiganie nafasi hiyo, itakuwa aibu kwake kushindana na kina Tundu lissu , huo utakuwa ni uchu wa madaraka.
 
Ukitaka kutoa kibanzi kwenye jicho la mwenzako toa kwanza boriti kwenye jicho lako
ni kweli kabisa,
huwezi kumsingizia mwingine kwamba eti amekaa uongozini zaidi ya miaka20, hali yakua mlikua pamoja kwenye huo uongozi, huo ni unafiki sana 🐒
 
Gentleman,
elewa somo basi sio kukurupuka na mihemko tu.

elections is all about numbers. where are numbers for Lisu miongoni mwa kanda 10 za kiutawala chadema?

atapata sapoti ya kura kutoka kwa wajumbe wa kanda ipi kwa mfano?

wasifu na kutia huruma ati alipigwa risasi vitasaidia nini na hana numbers za wajumbe kushinda uchaguzi?

Mbowe mpaka sasa ana kanda4, kibindoni uchaguzi ufanyike leo au mwakani anayo full support, mathalan kanda ya Pwani, Kaskazini, Victoria na Nyasa.

Na ili ushinde uchaguzi wa ndani wa chadema Taifa ni muhimu kua na sapoti ya kanda zisizo pungua 7, Je Lisu ana uhakika wa kanda hata moja gentleman, hata uje na wasifu?

mambo ya wasifu si ni kwenye mazishi?🐒

Basi tujiandae CHAGADEMA inaenda kufa kifo kibaya mbio kwani kinaenda kukosa popularity miongoni mwetu siye wapiga kelele!
Tumuombee Mbowe awe na hekima ya kuachia uwenyekiti mwenyewe ili kukinusuru CHAMA.
 
Friends, ladies and gentlemen.

Kwa kifupi kabisa, ukipima kwa jicho la rohoni kabisa, numbers of votes zinamfavor chairman Mbowe, huku useless mass popularity ikimfavor vice chairman Lisu, ikiwa uchaguzi wa ndani wa chadema utafanyika mwaka huu 2024 au 2025.

There is no way Lissu can beat Mbowe in the ballot box, because Mbowe has real numbers, than Lisu has.

Uchaguzi ni mchakato unaozingatia na kutegemea zaidi numbers kwa washindani ili kushinda.

Ni dhahiri kanda za Pwani, Nyasa, Victoria na Kaskazini ni ngome imara za mwenyekiti wa sasa wa chadema Taifa, na tayari katika ujumla wake zimejipambanua kumuunga mkono.

Kanda ya kati, nadhani sote tunafahamu uhasama kati ya Lissu na Kigaila. Ni majirani wasioelewana hawa.Tuchukulie kanda hiyo itakua imegawanyika.

Kanda ya Viktoria kwa kamanda Ezekia Wenje, kama kawaida Taifa zima linafahamu, huyo ndie makamu mwenyekiti wa chadema Taifa ajae, ambae pia anamuunga mkono Dr. Freeman Aikaeli Mbowe kua mwenyekiti wa chadema Taifa.

Nguvu ya Ezekia Wenje kisiasa ndani ya chadema, imemlazimisha na kumtoa mtu maarufu sana ulingoni kwenye kinyang'anyiro cha uongozi wa chama Taifa.

Kanda za Serengeti, Magharibi, Kusini n.k ni kama wanatafuta platforms na namna ya kujipambanua wako upande wa Mbowe au Lisu.

Kwa ujumla, mizizi ya mwenyekiti wa chadema Taifa wa sasa ni mirefu, imara na imejikita sana ndani ya chadema. Kuing’oa yahitajika mipango mikakati ya kisayansi, Lakini pia nguvu, bongo kali, ushawishi wa hali na mali na jitihada za ziada. Asilimia kubwa ya viongozi wa chadema wa kanda, mikoa na wilaya wanatokana na mapendekezo na baraka za mwenyekiti wa chadema wa sasa.

Kwa maoni na mtazamo wako kisiasa, kati ya kanda 10 za kiutawala zilizopo chadema, unadhani ni kanda zipi zinanaweza kuunga mkono azma ya Tundu Lisu kua mwenyekiti wa chadema Taifa badala ya Freeman Mbowe?🐒

Mungu Ibarki Tanzania
Umetumwa si Bure lakini PO SIKU UTAJUTA NA CCM YAKO
 
Umetumwa si Bure lakini PO SIKU UTAJUTA NA CCM YAKO
Gentleman,
ati unasema nini?

ama kweli tenda wema uende zako.

yaani pamoja na faida ya elimu, ufahamu, taarifa na uelewa ambayo nimekupatia wewe na wadau wengine wa JF,
Lakini bado shukrani yako kwangu ni kuniombea mabaya tu gentleman? dah 🐒
 
Umeshindwa kuishauri CCM kuhusu kujaza nafasi ya makamu Mwenyekiti, ndio utaweza CHADEMA
mpaka Lisu ameamua kuipiga chini si maana yake nafasi hiyo ni nyepesi, rahisi na ni kazi ndogo sana gentleman? ama unaonaje mpaka Lisu kuipitezea, au ni tamaa na uchu wa vyeo 🐒
 
Back
Top Bottom