Mbowe anaungwa mkono na Wajumbe wapiga kura wengi ndani ya CHADEMA, Lissu anaungwa mkono na umati mkubwa wa wapiga kelele

Na hata viongozi wao hawaongelei kabisa Lindi na Mtwara.
Nakubaliana na mtizamo wako.
 
Ana shinikiza tu wajumbe wamchague, so anaitisha uchaguzi fake ili kuonyesha chadema kuna democracy.

Uchaguzi huo ni kama wa Rais Mseven wa Uganda, unadhani Uganda ya Mseven hufanya genuine election? Au mseven huzuga tu kuwaonyesha donors kuwa tumefanya uchaguzi.
 
The point is, CDM inaonyesha ukomavu kidemokrasia. CCM lini ilifanya uchaguzi wa mwenyekiti taifa? Lesholutwa tu mmeshasema itatoka fom moja ya mgombea uraisi.

CCM imekuwa takataka yani.
 
Siasa!!! Mbowe anatetewa hadi na ccm
 
pili pili ya shamba inamuwasha jirani
Mbona hata nyinyi mnachambuaga viongoni wa CCM pamoja na uchaguzi wanaofanya muhimu Ni hoja maana mkianza kuingiza itikadi zenu vya vyama vipi kwa sisi ambao hatuna vyama
 
anazugaje na kila mtu anaona na mambo yanafanyika hadharani mchana kweupe gentleman?

ukizoea kushindwa uchaguzi matokeao yake ndiyo kama hayo, mindset, akili, na nafsi yako inatawaliwa na kugubikwa na dhana ya ufeki, kuibiwa kura au kuzuga kama ambavyo unaseama..

uchaguzi ni mchakato,
uchaguzi ni numbers,
uchaguzi ni kujipanga tu my friends
 
Siasa!!! Mbowe anatetewa hadi na ccm
zingatia tu maelezo bila kugubikwa na dhana potofu ambazo hazipo gentleman.

uchaguzi ni numbers,
uchaguzi ni kujipanga gentleman,

hata hivyo, kwa faida yako na wadau wengine JF,
kisayansi, ukiona unaweza kushawishi hadi watu wa nje ya chama chako kwenye kutafuta uongozi, then wewe ni among powerful and the most influential candidates katika uchaguzi huo, na hiyo ni advantage...

na chances za kuwin elections ni kubwa..

plz be possitive
 
The point is, CDM inaonyesha ukomavu kidemokrasia. CCM lini ilifanya uchaguzi wa mwenyekiti taifa? Lesholutwa tu mmeshasema itatoka fom moja ya mgombea uraisi.

CCM imekuwa takataka yani.
zingatia hoja mezani gentleman kwa faida ya wadau,

mengine nadhani tutajadili kwa wakati mwingine muafaka bila mawenge. hebu kwa sasa twende pamoja na liliopo mbele yetu mpaka tulihitimishe
 
Gentleman watanzania wanataka mabadiliko wasipoyapata ndani ya chadema ya Mbowe watayatafute nje ya Mbowe na ccm yake, watanzania wanamwitaji lisu ,ila kwa sbb Rushwa inapovusha akili na macho ya watu wapumbavu, wachache (chawa) Mbowe atapita
 
Kwani Uchaguzi wa Uganda hufanyika usiku wa saa nane? mchana kweupe na kampeni zina pigwa na kura Zana hesabiwa, 20yrs, hivi chadema tunaweza vipi kukosoa hata chaguzi za Uganda na Rwanda ili hali Mwenyekiti wetu yuko madarakani miongo miwili? Frankly speaking Mbowe hatakiwi hata kuchukua firm tena , awaachie up coming new generations wapiganie nafasi hiyo, itakuwa aibu kwake kushindana na kina Tundu lissu , huo utakuwa ni uchu wa madaraka.
 
Ukitaka kutoa kibanzi kwenye jicho la mwenzako toa kwanza boriti kwenye jicho lako
ni kweli kabisa,
huwezi kumsingizia mwingine kwamba eti amekaa uongozini zaidi ya miaka20, hali yakua mlikua pamoja kwenye huo uongozi, huo ni unafiki sana ๐Ÿ’
 

Basi tujiandae CHAGADEMA inaenda kufa kifo kibaya mbio kwani kinaenda kukosa popularity miongoni mwetu siye wapiga kelele!
Tumuombee Mbowe awe na hekima ya kuachia uwenyekiti mwenyewe ili kukinusuru CHAMA.
 
Umetumwa si Bure lakini PO SIKU UTAJUTA NA CCM YAKO
 
Umetumwa si Bure lakini PO SIKU UTAJUTA NA CCM YAKO
Gentleman,
ati unasema nini?

ama kweli tenda wema uende zako.

yaani pamoja na faida ya elimu, ufahamu, taarifa na uelewa ambayo nimekupatia wewe na wadau wengine wa JF,
Lakini bado shukrani yako kwangu ni kuniombea mabaya tu gentleman? dah ๐Ÿ’
 
Umeshindwa kuishauri CCM kuhusu kujaza nafasi ya makamu Mwenyekiti, ndio utaweza CHADEMA
mpaka Lisu ameamua kuipiga chini si maana yake nafasi hiyo ni nyepesi, rahisi na ni kazi ndogo sana gentleman? ama unaonaje mpaka Lisu kuipitezea, au ni tamaa na uchu wa vyeo ๐Ÿ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ