Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #41
gentleman,Kwa wiki hii pekee nadhani hii ni post yako ya kumi na kitu kuhusu CHADEMA na zote zimekuwa post za kizushi majungu uongo mwingi na kila aina ya upuuzi.Hivi huoni haya wala kujisikia vibaya? Maana hakuna hata moja uliloandika limekuwa kweli
bado kuna zaidi ya hoja arobaini ziko tayari kubainishwa humu jukwaani, na una uhuru na haki ya kuzifuatilia au kupuuza,
lakini kiukweli zimejaa madini ya maana sana ya kitaifa na kimataifa, lakini pia mambo mengine ni pamoja na haya ambayo yanahusu chadema iliyogawanyika na uchaguzi wao wa ndani..
hata hivyo,
katika joto la uchaguzi wa ndani wa chadema, kati ya kanda 10 za kiutawala, kanda 4tayari zinamuunga mkono chairmani Mbowe waziwazi kabisa, kwenye azma yake ya kutaka kuingoza chadema kwa awamumu nyingine ya miaka mitano. kanda hizo ni pamoja na ile ya NYASA, PWANI, KASKAZINI NA VICTORIA.
Bado nafatilia kwa karibu ikiwa kuna kanda hata moja ina saporti azma ya Tundu Lisu kua mwenyekiti wa chadema taifa, zaida ya wanyanturu wachache ambao ninawafahamu, wanamuhadaa kiongozi huyo kwamba eti atashinda uchaguzi huo, hali yakua hana numbers


