Uchaguzi 2020 Mbowe anaweza kupata fedheha Uchaguzi huu

Achana naye huyo mchumia Tumbo ambaye amejua kucheza na hisia za watu hafi kulifanya jina lake liwe maarufu kama la huyu jamaa wa JF anayeutwa Pascal. Wote wanatumia mbinu ya aina moja.
Wenye akili wanaweza kuliona hili, JPM ziara yake ndio ameimaliza zaidi CCM Kilimanjaro kuliko alivyoikuta.
Kiukweli jpm hajui mbinu za kisiasa na hata majina aliyoitwa na kina Kinana na Makamba hawakuwa wanamuonea. Mshamba
 
Kwa wizi wa kura sawa lakini kwa haki..huyu mgombea wa ccm hapati kitu kwanza nani anamjua.. brand recognition is zero...Subaya's stooge
 
Jambo la msingi ni kama ulivyosema tusubiri tuone.lakini kwa nini TISS hawalali wanahangaika na database ya nec kama wapinzani ni dhaifu?
Habari iloyopo huko ndani Ni kuwa hata mzee Kuna dalili ya kupoteza Urais Hiyo ndiyo inawaumiza akili TISS,JW wao wapo Tayari kwa Rais yeyote.
 
Umewadharau sana wachaga. Yaani unadhani wachaga ni washamba kiasi hicho mpaka waende kumlamba miguu Meko wenu??? Kilimanjaro hii hii iliyokuwa sehemu ya kwanza Tanzania kuwa na barabara ya Rami???
Sasa majibu yake utayapata hapo wiki ijayo. Wait and see
 
Tumesha liona hilo wana Hai, Mbowe ajiandae kisaikolojia ubunge hai baaasi
 
I am concerned that if election officials do not take these steps, Tanzania’s democracy will lose credibility in the eyes of the international community. More important, the declared winner may lack legitimacy in the eyes of Tanzanians themselves.

By U.S. Embassy Dar es Salaam | 22 October, 2020 | Topics: Op-Eds, Press Releases
 
Mbowe anajutia kumpa msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
 
Kwa akili matope inaonekana hivyo lakini ukweli utajulikana J5
 
Nini maana ya uchaguzi sasa kwa akili zako,kwani kushindwa ndio fedheha au?
 
..kampeni za CCM Kilimanjaro zimethibitisha kwamba Magufuli ni mbaguzi.

..Magufuli alitakiwa azungumze lugha ya upatanisho badala ya kuzungumza maneno ya vitisho, na ubaguzi.

..Wananchi walihitaji kupewa MATUMAINI, badala yake wameambulia VITISHO.

Kupatana na nani? Kwani kuna tatizo gani?
 
Chadema watapinga!
 
Tusitishane we kama umechoka kuishi bong TZ hamia Congo huko ni kama Europe
 
Hakuna mtu yeyote kutoka ccm au polisi wa kumuangusha Mbowe Hai , chukua hii kama angalizo
Mama unachekesha na baada ya tarehe 28 0ct. sitegemei kuona una comment chochote humu maana utafedheheka na utakuwa mdogo kama piliton
 
Bukoba nao waamke. Ama waendelee kukaa nje ya mfumo au waweke hasira pembeni.
 
..kampeni za CCM Kilimanjaro zimethibitisha kwamba Magufuli ni mbaguzi.

..Magufuli alitakiwa azungumze lugha ya upatanisho badala ya kuzungumza maneno ya vitisho, na ubaguzi.

..Wananchi walihitaji kupewa MATUMAINI, badala yake wameambulia VITISHO.
Hapa ndipo tatizo lilipo. Mwenye macho huona. Ubaguzi hauna shirika na Mungu.
 
Nyie sidhani kama mnawajua wachaga. wachaga hawawezi kumpa kura eti maguful;i na kumwacha kijana wao Mbowe! Kamwe hili haliwezekeni! Kwanza utawala huu umewahujumu sana watu wa mkoa huu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…