LIKE
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 4,755
- 9,889
jina hewa kama Bashite kuwa MakondaSijawahi ona Mchaga fala kama huyu kibuyu
huyo anaitwa Fatuma Ngonyani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jina hewa kama Bashite kuwa MakondaSijawahi ona Mchaga fala kama huyu kibuyu
Mwenyekiti ana hali ngumu sana,acha kuwa mbishi. Tunapoteza jimbo.Hakuna mtu yeyote kutoka ccm au polisi wa kumuangusha Mbowe Hai , chukua hii kama angalizo
Hayo ni maoni yako. Tusubiri mechiMBOWE ANAWEZA KUPATA FEDHEHA UCHAGUZI HUU
Na Thadei Ole Mushi
Mwaka huu Mh Mbowe kabla hata ya Kampeni kuanza alifanya mkutano mmoja kwenye Jimbo lake la Hai maeneo ya Tambarare akaulizwa Swali Moja na wakazi wa Tambarare kuwa umetufanyia nini kwa miaka kumi ya Ubunge? Swali lile hakuweza kulijibu na badala yake paliibuka vurugu kubwa hadi mkutano kuvurugika Kabisa.
Ni Mara Chache Sana kwa Mkoa wa Kilimanjaro Mbunge wa Jimbo kukaa kwa zaidi ya miaka kumi kwenye Jimbo Hilo hilo. Nilidhani Mbowe baada ya kukutana na Swali lile la umetufanyia nini angelichukua hatua mapema ya kutafuta mrithi wa Jimbo Hilo kupitia Chadema.
Kadri Muda unavyozidi kwenda asilimia za Mbowe kurudi Bungeni zinaendelea kupungua. Mfano Kura zingepigwa leo Mafue mgombea wa CCM anashinda kwa asilimia zaidi ya 60. Ukiachana na Siasa za kiitikadi watu wa Hai wana mahitaji yao ya msingi ambayo wanataka yatimizwe au yatatuliwe.
Kwenye Urais Hali ya Mambo imeshajionyesha kuwa mshindi ni JPM, Kama nilivyowaambia kuwa Kabila la wachaga ni Opportunist wanajua kabisa kuwa kumchagua Mbowe Ni kukaa nje ya Mfumo kwa miaka mingine mitano. Watakaa nje kwa miaka mitano kwa kuwa Rais Magufuli ameshatamka wazi wazi kuwa msimu huu Ni win win Situation "Nipe Nikupe".
Itakuwa Fedheha Sana Mbowe kustaafishwa Siasa kwa kushindwa kwenye box la Kura. Dalili zipo wazi kabisa hata Lissu alipokwenda Hai Mapokezi na mikutano yake haikuwa na watu wengi. Dalili nyingine ya kushindwa ni JPM kuungwa mkono na watu wenye Ushawishi Kama Askofu Shoo. Kibaya zaidi wafanyabiashara wa Hai mwaka huu wapo kimya na shughuli zao hivyo Mbowe kabakia Mwenyewe na team yake tu.
Uchagani huwa tunasema Mangi huwa hanuniwi. Mambo si marahisi Sana Hai kama ilivyozoeleka, ule upepo wa Kaka Mbowe Kama mwaka huu hauvumi. Ujio wa JPM mkoani Kilimanjaro umeibomoa kabisa Ngome ya Upinzani.
Tusubiri tuone!
Ole Mushi
0712792602
Japo siiungi mkono Bakwata, lkn kura yangu ni kwa Magufuli.
Kura iliyopoteaJapo siiungi mkono Bakwata, lkn kura yangu ni kwa Magufuli.
NB: jini likujualo halikuli likakumaliza.
Kwani meko anagombea Jimbo?Mwenyekiti ana hali ngumu sana,acha kuwa mbishi. Tunapoteza jimbo.
Mzee wa lupatu na msumbiji mnapiga kura?Japo siiungi mkono Bakwata, lkn kura yangu ni kwa Magufuli.
NB: jini likujualo halikuli likakumaliza.
Kura iliyopotea
Mzee wa lupatu na msumbiji mnapiga kura?
Sawa mzee wa lupatuNime geuka mkuu, kuja kumpa kura Magufuli.
Nikimaliza narudi kutafuta Ruby.
Peak faded-waberoya!!Kupatana na nani? Kwani kuna tatizo gani?
MBOWE ANAWEZA KUPATA FEDHEHA UCHAGUZI HUU
Na Thadei Ole Mushi
Mwaka huu Mh Mbowe kabla hata ya Kampeni kuanza alifanya mkutano mmoja kwenye Jimbo lake la Hai maeneo ya Tambarare akaulizwa Swali Moja na wakazi wa Tambarare kuwa umetufanyia nini kwa miaka kumi ya Ubunge? Swali lile hakuweza kulijibu na badala yake paliibuka vurugu kubwa hadi mkutano kuvurugika Kabisa.
Ni Mara Chache Sana kwa Mkoa wa Kilimanjaro Mbunge wa Jimbo kukaa kwa zaidi ya miaka kumi kwenye Jimbo Hilo hilo. Nilidhani Mbowe baada ya kukutana na Swali lile la umetufanyia nini angelichukua hatua mapema ya kutafuta mrithi wa Jimbo Hilo kupitia Chadema.
Kadri Muda unavyozidi kwenda asilimia za Mbowe kurudi Bungeni zinaendelea kupungua. Mfano Kura zingepigwa leo Mafue mgombea wa CCM anashinda kwa asilimia zaidi ya 60. Ukiachana na Siasa za kiitikadi watu wa Hai wana mahitaji yao ya msingi ambayo wanataka yatimizwe au yatatuliwe.
Kwenye Urais Hali ya Mambo imeshajionyesha kuwa mshindi ni JPM, Kama nilivyowaambia kuwa Kabila la wachaga ni Opportunist wanajua kabisa kuwa kumchagua Mbowe Ni kukaa nje ya Mfumo kwa miaka mingine mitano. Watakaa nje kwa miaka mitano kwa kuwa Rais Magufuli ameshatamka wazi wazi kuwa msimu huu Ni win win Situation "Nipe Nikupe".
Itakuwa Fedheha Sana Mbowe kustaafishwa Siasa kwa kushindwa kwenye box la Kura. Dalili zipo wazi kabisa hata Lissu alipokwenda Hai Mapokezi na mikutano yake haikuwa na watu wengi. Dalili nyingine ya kushindwa ni JPM kuungwa mkono na watu wenye Ushawishi Kama Askofu Shoo. Kibaya zaidi wafanyabiashara wa Hai mwaka huu wapo kimya na shughuli zao hivyo Mbowe kabakia Mwenyewe na team yake tu.
Uchagani huwa tunasema Mangi huwa hanuniwi. Mambo si marahisi Sana Hai kama ilivyozoeleka, ule upepo wa Kaka Mbowe Kama mwaka huu hauvumi. Ujio wa JPM mkoani Kilimanjaro umeibomoa kabisa Ngome ya Upinzani.
Tusubiri tuone!
Ole Mushi
0712792602
MBOWE ANAWEZA KUPATA FEDHEHA UCHAGUZI HUU
Na Thadei Ole Mushi
Mwaka huu Mh Mbowe kabla hata ya Kampeni kuanza alifanya mkutano mmoja kwenye Jimbo lake la Hai maeneo ya Tambarare akaulizwa Swali Moja na wakazi wa Tambarare kuwa umetufanyia nini kwa miaka kumi ya Ubunge? Swali lile hakuweza kulijibu na badala yake paliibuka vurugu kubwa hadi mkutano kuvurugika Kabisa.
Ni Mara Chache Sana kwa Mkoa wa Kilimanjaro Mbunge wa Jimbo kukaa kwa zaidi ya miaka kumi kwenye Jimbo Hilo hilo. Nilidhani Mbowe baada ya kukutana na Swali lile la umetufanyia nini angelichukua hatua mapema ya kutafuta mrithi wa Jimbo Hilo kupitia Chadema.
Kadri Muda unavyozidi kwenda asilimia za Mbowe kurudi Bungeni zinaendelea kupungua. Mfano Kura zingepigwa leo Mafue mgombea wa CCM anashinda kwa asilimia zaidi ya 60. Ukiachana na Siasa za kiitikadi watu wa Hai wana mahitaji yao ya msingi ambayo wanataka yatimizwe au yatatuliwe.
Kwenye Urais Hali ya Mambo imeshajionyesha kuwa mshindi ni JPM, Kama nilivyowaambia kuwa Kabila la wachaga ni Opportunist wanajua kabisa kuwa kumchagua Mbowe Ni kukaa nje ya Mfumo kwa miaka mingine mitano. Watakaa nje kwa miaka mitano kwa kuwa Rais Magufuli ameshatamka wazi wazi kuwa msimu huu Ni win win Situation "Nipe Nikupe".
Itakuwa Fedheha Sana Mbowe kustaafishwa Siasa kwa kushindwa kwenye box la Kura. Dalili zipo wazi kabisa hata Lissu alipokwenda Hai Mapokezi na mikutano yake haikuwa na watu wengi. Dalili nyingine ya kushindwa ni JPM kuungwa mkono na watu wenye Ushawishi Kama Askofu Shoo. Kibaya zaidi wafanyabiashara wa Hai mwaka huu wapo kimya na shughuli zao hivyo Mbowe kabakia Mwenyewe na team yake tu.
Uchagani huwa tunasema Mangi huwa hanuniwi. Mambo si marahisi Sana Hai kama ilivyozoeleka, ule upepo wa Kaka Mbowe Kama mwaka huu hauvumi. Ujio wa JPM mkoani Kilimanjaro umeibomoa kabisa Ngome ya Upinzani.
Tusubiri tuone!
Ole Mushi
0712792602
Acha upuuzi kamanda,chama chetu kinaenda kufa.Kwani meko anagombea Jimbo?
Mpuuzi ni wewe unayejadili mambo yasiyokuhusu jadilianeni mambo yenu ya kijinga huko CCM, taahira mkubwa weweAcha upuuzi kamanda,chama chetu kinaenda kufa.
Umeuliza kwa nini mtoa mada ametaja namba yake ya simu. Maana ya kitendo hicho ni kujitambulisha kwamba ana uhakika na anachokisema ili kama kuna mtu ana wasiwasi na hoja zake anaweza kumpata kwa hiyo namba. Kuna wengine wanatoa hoja zisizo za kweli kwa kujificha nyuma ya jina la kujipanga. Anaona haya kujitambulisha kwamba ni yeye anayetoa kauli hizo. Labda na wewe ni mmoja wa watu hao. Hii ni tofauti na mtoa mada huyu unayemdadisi kwa nini anataja namba zake.Nini maana ya kuweka namba za simu?
Mtu tangu 2016 yeye kila andishi lake mwishoni kunakuwa na namba!!
Mwenyezi Mungu Muumba alivyotuambia kwenye Mwanzo.
Mwanzo 3 : 16 - 19.
16.Kisha akamwambia mwanamke,
“Nitakuzidishia uchungu wa kuzaa, kwa uchungu utazaa watoto.
Hata hivyo utakuwa na hamu na mumeo,naye atakutawala.”
17.Kisha akamwambia huyo mwanamume,“Kwa kuwa wewe umemsikiliza mkeo,ukala matunda ya mti ambayo nilikuamuru usile;kwa hiyo, kwa kosa lako ardhi imelaaniwa.
Kwa jasho utajipatia humo riziki yako,
siku zote za maisha yako.
18.Ardhi itakuzalia michongoma na magugu,nawe itakubidi kula majani ya shambani.
19.Kwa jasho lako utajipatia chakula
mpaka utakaporudi udongoni ulimotwaliwa;maana wewe ni mavumbi, na mavumbini utarudi.”
Wanaume tunatakuwa tule kwa jasho,sio kubebwabebwa kama kinda la ndege.
Mwanzoni nilikuwa nakuheshimu kumbe wewe ni fala, Kama mafala wengine. Unatunga uongo wote huu ili iweje?MBOWE ANAWEZA KUPATA FEDHEHA UCHAGUZI HUU
Na Thadei Ole Mushi
Mwaka huu Mh Mbowe kabla hata ya Kampeni kuanza alifanya mkutano mmoja kwenye Jimbo lake la Hai maeneo ya Tambarare akaulizwa Swali Moja na wakazi wa Tambarare kuwa umetufanyia nini kwa miaka kumi ya Ubunge? Swali lile hakuweza kulijibu na badala yake paliibuka vurugu kubwa hadi mkutano kuvurugika Kabisa.
Ni Mara Chache Sana kwa Mkoa wa Kilimanjaro Mbunge wa Jimbo kukaa kwa zaidi ya miaka kumi kwenye Jimbo Hilo hilo. Nilidhani Mbowe baada ya kukutana na Swali lile la umetufanyia nini angelichukua hatua mapema ya kutafuta mrithi wa Jimbo Hilo kupitia Chadema.
Kadri Muda unavyozidi kwenda asilimia za Mbowe kurudi Bungeni zinaendelea kupungua. Mfano Kura zingepigwa leo Mafue mgombea wa CCM anashinda kwa asilimia zaidi ya 60. Ukiachana na Siasa za kiitikadi watu wa Hai wana mahitaji yao ya msingi ambayo wanataka yatimizwe au yatatuliwe.
Kwenye Urais Hali ya Mambo imeshajionyesha kuwa mshindi ni JPM, Kama nilivyowaambia kuwa Kabila la wachaga ni Opportunist wanajua kabisa kuwa kumchagua Mbowe Ni kukaa nje ya Mfumo kwa miaka mingine mitano. Watakaa nje kwa miaka mitano kwa kuwa Rais Magufuli ameshatamka wazi wazi kuwa msimu huu Ni win win Situation "Nipe Nikupe".
Itakuwa Fedheha Sana Mbowe kustaafishwa Siasa kwa kushindwa kwenye box la Kura. Dalili zipo wazi kabisa hata Lissu alipokwenda Hai Mapokezi na mikutano yake haikuwa na watu wengi. Dalili nyingine ya kushindwa ni JPM kuungwa mkono na watu wenye Ushawishi Kama Askofu Shoo. Kibaya zaidi wafanyabiashara wa Hai mwaka huu wapo kimya na shughuli zao hivyo Mbowe kabakia Mwenyewe na team yake tu.
Uchagani huwa tunasema Mangi huwa hanuniwi. Mambo si marahisi Sana Hai kama ilivyozoeleka, ule upepo wa Kaka Mbowe Kama mwaka huu hauvumi. Ujio wa JPM mkoani Kilimanjaro umeibomoa kabisa Ngome ya Upinzani.
Tusubiri tuone!
Ole Mushi
0712792602
Kwa hiyo wewe hapa Corona Virus Nchini Tanzania hukuwa na uhakika na unachokisema ndio maana hukuweka namba yako ya simu ili kama kuna ufafanuzi tukuulize!!?Umeuliza kwa nini mtoa mada ametaja namba yake ya simu. Maana ya kitendo hicho ni kujitambulisha kwamba ana uhakika na anachokisema ili kama kuna mtu ana wasiwasi na hoja zake anaweza kumpata kwa hiyo namba. Kuna wengine wanatoa hoja zisizo za kweli kwa kujificha nyuma ya jina la kujipanga. Anaona haya kujitambulisha kwamba ni yeye anayetoa kauli hizo. Labda na wewe ni mmoja wa watu hao. Hii ni tofauti na mtoa mada huyu unayemdadisi kwa nini anataja namba zake.
Na nyie mlivyokuwa vihiyo mkamchukuwa lowasa eti awe rais wakati H.Polepole alikwisha kuwatahadharisha kuwa, "CCM ikimpitisha Lowassa, na uchaguzi ukawa huru na wa haki, CCm ijiandae kutoka madarakani...."HAKI.
"Uchaguzi ukiwa huru na haki CCM ijiandae kutoka Ikulu."
H.Polepole