Uchaguzi 2020 Mbowe anaweza kupata fedheha Uchaguzi huu

Hayo ni maoni yako. Tusubiri mechi
 
Tangu lini mtu akaipigia CCM, kura yake ika potea?
Ukiipigia CDM (wapinzani) hawashindi, hapo ndio kura yako ime potea.

NB. Mimi ni muislam nisie changanya dini na siasa.

Dini haiwezi ni rahisishia maisha.
Siasa haini peleki mbinguni.
Kura iliyopotea
 

Sidhani kama wewe ni muandishi mwenye weledi na akili.

‘’Kwenye Urais Hali ya Mambo imeojionyesha kuwa mshindi ni JPM’’ ( Ole, 2020).

Kwa maneno yako hapo juu, uzi huu ni haramu na unapaswa Kufungiwa na Mods kwa kuwa unaenda kinyume na kanuni za NEC.
-
Next time, jifunze kiswahili ndio uje kuandika.
-
Hakuna kitu IMEJIONYESHA, bali kuna IMEJIONESHA. It comes from the word ONA.
 

Thadeo, kama ungeamua kuwa mkweli, kichwa cha habari cha makala yako kilitakiwa kusomeka MAGUFULI ANAWEZA KUPATA FEDHEHA UCHAGYZI HUU, na hakika ungeweza kupata uchangiaji wa mada zenye afya.
Lakini kwa kuwa hofu imetamalaki, hofu iliyojengwa na Utawala wa kuweka watu ndani na kufunguliwa mashitaka ya utakatishaji fedha, utawala wa kikoloni wa Magufuli, hata Watanzania wanaojitambua wameishia kuwa wanafiki wanajikomba.
Hakika, Magufuli anaweza kupata fedheha uchaguzi huu.
 
DJ ameshaona anakwenda kushindwa anatafuta namna ya kufanya uchaguzi usitishwe.
 
Umeuliza kwa nini mtoa mada ametaja namba yake ya simu. Maana ya kitendo hicho ni kujitambulisha kwamba ana uhakika na anachokisema ili kama kuna mtu ana wasiwasi na hoja zake anaweza kumpata kwa hiyo namba. Kuna wengine wanatoa hoja zisizo za kweli kwa kujificha nyuma ya jina la kujipanga. Anaona haya kujitambulisha kwamba ni yeye anayetoa kauli hizo. Labda na wewe ni mmoja wa watu hao. Hii ni tofauti na mtoa mada huyu unayemdadisi kwa nini anataja namba zake.
 
Mwanzoni nilikuwa nakuheshimu kumbe wewe ni fala, Kama mafala wengine. Unatunga uongo wote huu ili iweje?

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo wewe hapa Corona Virus Nchini Tanzania hukuwa na uhakika na unachokisema ndio maana hukuweka namba yako ya simu ili kama kuna ufafanuzi tukuulize!!?
 
HAKI.

"Uchaguzi ukiwa huru na haki CCM ijiandae kutoka Ikulu."
H.Polepole
Na nyie mlivyokuwa vihiyo mkamchukuwa lowasa eti awe rais wakati H.Polepole alikwisha kuwatahadharisha kuwa, "CCM ikimpitisha Lowassa, na uchaguzi ukawa huru na wa haki, CCm ijiandae kutoka madarakani...."

NB; Sikiliza hotuba nzima sio kukata vipande
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…