mtoto wa mchungaji
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 279
- 480
Sisi kanisa tumefundishwa kuwa sharia haiwezi kumkomba mwanadamu, na mafundisho yetu kupitia bwana Yesu Kristo huwa tunaenda mbali zaidi kwa imani kuwa Taurati/sharia haiwezi kuleta haki kwa jamii, haiwezi kuleta amani kwa jamii isipokuwa kwa jina la Yesu mnakaa chini na kuonyanyana kwa zabiri.
Kwa hari tulipo sasa tunakaribia kuingia katika pointi ofu no ritani, hivyo mwenyekiti na kiongozi wetu wa chama taifa Mhs. Aikael Freeman Mbowe akubali kushuka chini kwa kumpigia mama magoti kwani kwa msiofahamu kwa mujibu wa katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mama ni kama mungu wa nchi hii ananguvu katika mihimili yote.
Kutii mamlaka ni agizo la Mungu hivyo mimi kama mtoto wa mchungaji sioni haja ya kuisumbua mahakama ngoma irudishwe mezani, kwani hakuna lisilowezakana chini ya jua yote yanawezekana ushauri wa yule mama mzungu wa donti givi apu mimi ninaukataa kwa jina la Yesu kwani umejaa? Na uchochezi na kupoteza mtu. Biblia inasema kuwa tumepungukiwa utukufuku hivyo mi natofautiana na wenzangu wanaomwona Mbowe kama malaika kwani hata ukiingiza gari mpya barabarani trafiki akikukamata na kuanza kukukagua lazima tu atapata kosa tu.
Kama Mbowe atakubali kushuka na kurudi mezani kwa mama na kujenga fito mmoja na si kugawana fito itakuwa historia imeandikwa na wazungu watachanganyikiwa na litakuwa taifa pekee Afrika linaloanza kujitambu kutoka utumwa wa kiakili. Na hili likifanyika katika kilele cha miaka 60 ya uhuru yaani Ufipa na Lumumba meza moja.