kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
nyerere ,mwinyi ,mkapa ,kikwete ,magufuli jenerali wote hawakuona mbowe gaidi bimkubwa sikumbili ofisini akagundua ugaidi wa mbowe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haaa!“Mama ni kama Mungu wa nchi hii”?! Una wazimu wewe siyo bure.
Ni mpuuzi, mbwa, mshenzi, taahira na kichaa tu akayeamini uoumbavu wa yule mpumbavuLeo chadomo wamepigwa na kitu chenye ncha kali wametulia kama hawapo
Hivi technology ya sasa ni ile ya kupanga mauji kindezi vile unapiga na masimu unatoa na amri kwa simu watu wanadaka voice note na umesajili line kwa jina lako na simu yako na IMEI
Kumbe mbowe ni kilaza kiasi hiki
USSR
Ya Chadema au? Na kweli haiwezekani Mwenyekiti Gaidi anakuwa Mwenyekiti wa milele!!Tunahitaji katiba mpya
Usiilimiti akili yako, utakaa hapa duniani hadi ufe utomuona huyo Olumaiti God lakini utamwona Mungu kupitia watu kasome bibli utaelewa.Huna akili kabisa, kuna Mungu wa nchi, anaweza kuumba hata sisimizi huyo mungu wako.
Usicheze na jina la Mungu kipumbavu hivyo. Hujui kwamba mbele za Mungu huyo Samia ni takataka tu ya kutupwa jalalani.
Stop blaspheming name of the Almighty God.
Ushauri mzuri umetoa kiburi si ugwana na ukishindana na aliyeshika mpini na makali wewe uliyeshika kwenye makali utakatwa tu
Shuleni alipata div 0 kwani hujui?Leo chadomo wamepigwa na kitu chenye ncha kali wametulia kama hawapo
Hivi technology ya sasa ni ile ya kupanga mauji kindezi vile unapiga na masimu unatoa na amri kwa simu watu wanadaka voice note na umesajili line kwa jina lako na simu yako na IMEI
Kumbe mbowe ni kilaza kiasi hiki
USSR
Mama wa watu ajadili na mtuhumiwa wa Ugaidi. Ngoja kesi imalizike kwanzaSisi kanisa tumefundishwa kuwa sharia haiwezi kumkomba mwanadamu, na mafundisho yetu kupitia bwana Yesu Kristo huwa tunaenda mbali zaidi kwa imani kuwa Taurati/sharia haiwezi kuleta haki kwa jamii, haiwezi kuleta amani kwa jamii isipokuwa kwa jina la Yesu mnakaa chini na kuonyanyana kwa zabiri.
Kwa hari tulipo sasa tunakaribia kuingia katika pointi ofu no ritani, hivyo mwenyekiti na kiongozi wetu wa chama taifa Mhs. Aikael Freeman Mbowe akubali kushuka chini kwa kumpigia mama magoti kwani kwa msiofahamu kwa mujibu wa katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mama ni kama mungu wa nchi hii ananguvu katika mihimili yote.
Kutii mamlaka ni agizo la Mungu hivyo mimi kama mtoto wa mchungaji sioni haja ya kuisumbua mahakama ngoma irudishwe mezani, kwani hakuna lisilowezakana chini ya jua yote yanawezekana ushauri wa yule mama mzungu wa donti givi apu mimi ninaukataa kwa jina la Yesu kwani umejaa? Na uchochezi na kupoteza mtu. Biblia inasema kuwa tumepungukiwa utukufuku hivyo mi natofautiana na wenzangu wanaomwona Mbowe kama malaika kwani hata ukiingiza gari mpya barabarani trafiki akikukamata na kuanza kukukagua lazima tu atapata kosa tu.
Kama Mbowe atakubali kushuka na kurudi mezani kwa mama na kujenga fito mmoja na si kugawana fito itakuwa historia imeandikwa na wazungu watachanganyikiwa na litakuwa taifa pekee Afrika linaloanza kujitambu kutoka utumwa wa kiakili. Na hili likifanyika katika kilele cha miaka 60 ya uhuru yaani Ufipa na Lumumba meza moja.
Hivi mchungaji alishindwaje kumpeleka manae shule!Sisi kanisa tumefundishwa kuwa sharia haiwezi kumkomba mwanadamu, na mafundisho yetu kupitia bwana Yesu Kristo huwa tunaenda mbali zaidi kwa imani kuwa Taurati/sharia haiwezi kuleta haki kwa jamii, haiwezi kuleta amani kwa jamii isipokuwa kwa jina la Yesu mnakaa chini na kuonyanyana kwa zabiri.
Kwa hari tulipo sasa tunakaribia kuingia katika pointi ofu no ritani, hivyo mwenyekiti na kiongozi wetu wa chama taifa Mhs. Aikael Freeman Mbowe akubali kushuka chini kwa kumpigia mama magoti kwani kwa msiofahamu kwa mujibu wa katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mama ni kama mungu wa nchi hii ananguvu katika mihimili yote.
Kutii mamlaka ni agizo la Mungu hivyo mimi kama mtoto wa mchungaji sioni haja ya kuisumbua mahakama ngoma irudishwe mezani, kwani hakuna lisilowezakana chini ya jua yote yanawezekana ushauri wa yule mama mzungu wa donti givi apu mimi ninaukataa kwa jina la Yesu kwani umejaa? Na uchochezi na kupoteza mtu. Biblia inasema kuwa tumepungukiwa utukufuku hivyo mi natofautiana na wenzangu wanaomwona Mbowe kama malaika kwani hata ukiingiza gari mpya barabarani trafiki akikukamata na kuanza kukukagua lazima tu atapata kosa tu.
Kama Mbowe atakubali kushuka na kurudi mezani kwa mama na kujenga fito mmoja na si kugawana fito itakuwa historia imeandikwa na wazungu watachanganyikiwa na litakuwa taifa pekee Afrika linaloanza kujitambu kutoka utumwa wa kiakili. Na hili likifanyika katika kilele cha miaka 60 ya uhuru yaani Ufipa na Lumumba meza moja.
Wewe ulipata div gani halafu maisha yako yakoje hadi utegemee kununuliwa vocha ya kufanyia propaganda feki humu.Shuleni alipata div 0 kwani hujui?
Jambo litakalo muokoa mbowe, ile namba isiwe yake na zile pesa alokuwa anamtumia iwe ni uongo na voice talking isiwe kweli,Kitu kizito kipo, huyo shahidi wenu hamna kitu ,ataomba maji ya kunywa Sio muda, vyovyote vile hapigiwi mtu magoti,