babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Chaga jizi hilo, CCM inalipenda sana kulilushia tonge,jibwa koko hilo
Kala mlunguka wetu wana CCM, hahahah. Ila limbowe ni liuaji
Ni utani au ndio mambo ya Bob Junior saga , Serengeti national park yanaanza Kwa mbali?
Atupishe
Nyumbu kaeni mtulie na hilo chama Saccos.
Huyo haondoki kumbuka chama cha mkwewe wanalamba ruzuku tu nyie mtaambulia mate na makelele tu mil 890+ kila mwezi wao wanatafuna tu
Kalamba 3 billion. Hahaha unachezea nguvu ya pesaMlunguka ndio Nini?
Mzee Wee utakua mgeni humu 🤣🤣🤣🤣 ndo maan humjui mtoa mada, umeangalia avatar yake ukajua ni kamanda wa CDM!! Pole mkuu huyu ni kama asiechoka kutoka Lumumba pia kada mtiifu wa CCM!!!Mmeanza kupigana vikumbo wenyewe
Mzee wa legacy 🤣🤣🤣 kamanda usiechoka kutoka viunga vya chatlle!!Angalia mwaka 2015 alipovuta mpunga na kutuuza usiku wa manane na kumkaribisha Lowasa.
Alivuta mpunga Dka Slaa akabaki kuduwaa na kuropoka. Prof Safari umeona hiyoooo.
Alishatupiga sana.
Sasa hivi creame yote ya asali analamba yeye.
Kwa hiii kaliba ya Mbowe hafai hata kidogo. Tuitishe mkutano mkuu na kumkataaa. Tumkatae kabisa.
Wewe Kamanda Aliyechoka tunakufahamu vizuri. Wewe si mwenzetu bali kwenu ni Lumumba. Mbona huwasemi John Momose Cheyo na Prof Lipumba ambao wamekuwa wenyeviti wa vyama vyao kwa vipindi virefu kuliko Mbowe?. Sis wanachama damu wa CDM tuna imani na Kamanda Mbowe. Msituingilie!Angalia mwaka 2015 alipovuta mpunga na kutuuza usiku wa manane na kumkaribisha Lowasa.
Alivuta mpunga Dka Slaa akabaki kuduwaa na kuropoka. Prof Safari umeona hiyoooo.
Alishatupiga sana.
Sasa hivi creame yote ya asali analamba yeye.
Kwa hiii kaliba ya Mbowe hafai hata kidogo. Tuitishe mkutano mkuu na kumkataaa. Tumkatae kabisa.
Acha ujingaHaiwezekani...
Ndiyo ukweli, haiwezekani, yupo mpaka kifo...Acha ujinga
Ccm mna mambo ya ovyo sanaAcha kututukana. Sisi .
Straightforward questions:Angalia mwaka 2015 alipovuta mpunga na kutuuza usiku wa manane na kumkaribisha Lowasa.
Alivuta mpunga Dkt. Slaa akabaki kuduwaa na kuropoka. Prof Safari umeona hiyoooo.
Alishatupiga sana.
Sasa hivi creame yote ya asali analamba yeye.
Kwa hiii kaliba ya Mbowe hafai hata kidogo. Tuitishe mkutano mkuu na kumkataaa. Tumkatae kabisa.