Mbowe aondolewe kwa nguvu kama mwenyekiti wa CHADEMA. Amezoea kufanya biashara za kisiasa, hafai

Nyumbu kaeni mtulie na hilo chama Saccos.
Huyo haondoki kumbuka chama cha mkwewe wanalamba ruzuku tu nyie mtaambulia mate na makelele tu mil 890+ kila mwezi wao wanatafuna tu
 
Nyumbu matako yako. Punguza kuvuta bangi chooni utawehuka.
 
Angalia mwaka 2015 alipovuta mpunga na kutuuza usiku wa manane na kumkaribisha Lowasa.

Alivuta mpunga Dka Slaa akabaki kuduwaa na kuropoka. Prof Safari umeona hiyoooo.

Alishatupiga sana.

Sasa hivi creame yote ya asali analamba yeye.

Kwa hiii kaliba ya Mbowe hafai hata kidogo. Tuitishe mkutano mkuu na kumkataaa. Tumkatae kabisa.
Mzee wa legacy 🤣🤣🤣 kamanda usiechoka kutoka viunga vya chatlle!!
 
Angalia mwaka 2015 alipovuta mpunga na kutuuza usiku wa manane na kumkaribisha Lowasa.

Alivuta mpunga Dka Slaa akabaki kuduwaa na kuropoka. Prof Safari umeona hiyoooo.

Alishatupiga sana.

Sasa hivi creame yote ya asali analamba yeye.

Kwa hiii kaliba ya Mbowe hafai hata kidogo. Tuitishe mkutano mkuu na kumkataaa. Tumkatae kabisa.
Wewe Kamanda Aliyechoka tunakufahamu vizuri. Wewe si mwenzetu bali kwenu ni Lumumba. Mbona huwasemi John Momose Cheyo na Prof Lipumba ambao wamekuwa wenyeviti wa vyama vyao kwa vipindi virefu kuliko Mbowe?. Sis wanachama damu wa CDM tuna imani na Kamanda Mbowe. Msituingilie!
 
Mbowe hana tofauti na Raila Odinga, as long as ukihakikisha maslahi yake binafsi yanazingatiwa wala hakusumbui.
 
Wanachama waandamane na kutaka Demokrasia kwenye chama chao. CHADEMA wawe mfano wa DEMOKRASIA
 
Angalia mwaka 2015 alipovuta mpunga na kutuuza usiku wa manane na kumkaribisha Lowasa.

Alivuta mpunga Dkt. Slaa akabaki kuduwaa na kuropoka. Prof Safari umeona hiyoooo.

Alishatupiga sana.

Sasa hivi creame yote ya asali analamba yeye.

Kwa hiii kaliba ya Mbowe hafai hata kidogo. Tuitishe mkutano mkuu na kumkataaa. Tumkatae kabisa.
Straightforward questions:
  • Hivi kwanini Sukuma gang ndiyo wanaumizwa na Mbowe kuwa mwenyekiti CDM ilhali watu/wanachama/supporters wa CDM wanang'ang'ania aendelee?
  • Watu wa CDM wanafaidika nini na Mbowe kuwa mwenyekiti na Sukuma gang wanaathirika nini katika harakati zao za kisiasa Mbowe anapoendelea kuwa mwenyekiti wa CDM?
 
Back
Top Bottom