Kwanza wewe moja kwa moja utakuwa ni mpuuzi; umeona wapi nikisema "sitaki uchaguzi";Kwa hiyo ndio maana hutaki uchaguzi, unataka mgombea apite bila kupingwa, asipigiwe kura? Wagombeaji wanafahamu nani anapiga kura na nani apigi, wanafahamu taratibu za uchaguzi na wasimamizi wa uchaguzi. Usianze kujenga hoja mfu kwasababu unahisi mgombea fulani atashinda.
Huyo mnayemtaka ata akishinda mtakuja na visingizio tu.
Kulalamika ni sehemu ya maisha yenu.
Unao uwezo wa kusoma na kuelewa kilicho andikwa?
Mtu wa aina yako; unaye amini CCM imeshinda kihalali kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, siwezi kupoteza nguvu zangu na wakati kujaribu kukuelewesha chochote, kwa sababu akili zipo tumboni.