Mbowe ashikiwa bango kutafuna milioni 800 za ujenzi wa ghorofa la Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA

Tulishakuwa na mpango kama wa CCM kuwa na chuo kama hicho na tuliahidi kukiita chuo cha uongozi cha Edwin Mtei.

Sasa kama ofisi ya Makao makuu imetushinda, ndio tutaweza chuo?
Chuo cha uongozi wa kuongeza wajinga ccm,bladifaken wahed
 
Huo mpunga unaishia mifukoni mwa Mbowe na kakikundi kadogo pale ufipa.
Ndugu, kumbe bado una zile propaganda za akina Lijualikali na Ndugai ambazo pamoja na kujiliza zilikwamia TAKUKURU?
Pole sana, lakini nadhani ukitulizana ukapata muda wa kutosha kumalizia matibabu kwanza, utakuwa kwenye hali nzuri zaidi ya kufuatilia na kuweza kuelewa mambo ya msingi kwa wakati na nyakati.
 
Tatizo wewe kamanda uchwara huambiliki.
 
Toa ugoro hapa. Hatuutumii, umechacha.
 
Kwa hiyo wewe kinakuuma nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…