Atalia na kusaga meno. Nenda kamtoe sasa kama una ubavu fyu! Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeAcha upumbavu wewe.
Hujambo?Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake wameshindwa kufikishwa mahakamani leo kutokana na tatizo la usafiri, hivyo kulazimu kesi kuendeshwa kwa njia ya video. Shauri hilo limefikishwa Mahakamani kwa ajili ya kutajwa, na limeahirishwwa hadi Agosti 27 litakaposikilizwa.
Mama ndiyo kesha mtoa Mbowe kwenye Ramani,hadi atoke aanze kujipanga upya siyo leo wala kesho!!Huu n udhalilishwaji wa Hali ya juu kabisa kutokea, yaani mwenyekiti wetu, na c wetu tu, Mwenyekiti wa chama kikuu Cha upinzani ana bebwa na yeye kwenye karandinga?? Yale ma V8vx yana fanya Nini police na hata huko magereza,?