Mbowe ashindwa kuhudhuria Mahakamani. Kesi yaendeshwa kwa njia ya video, Yaahirishwa mpaka Agosti 27

Mbowe ashindwa kuhudhuria Mahakamani. Kesi yaendeshwa kwa njia ya video, Yaahirishwa mpaka Agosti 27

hata hivyo ni jambo jema maana siku hizi mahakama zinaendeshwa kidigitali/kwa njia ya video conference na haswa ktk kipindi hiki cha mlipuko wa Corona ni vyema sana akabaki hukohuko mahabusi ili kuepuka maambukizi.
jambo la msingi wakili wake Kibatala anawakilisha Mahakamani.
 
Kuwabambikia WANANCHI KESI si jambo ambalo Mungu anapenda, wahusika wa hili jambo watambue ipo siku yao ambayo Mola wetu atasema nao.
 
Toka takukuru wafute kesi walizobambikia watu...

Na agizo alitoa Rais, basi taasisi ya Urais nna mashaka nayo sana
 
Hii picha imepigwa siku ya kesi ya Mbowe.Magari ya kuleta askari mahakamani kuja kuzuia watu kusikiliza kesi ambapo ni haki yao kikatiba yapo lakini gari la kumleta mtuhumiwa mahakamani hakuna🐒🐒🐒
AEbqUB.jpg
 
Mtoto akifanya jambo la kipuuzi na la kitoto, hakuna atakaye shangaa! Jambo hilo hilo likifanywa na mtu mzima, hapo ndipo kwenye tatizo.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake wameshindwa kufikishwa mahakamani leo kutokana na tatizo la usafiri, hivyo kulazimu kesi kuendeshwa kwa njia ya video. Shauri hilo limefikishwa Mahakamani kwa ajili ya kutajwa, na limeahirishwwa hadi Agosti 27 litakaposikilizwa.

Hujambo?
 
Huu n udhalilishwaji wa Hali ya juu kabisa kutokea, yaani mwenyekiti wetu, na c wetu tu, Mwenyekiti wa chama kikuu Cha upinzani ana bebwa na yeye kwenye karandinga?? Yale ma V8vx yana fanya Nini police na hata huko magereza,?
Mama ndiyo kesha mtoa Mbowe kwenye Ramani,hadi atoke aanze kujipanga upya siyo leo wala kesho!!
 
Back
Top Bottom