Tetesi: Mbowe atuma barua ya siri kwa Rais Magufuli kuomba amuangalie kwa jicho la huruma


Kumbe mtoa hukumu ni magufuli naona mnaanza kutoa siri kwamba mahakama zipo mfukoni mwa mzee wa chato
 
huo ni ujinga wa mbowe badala ya kuandika barua kwa jaji mkuu au mahakamani anaipeleka kusiko husika, ndo maana nasema hakuna changes zozote zitatokea maana hata Magufuli hana la kufanya kwa ishu ya Mbowe
Pumbavu kabisa wewe... kwahiyo hao wafungwa wanaomwandikia hivyo vimemo huyo magufuli huwa wanamuandikia vya mapenzi sio!? Kama huwa haiingilii huo uhuru wa mahakama kwanini hao mahabusu na wafungwa wamuandikie vimemo? Unadhani wanataka nini kwake? Acheni kujiabisha na kumuaibisha huyo rais wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huo ni ujinga wa mbowe badala ya kuandika barua kwa jaji mkuu au mahakamani anaipeleka kusiko husika, ndo maana nasema hakuna changes zozote zitatokea maana hata Magufuli hana la kufanya kwa ishu ya Mbowe

Sio ujinga kagundua mahakama ipo chini ya mzee wa chato kule mahakamani ni mashati tu kuna vitu huwa mnaanzisha hamjui impact yake mnatuonesha sasa udhaifu wa mahakama wenyewe wagonga meza
 
Lumumbaaaaa karambe buku 7
 
Kutuma kimemo si mbaya ila tunamuomba Mh. Rais asiingilie mhimili wa Mahakama ili uweze kutenda haki haiwezekani adharau mahakama huruma akaombe serikali kuu tafadhali Mh. Rais potezea apate haki yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mods nadhani Ni vema mleta mada akatendewa Haki kwa kuleta habari za uongo humu. Huyu Ni pumbav.u Kama wengine wa Aina Yake. Mods tendeni Haki, Hakuna Ushahidi wowote wa alichokileta hapa. Na threads zake nyingine zimeshatufumbua macho huyu Ni mtu wa namna gani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo uko zamu [emoji12][emoji3][emoji23][emoji1787].
Na umejitoa ufahamu kweli kweli [emoji87][emoji40][emoji2960]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumbe mnamwonea mkidhani atajipendekeza?? Mtasubiri sana Mbowe sio Jiwe. Yule ni akili mingi. Mahabusu kwake anapata muda wa kutafakari zaidi maisha ya duniani na akhera. Katumwa na Mungu Yule.
 
Lakini ile picha ya mitandaoni ndo ilionyesha kwamba kasema uongo. Angepiga picha lakini asipositi kwenye mtandao wasingeshutuka kwamba kadanganya. Hapo aliingia kwenye mdomo wa mamba mwenyewe.
 
Acha propaganda za kupaka watu matope, weka hiyo memo hapa iwe ushahidi, Mbowe hawezi kumnyenyekea Magufuli mnatafuta namna ya kumpaka matope baada ya kushindwa kumnunua, Mbowe hababaiki na lolote, yeye si wa kwanza kufungwa kisiasa unadhani Magufuli hawezi kufungwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hawa wapumbavu waache tupo sehemu tumejichimbia tutakuja kuuwasha moto ambao hautazimika na Jiwe litatoswa Baharini na Tanzania kuwa huru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzushi wa kizee huu
 
Sawa JITU TAPELI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…