Tetesi: Mbowe atuma barua ya siri kwa Rais Magufuli kuomba amuangalie kwa jicho la huruma

Mimi nilivyokuelewa unatangazia umma kuwa Mbowe kakuandikia barua ya posa.
Kama barua kamuandikia rais wewe ni nani uje kuongea habari za siri kama hizo?
Wewe in first lady?
Acha ujuaji aisee!!
 
unajua ninyi ccm mnadanganyana sana? ujinga kwenu ndo issue. Mbowe hawezi kufanya upuuzi huo labda mtengeneze kimemo chenu najua kikosi cha Bashite mdo kazi yake ila mtafeli vibaya kama mlivyofeli kumuua Lissu Leo mnaumbuka kweupe
 
Mijitu mijinga kama wewe ndio huleta shida sana hapa Duniani, mahakama hua haichezewi kijingajinga wewe zomwa. Ukiwekewa dhamana fwata masharti vinginevyo lazima uone kiama. Mbona viongozi wengine waliofwata masharti ya dhamana hawasumbuliwi??? Jinga sana wewe.
 
unajua ninyi ccm mnadanganyana sana? ujinga kwenu ndo issue. Mbowe hawezi kufanya upuuzi huo labda mtengeneze kimemo chenu najua kikosi cha Bashite mdo kazi yake ila mtafeli vibaya kama mlivyofeli kumuua Lissu Leo mnaumbuka kweupe
Kashaandika sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…