Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe furahia tu usidhani Magufuli wako atakuwa salama milele hii ni Dunia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilivyokuelewa unatangazia umma kuwa Mbowe kakuandikia barua ya posa.Kupitia utaratibu wa mahabusu kuandika ujumbe wowote ule kwenda Ikulu, imepenya barua ndogo ya mheshimiwa mbowe akieleza machungu yake kwa mheshimiwa rais
Ujumbe huo una mazito kwanza akiomba rais Magufuli aweze kutoa mwelekeo wowote dhidi ya kesi inayomhusu , pili kasema pengine zinakuwa ni siasa hawasemi kwa kumaanisha,
Kwa upande mwingine kasema ana mengi ya kumweleza endapo watakutana ana kwa ana,
MBOWE KAKOSEA KUANDIKA KWA RAIS BADALA YA MAHAKAMA, WALA MAGUFULI HATAJISHUGHULISHA NA KI MEMO HICHO MAANA ANAJUA MAHAKAMA IKO HURU NA ANAJUA KWAMBA HAWEZI KUIINGILIA
Source niko masijala ya sehem muhimu - husika
BY EXTERNAL PAYMENT ACCOUNT BENEFICIARY - GEE2PATEL
Mijitu mijinga kama wewe ndio huleta shida sana hapa Duniani, mahakama hua haichezewi kijingajinga wewe zomwa. Ukiwekewa dhamana fwata masharti vinginevyo lazima uone kiama. Mbona viongozi wengine waliofwata masharti ya dhamana hawasumbuliwi??? Jinga sana wewe.Sasa utajuaje uhusika wa kuadimika condom kwenye mada ya Mbowe ilhali umekabidhi kichwa na akili zako kwa polepole hapo balazani... itakuwa ajabu sana ulikijua hili.!!
Ila wenzako waliosmart na akili zao hazijakeremishwa kama wewe, wanajua kuwa kuadimika kwa vifaa hivyo ni matokeo ya kuminywa kwa ruzuku iliyokuwa ikipata Tanzania kwa wafadhili ambayo kwa kiasi kikubwa kumesababishwa na kuminywa kwa demokrasia, haki ya kujieleza na kesi kama hizo za kina Mbowe kwa upinzani...
Sasa bata kama wewe unadhani polepole atakuambia uyajue haya... wewe unachotakiwa kujua ni kwamba Mbowe ni Fisadi, kuwadi wa Mabeberu, Gaidi na mambo kama hayo... tofauti na hivyo uwepo wako duniani kama binadamu utakuwa shakani..
Sepaaaaaaaa.....
BACK TANGANYIKA
Sent using Jamii Forums mobile app
Kashaandika sasaunajua ninyi ccm mnadanganyana sana? ujinga kwenu ndo issue. Mbowe hawezi kufanya upuuzi huo labda mtengeneze kimemo chenu najua kikosi cha Bashite mdo kazi yake ila mtafeli vibaya kama mlivyofeli kumuua Lissu Leo mnaumbuka kweupe