Tetesi: Mbowe atuma barua ya siri kwa Rais Magufuli kuomba amuangalie kwa jicho la huruma

Kupitia utaratibu wa mahabusu kuandika ujumbe wowote ule kwenda Ikulu, imepenya barua ndogo ya mheshimiwa mbowe akieleza machungu yake kwa mheshimiwa rais

Ujumbe huo una mazito kwanza akiomba rais Magufuli aweze kutoa mwelekeo wowote dhidi ya kesi inayomhusu , pili kasema pengine zinakuwa ni siasa hawasemi kwa kumaanisha,

kwa upande mwingine kasema ana mengi ya kumweleza endapo watakutana ana kwa ana,

ngoja Tuangalie mwitikio wa JPM

Source niko masijala ya sehem muhimu - husika

BY EXTERNAL PAYMENT ACCOUNT BENEFICIARY - GEE2PATEL
Acha upoyoyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijakosea nilichoandika na hata hii habari yako inaonyesha kwamba rais ndio ameagiza akae ndani. Ulidhani unamtakatishia rais nyota kumbe ndio umeanika kuwa ndio anaagiza mahakama iwanyanyase wapinzani wake.
Hapana wala si rais aloagia akae ndani sema mbowe mawazo yake anadhani rais ndo mwenye uwezo wa kumaliza suala hili kumbe siyo
 
na wakili wake nasikia naye msaliti anatumiwa na lissu anayetaka kugombea urais hakumshauri kuwa kukosa mahakamani mara kazaa ni kosa kisheria
Duh, hatari sana bora wakili wake angepeleka taarifa kama alipata udhuru
 
Basi hiyo barua itamtoa ameshatanbua kosa lake na ukisaomba radha ukaoewa mashartri yameisha msiifurahie hii hali haina afya hasa kwa ccm
hilo ndo kosa yeye alidhani kwamba labda watamuacha kisa ni mkuu wa upinzani,
 
Hapana wala si rais aloagia akae ndani sema mbowe mawazo yake anadhani rais ndo mwenye uwezo wa kumaliza suala hili kumbe siyo

Narudia tena, Mbowe hana muda mchafu wa kuandika barua kuomba hisani ya yoyote. Hivyo muambie rais wala asubiri kuombwa chochote, yeye aagize hukumu anayotaka Mbowe asomewe fullstop.
 
Kupitia utaratibu wa mahabusu kuandika ujumbe wowote ule kwenda Ikulu, imepenya barua ndogo ya mheshimiwa mbowe akieleza machungu yake kwa mheshimiwa rais

Ujumbe huo una mazito kwanza akiomba rais Magufuli aweze kutoa mwelekeo wowote dhidi ya kesi inayomhusu , pili kasema pengine zinakuwa ni siasa hawasemi kwa kumaanisha,

kwa upande mwingine kasema ana mengi ya kumweleza endapo watakutana ana kwa ana,

ngoja Tuangalie mwitikio wa JPM

Source niko masijala ya sehem muhimu - husika

BY EXTERNAL PAYMENT ACCOUNT BENEFICIARY - GEE2PATEL

Kutunga uongo ni moja ya sifa za wabantu,
tegemea kusikia chochote kwa mwafrika!!
 
Kupitia utaratibu wa mahabusu kuandika ujumbe wowote ule kwenda Ikulu, imepenya barua ndogo ya mheshimiwa mbowe akieleza machungu yake kwa mheshimiwa rais

Ujumbe huo una mazito kwanza akiomba rais Magufuli aweze kutoa mwelekeo wowote dhidi ya kesi inayomhusu , pili kasema pengine zinakuwa ni siasa hawasemi kwa kumaanisha,

kwa upande mwingine kasema ana mengi ya kumweleza endapo watakutana ana kwa ana,

ngoja Tuangalie mwitikio wa JPM

Source niko masijala ya sehem muhimu - husika

BY EXTERNAL PAYMENT ACCOUNT BENEFICIARY - GEE2PATEL
Ujinga mtupu
 
Hivi Cyprian Musiba ID yake hapa JamiiForums ni ipi vile?
 
Buku 7 katika ubora wake. Mbowe my foot hawezi kamwe... na kama ameandika tutamsikia huyo Roporopo.

Anyway mmjua soon atatoka maanza propaganda ili ionekane aliomba huruma ya who call sijui nani
 
Kufungwa tu haitoshi wamhukumu kunyonga ili waridhike kabisa na mioyo yao itulie

Utakayeishi milele hujambo? salama? napenda nikukumbushe tuu kuna mwanamama atazikwa leo huko Morogoro aliondoka nyumbani akiwa mzima lakini ghafla alifariki.

Nini kunyongwa?
 
inawahusu nini wa hapa
 
Sidhani,hata kama angetaka msaada,hawezi kutumia njia hiyo,angemtuma mtu mashuhuri kufikisha ujumbe kwa Raisi.
Lakini kama katumia njia hiyo sidhani kama ina impact.
 
Kupitia utaratibu wa mahabusu kuandika ujumbe wowote ule kwenda Ikulu, imepenya barua ndogo ya mheshimiwa mbowe akieleza machungu yake kwa mheshimiwa rais

Ujumbe huo una mazito kwanza akiomba rais Magufuli aweze kutoa mwelekeo wowote dhidi ya kesi inayomhusu , pili kasema pengine zinakuwa ni siasa hawasemi kwa kumaanisha,

kwa upande mwingine kasema ana mengi ya kumweleza endapo watakutana ana kwa ana,

ngoja Tuangalie mwitikio wa JPM

Source niko masijala ya sehem muhimu - husika

BY EXTERNAL PAYMENT ACCOUNT BENEFICIARY - GEE2PATEL
Moderator huu uchafu usio na chembe ya ushahidi kutoka MATAGA kwanini mnauacha hapa ?
 
Narudia tena, Mbowe hana muda mchafu wa kuandika barua kuomba hisani ya yoyote. Hivyo muambie rais wala asubiri kuombwa chochote, yeye aagize hukumu anayotaka Mbowe asomewe fullstop.
atakuwa anamkomoa nani kama sikujikomoa mwenyewe anaesota rumande ni yeye
 
Back
Top Bottom