Tetesi: Mbowe atuma barua ya siri kwa Rais Magufuli kuomba amuangalie kwa jicho la huruma

Kupitia utaratibu wa mahabusu kuandika ujumbe wowote ule kwenda Ikulu, imepenya barua ndogo ya mheshimiwa mbowe akieleza machungu yake kwa mheshimiwa rais

Ujumbe huo una mazito kwanza akiomba rais Magufuli aweze kutoa mwelekeo wowote dhidi ya kesi inayomhusu , pili kasema pengine zinakuwa ni siasa hawasemi kwa kumaanisha,

kwa upande mwingine kasema ana mengi ya kumweleza endapo watakutana ana kwa ana,

ngoja Tuangalie mwitikio wa JPM

Source niko masijala ya sehem muhimu - husika

BY EXTERNAL PAYMENT ACCOUNT BENEFICIARY - GEE2PATEL
Nilifikiri mtu akipata usingizi mzuri, akili inatulia na kuamka ukiwa fit physically and mentally. Kajitibu kwanza mkuu gonjwa linalokusumbua ndio uje ulete uzi wenye akili hapa jf. Ulichoandika ni upuuzi na watakuelewa wenye akili kama zako tu.
 
Nyie watu laiti mngejua hasira mnazopandikiza kwa raia mngeacha kupost up upuuzi huu..!!

Mbowe hana sababu ya kumuomba huyo mtu amwangalie yeye kwa jicho la huruma. Isipokuwa huyo Nyapara ndie wa kumuomba Mbowe amwangalie yeye kwa jicho hilo.. Hivi hamjiulizi kitu kidogo tu kama condom kuadimika mitaani, just kifaa cha kufanyia starehe kinaadimika na ku make headline Tanzania nzima..!! Nyie mnakutana kwenye mibaraza ya lumumba mnapapasana kisha mnakenua mnajisikia raha kwa vi elfu kadhaa mnavyopewa kwa muda mfupi kisha vinaisha .

Nawaambia hamjui impact ya upumbavu mnaopumbazwa kwenye mabalaza yenu endeleeni kuchekeshana huko... Mwanga hauko mbali.

BACK TANGANYIKA

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tunalilia mambo ya maana wewe unalilia condom, tumia vile vifuko laini, nonsense
 
wala mkuu rais hana nia mbaya na upinzani, ila wapinzani ndo wanadeka sana na kuvunja sheria makusudi ili wakiguswa na mahakama ionekane zimetumwa na Magufuli

Ni hivi, hizo ndio aina ya siasa za rais, hawezi ushindani, na amegeuza vyombo vya kimamlaka kutii utashi wake. Kwa sasa bunge, mahakama, vyombo vya dola vyote haviwezi kutekeleza wajibu wao kisheria bali vinasubiri yeye ndio avipangie vifanye nini.
 
uvccm mnafurahisha sana, mnakaa lumumba mtatunga uongo halafu mnampa mmoja wenu apost jf kisha mnaanza kuuchangia/kutoa mawazo nyie wenyewe. Ushahidi angalia tofauti ya muda mtoa mada alipopost na wachangiaji kwanza kwanza
 
Kupitia utaratibu wa mahabusu kuandika ujumbe wowote ule kwenda Ikulu, imepenya barua ndogo ya mheshimiwa mbowe akieleza machungu yake kwa mheshimiwa rais

Ujumbe huo una mazito kwanza akiomba rais Magufuli aweze kutoa mwelekeo wowote dhidi ya kesi inayomhusu , pili kasema pengine zinakuwa ni siasa hawasemi kwa kumaanisha,

kwa upande mwingine kasema ana mengi ya kumweleza endapo watakutana ana kwa ana,

ngoja Tuangalie mwitikio wa JPM

Source niko masijala ya sehem muhimu - husika

BY EXTERNAL PAYMENT ACCOUNT BENEFICIARY - GEE2PATEL
Wahindi nao ni watu wabaguzi wakubwa nyie https://jamii.app/JFUserGuide out in our country

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kudhani kwamba comments za page ya kwanza zimeandikwa na mashetani kutoka ukanda uleule
 
ha
Ni hivi, hizo ndio aina ya siasa za rais, hawezi ushindani, na amegeuza vyombo vya kimamlaka kutii utashi wake. Kwa sasa bunge, mahakama, vyombo vya dola vyote haviwezi kutekeleza wajibu wao kisheria bali vinasubiri yeye ndio avipangie vifanye nini.
hapana mkuu unakosea unavyofikiria hivyo hebu jipe nafasi pana ya kulifikiria hilo
 
Kupitia utaratibu wa mahabusu kuandika ujumbe wowote ule kwenda Ikulu, imepenya barua ndogo ya mheshimiwa mbowe akieleza machungu yake kwa mheshimiwa rais

Ujumbe huo una mazito kwanza akiomba rais Magufuli aweze kutoa mwelekeo wowote dhidi ya kesi inayomhusu , pili kasema pengine zinakuwa ni siasa hawasemi kwa kumaanisha,

kwa upande mwingine kasema ana mengi ya kumweleza endapo watakutana ana kwa ana,

ngoja Tuangalie mwitikio wa JPM

Source niko masijala ya sehem muhimu - husika

BY EXTERNAL PAYMENT ACCOUNT BENEFICIARY - GEE2PATEL
Kumbe JPM ndie aliemfunga!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utoto Ni shida Sana.. Mnarukia mambo makubwa kuliko umri wako. Mnabaki kuandika utoto.
Utajua mwenyewe kila mtu Mungu anampa ufaham wake.kwa taarifa yako tunajua kila Vita Kati ya wabaya na wazuri na tuna uhakika wabaya wamejitega wenyewe watavuna walichopanda
 
Kwan ikiadimika condom hasara anapata nan, na bila shaka zimeadimika huko kwenu tu..kwengine zipo kama zoote. Bavicha mmeshikwa pa kunyea safari hii...mamaeeeee na bado

Nyie watu laiti mngejua hasira mnazopandikiza kwa raia mngeacha kupost up upuuzi huu..!!

Mbowe hana sababu ya kumuomba huyo mtu amwangalie yeye kwa jicho la huruma. Isipokuwa huyo Nyapara ndie wa kumuomba Mbowe amwangalie yeye kwa jicho hilo.. Hivi hamjiulizi kitu kidogo tu kama condom kuadimika mitaani, just kifaa cha kufanyia starehe kinaadimika na ku make headline Tanzania nzima..!! Nyie mnakutana kwenye mibaraza ya lumumba mnapapasana kisha mnakenua mnajisikia raha kwa vi elfu kadhaa mnavyopewa kwa muda mfupi kisha vinaisha .

Nawaambia hamjui impact ya upumbavu mnaopumbazwa kwenye mabalaza yenu endeleeni kuchekeshana huko... Mwanga hauko mbali.

BACK TANGANYIKA

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AKIWEKA WAZI KUWA HAWAJAMTUMA LISSU KUCHAFUA NCHI NA KUZUIA MISAADA KWA WAHISANI NA WAKAMLETA BONGO KUJIBU KESI ZAKE YEYE MWENYEWE AMBAZO MAFAILI YANAMSUBIRI MKULU ANAWEZA KUTOA ORDER OF UNDERSTANDING KUWA MBOWE ATOKE. MY TAKE.....!!!!!
 
ha

hapana mkuu unakosea unavyofikiria hivyo hebu jipe nafasi pana ya kulifikiria hilo

Sijakosea nilichoandika na hata hii habari yako inaonyesha kwamba rais ndio ameagiza akae ndani. Ulidhani unamtakatishia rais nyota kumbe ndio umeanika kuwa ndio anaagiza mahakama iwanyanyase wapinzani wake.
 
Naona mnatafuta namna yakutoa siyo mbaya kikubwa atoke turudi kwenye game maana limepoa sana
 
Back
Top Bottom