Acha upoyoyoKupitia utaratibu wa mahabusu kuandika ujumbe wowote ule kwenda Ikulu, imepenya barua ndogo ya mheshimiwa mbowe akieleza machungu yake kwa mheshimiwa rais
Ujumbe huo una mazito kwanza akiomba rais Magufuli aweze kutoa mwelekeo wowote dhidi ya kesi inayomhusu , pili kasema pengine zinakuwa ni siasa hawasemi kwa kumaanisha,
kwa upande mwingine kasema ana mengi ya kumweleza endapo watakutana ana kwa ana,
ngoja Tuangalie mwitikio wa JPM
Source niko masijala ya sehem muhimu - husika
BY EXTERNAL PAYMENT ACCOUNT BENEFICIARY - GEE2PATEL
Hapana wala si rais aloagia akae ndani sema mbowe mawazo yake anadhani rais ndo mwenye uwezo wa kumaliza suala hili kumbe siyoSijakosea nilichoandika na hata hii habari yako inaonyesha kwamba rais ndio ameagiza akae ndani. Ulidhani unamtakatishia rais nyota kumbe ndio umeanika kuwa ndio anaagiza mahakama iwanyanyase wapinzani wake.
Duh, hatari sana bora wakili wake angepeleka taarifa kama alipata udhuruna wakili wake nasikia naye msaliti anatumiwa na lissu anayetaka kugombea urais hakumshauri kuwa kukosa mahakamani mara kazaa ni kosa kisheria
hilo ndo kosa yeye alidhani kwamba labda watamuacha kisa ni mkuu wa upinzani,
Hapana wala si rais aloagia akae ndani sema mbowe mawazo yake anadhani rais ndo mwenye uwezo wa kumaliza suala hili kumbe siyo
Kupitia utaratibu wa mahabusu kuandika ujumbe wowote ule kwenda Ikulu, imepenya barua ndogo ya mheshimiwa mbowe akieleza machungu yake kwa mheshimiwa rais
Ujumbe huo una mazito kwanza akiomba rais Magufuli aweze kutoa mwelekeo wowote dhidi ya kesi inayomhusu , pili kasema pengine zinakuwa ni siasa hawasemi kwa kumaanisha,
kwa upande mwingine kasema ana mengi ya kumweleza endapo watakutana ana kwa ana,
ngoja Tuangalie mwitikio wa JPM
Source niko masijala ya sehem muhimu - husika
BY EXTERNAL PAYMENT ACCOUNT BENEFICIARY - GEE2PATEL
Ujinga mtupuKupitia utaratibu wa mahabusu kuandika ujumbe wowote ule kwenda Ikulu, imepenya barua ndogo ya mheshimiwa mbowe akieleza machungu yake kwa mheshimiwa rais
Ujumbe huo una mazito kwanza akiomba rais Magufuli aweze kutoa mwelekeo wowote dhidi ya kesi inayomhusu , pili kasema pengine zinakuwa ni siasa hawasemi kwa kumaanisha,
kwa upande mwingine kasema ana mengi ya kumweleza endapo watakutana ana kwa ana,
ngoja Tuangalie mwitikio wa JPM
Source niko masijala ya sehem muhimu - husika
BY EXTERNAL PAYMENT ACCOUNT BENEFICIARY - GEE2PATEL
Mbowe hawezi kunyoosha mikono kwenu,mumehangaika naye kwa njia nyingi mumeshindwa option mliyobakisha ni kimtwanga risasi tu kama kawaida yenu.Hapana wala si rais aloagia akae ndani sema mbowe mawazo yake anadhani rais ndo mwenye uwezo wa kumaliza suala hili kumbe siyo
Kupitia utaratibu wa mahabusu kuandika ujumbe wowote ule kwenda Ikulu, imepenya barua ndogo ya mheshimiwa mbowe akieleza machungu yake kwa mheshimiwa rais
Ujumbe huo una mazito kwanza akiomba rais Magufuli aweze kutoa mwelekeo wowote dhidi ya kesi inayomhusu , pili kasema pengine zinakuwa ni siasa hawasemi kwa kumaanisha,
kwa upande mwingine kasema ana mengi ya kumweleza endapo watakutana ana kwa ana,
ngoja Tuangalie mwitikio wa JPM
Source niko masijala ya sehem muhimu - husika
BY EXTERNAL PAYMENT ACCOUNT BENEFICIARY - GEE2PATEL
Hivi Cyprian Musiba ID yake hapa JamiiForums ni ipi vile?
Kufungwa tu haitoshi wamhukumu kunyonga ili waridhike kabisa na mioyo yao itulie
Moderator huu uchafu usio na chembe ya ushahidi kutoka MATAGA kwanini mnauacha hapa ?Kupitia utaratibu wa mahabusu kuandika ujumbe wowote ule kwenda Ikulu, imepenya barua ndogo ya mheshimiwa mbowe akieleza machungu yake kwa mheshimiwa rais
Ujumbe huo una mazito kwanza akiomba rais Magufuli aweze kutoa mwelekeo wowote dhidi ya kesi inayomhusu , pili kasema pengine zinakuwa ni siasa hawasemi kwa kumaanisha,
kwa upande mwingine kasema ana mengi ya kumweleza endapo watakutana ana kwa ana,
ngoja Tuangalie mwitikio wa JPM
Source niko masijala ya sehem muhimu - husika
BY EXTERNAL PAYMENT ACCOUNT BENEFICIARY - GEE2PATEL
atakuwa anamkomoa nani kama sikujikomoa mwenyewe anaesota rumande ni yeyeNarudia tena, Mbowe hana muda mchafu wa kuandika barua kuomba hisani ya yoyote. Hivyo muambie rais wala asubiri kuombwa chochote, yeye aagize hukumu anayotaka Mbowe asomewe fullstop.