Tetesi: Mbowe atuma barua ya siri kwa Rais Magufuli kuomba amuangalie kwa jicho la huruma

Bora umeliona hili... kifupi tu huyu kijana ameuza akili
 
Hongera kwa kutumia masaburi kufikiri
 
Ahsante sana kwa tamthilia yako. Kwa kweli ina dhamira moja tu, nayo ni mtokeje baada ya kushindwa kuyanywa mliyoyakoroga.

Mfungeni tu maana yeye ajuaye haki ndiye atamtetea kwa haki. Kimungu chenu kule magogoni kinahaha baada ya kukorogo hata kinyesi.
 

FAKE NEWS!!! kama unajua maana yake?
 
Sasa utajuaje uhusika wa kuadimika condom kwenye mada ya Mbowe ilhali umekabidhi kichwa na akili zako kwa polepole hapo balazani... itakuwa ajabu sana ulikijua hili.!!

Ila wenzako waliosmart na akili zao hazijakeremishwa kama wewe, wanajua kuwa kuadimika kwa vifaa hivyo ni matokeo ya kuminywa kwa ruzuku iliyokuwa ikipata Tanzania kwa wafadhili ambayo kwa kiasi kikubwa kumesababishwa na kuminywa kwa demokrasia, haki ya kujieleza na kesi kama hizo za kina Mbowe kwa upinzani...

Sasa bata kama wewe unadhani polepole atakuambia uyajue haya... wewe unachotakiwa kujua ni kwamba Mbowe ni Fisadi, kuwadi wa Mabeberu, Gaidi na mambo kama hayo... tofauti na hivyo uwepo wako duniani kama binadamu utakuwa shakani..

Sepaaaaaaaa.....

BACK TANGANYIKA
Sasa Condom zinahusika vipi ktk issue ya Mbowe? Wee nae kumbe jinga sana wewe

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani azoee tu, kuna watu wangapi wapo mahabusu kwa kukeuka taratibu za mahakama? Aendelee kusota ili liwe fundisho la kutenganisha uadilifu na uongo

be carefully, u never know for tomorrow, a coin has two sides
 
Nimefungwa kwa ajili ya kuwapigania waTz leo nimefungwa sioni mTz hata mmoja alienipigania sasa si bora nimuombe msamaha mhe then nijiunge kwenye chama la wana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi hauna ushahidi lakini unaachwa tu. Hivi na mimi nikiandika Magufuli aomba poo kwa kuwaandikia Accasia barua ya siri. Source masijala eneo muhimu uzi utaachwa?
 

Wasiojulikana mna taabu sana mkuu. Yaani Lumumba mnajifurahiusha kwa kuleta uzi wa kipuuzi mjazane ku comment upuuzi. Y alisu yamewashinda, pamoja na serekali yenu hamjatoa majibu yeyote kwa tuhuma zake dhidi yenu hadi leo. Mkuu katafute cha kufanya kuliko kutuletea tetesi za kipumbavu. Hivi hizo buku saba mnazopewa zinawafanya muandike chochote kile au sio?
 
Nakuapia Jiwe akiandikiwa kimemo/barua ya aina hiyo ataitangaza live kwenye TBC. Kama aliweza kuzisoma na kuziweka wazi za wale waliokuwa wanampigia magoti wakimwomba msamaha huko CCM akina Sophia Simba, aache kuitisha press conference kwa barua ya Mbowe?

Watu wa CCM mna vituko sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…