Mbowe atumia lugha chafu. Amuita DC Ilemela mjinga, hana Wilaya

mbowe baada ya kuona sabaya yupo ndani sasa anaanza kutamba siku sabaya akitolewa atakuwa mdogo kama sisimizi
 
mbowe baada ya kuona sabaya yupo ndani sasa anaanza kutamba siku sabaya akitolewa atakuwa mdogo kama sisimizi
Naona mnadalili za kurejelea ule uharamia wenu sasa mjipange vyema.
 
Kweli paka akiondoka , Panya ndio utawala , yaani huyu wakati wa JPM mkia wote aliuficha, sasa hivi anabweka kama Mbwa koko ahahahahaha
 
Kweli paka akiondoka , Panya ndio utawala , yaani huyu wakati wa JPM mkia wote aliuficha, sasa hivi anabweka kama Mbwa koko ahahahahaha
Kwa hiyo hii ni timu furahia ukatili sio basi sawa,tutaishi nanyi hivyo hivyo kwani hapa ndio kwetu.
 
sasa hivi Mbowe anaweza hata kumuita DC mjinga na asifanywe kitu....hahahahahaha...kwahiyo tuendelee tu kuchekacheka dola na watendaji wake wanapovunjiwa heshima?... kuna mahala ukiwaacha sana watu huru huwa na tabia ya kuamini wanaweza kufanya chochote.
 
Waamini ubabe,kutokutenda haki na wasiotaka kufuata sheria katika ubora wenu,ninae muonea ajitokeze kwa niyasemayo.
 
Kuitwa mjinga sio tusi..ndio ivyo mtu ulivyo..
Mfano wewe ulieleta huu uzi ni Mjinga sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…