Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Mambo yenu ndio yaliyomtoa huko ili kuongeza nguvu kupambana na uharamia.Mrudisheni mwenyekiti kwenye lockdown
Corona ni hatari atiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo yenu ndio yaliyomtoa huko ili kuongeza nguvu kupambana na uharamia.Mrudisheni mwenyekiti kwenye lockdown
Corona ni hatari atiiii
Tupe tafsiri ya neno mjinga? Pia yafaa kuiita chepe ni chepe na sii chepe kijiko, kwani wa mtaa wakijani kwao usiku huulazimisha kuuita mchana .Ukimtukana mkuu wa wilaya ni sawa na kumtukana raisi.
Did you go to school?Kamanda mchovu sasa tuambie hiyo ni ramli chonganishi au ujumbe wako ni upi hasa, uongo ni upi hapo?
Naona mnadalili za kurejelea ule uharamia wenu sasa mjipange vyema.mbowe baada ya kuona sabaya yupo ndani sasa anaanza kutamba siku sabaya akitolewa atakuwa mdogo kama sisimizi
No pls, vipi wewe ulibahatika?Did you go to school?
Yes madam.No pls, vipi wewe ulibahatika?
Kwani ndiye uliyekuwa unamtegemea ili mambo yako yaende?mbowe baada ya kuona sabaya yupo ndani sasa anaanza kutamba siku sabaya akitolewa atakuwa mdogo kama sisimizi
Kweli paka akiondoka , Panya ndio utawala , yaani huyu wakati wa JPM mkia wote aliuficha, sasa hivi anabweka kama Mbwa koko ahahahahaha"Watu wanadai katiba its about our life, RAIS anaita chokochoko, na sasa wameibuka na viongozi wa ajabu mfano kuna DC mjinga mjinga hapa ilemela aliita waandishi wa habari kuwaambia kuwa haruhusu mikutano ya hadhara wilayani kwangu. Wewe una wilaya yako?" @freemanmbowetz https://t.co/dCK06EfnJM
Huu ndio ukweli, kamanda Mbowe amekuwa na kiburi ghafla.Kweli paka akiondoka , Panya ndio utawala , yaani huyu wakati wa JPM mkia wote aliuficha, sasa hivi anabweka kama Mbwa koko ahahahahaha
Kwa hiyo hii ni timu furahia ukatili sio basi sawa,tutaishi nanyi hivyo hivyo kwani hapa ndio kwetu.Kweli paka akiondoka , Panya ndio utawala , yaani huyu wakati wa JPM mkia wote aliuficha, sasa hivi anabweka kama Mbwa koko ahahahahaha
Acha ujinga ujinga, kupayuka hovyo ndio ujanja?Kwa hiyo hii ni timu furahia ukatili sio basi sawa,tutaishi nanyi hivyo hivyo kwani hapa ndio kwetu.
Mbowe nae kule anasema chadema yake,Kule Ikungi nae Muro anasema Wilaya yake
Waamini ubabe,kutokutenda haki na wasiotaka kufuata sheria katika ubora wenu,ninae muonea ajitokeze kwa niyasemayo.sasa hivi Mbowe anaweza hata kumuita DC mjinga na asifanywe kitu....hahahahahaha...kwahiyo tuendelee tu kuchekacheka dola na watendaji wake wanapovunjiwa heshima?... kuna mahala ukiwaacha sana watu huru huwa na tabia ya kuamini wanaweza kufanya chochote.
Kuitwa mjinga sio tusi..ndio ivyo mtu ulivyo.."Watu wanadai katiba its about our life, RAIS anaita chokochoko, na sasa wameibuka na viongozi wa ajabu mfano kuna DC mjinga mjinga hapa ilemela aliita waandishi wa habari kuwaambia kuwa haruhusu mikutano ya hadhara wilayani kwangu. Wewe una wilaya yako?" @freemanmbowetz https://t.co/dCK06EfnJM