Mbowe audhibiti mdomo wa Tundu Lissu

Mbowe audhibiti mdomo wa Tundu Lissu

Hafungwi mdo mtu hapa CHADEMA

#FREE Dawa Juma.
Ujinga wake hauwezi kuvumiliwa,Kama Anataka aondoke chadema akaunde chama chake Cha kwenda kuropoka huko aone Kama Kuna mtu atamfuata huko,Ndio atajuwa maana ya kujenga chama imara maana yeye anafikiri chama kinajengwa kwa kuropoka ropoka tu
 
Labda hiyo nambari ya kuombea ajira
Hapana mzee wangu Mimi Tayari nilishajiajiri katika kilimo, shambani ndio ofisini kwangu,jembe ndio kalamu yangu,Shamba ndio daftari langu na mabega yangu ndio begi langu.Nakula kwa jasho langu, mikono yangu ndio inipatiayo chakula changu na nakula kwa jasho langu.
 
TAFUTA Kazi uchawa sio Kazi it all about fucking job
Mimi Ni mkulima na NAJIVUNIA kuwa mkulima maana ni kazi inipayo chakula changu na kulisha Taifa langu,hivyo nashiriki katika kutunza amani na utulivu wa Taifa letu maana huwezi ukamuongoza wala kusikilizwa na mtu mwenye njaa hivyo nawapatia watu chakula kwa kujituma shambani ili chakula kipatikane masokoni na madukani
 
Lissu is ur father
Amekuzidi umri amekuzidi Elimu amekuzidi exposure na maisha huwezi mfananisha na wewe muimba mapambio
Unaweza ukawa na Elimu ya makaratasi lakini ukaonekana ni kituko mbele za watu,Elimu inayokufanya kushindwa kuzungumza kwa busara ,hekima ,staha na utaratibu hiyo siyo Elimu. Msomi Ni lazima uonyeshe usomi wako hata uzungumzapo mbele za watu na siyo kukurupuka tu
 
CHADEMA ni chama cha mfumo sio chama cha mtu mmoja mwenye ultimatum decision kama ilivyokuwa ccm kwa jiwe
Lissu ni makamu mwenyekiti kila neno analotamka ni very well calculated na lina baraka zote za chama
 
Lissu Ni Mropokaji Sana ,Ni mtu aliyekosa hekima za kiuongozi ,Ni mtu ambaye malezi yake utotoni yanatia mashaka Kama aliyapata vizuri, Hana breki Wala busara azungumzapo mbele ya watu,Ni mkurupukaji Sana,anajiona yeye ndiye mwenye Akili kuliko watanzania wote.
Mwenzako aliweza kuchaguliwa na wananchi kuwa mbunge, wewe hata kuwa kiongozi wa familia yako imeshindikana unaongozwa na mkeo
 
Ndugu zangu watanzania,

Namshauri mh Mbowe achukue Hatua za makusudi za kuudhibiti mdomo wa lissu maana kwa Sasa umeshapoteza muelekeo na Dira, Ndio sababu anaongea chochote kinachotua na kumjia katika mdomo wake,Hana breki Wala nati za kuubana, Haelewi Ni lipi azungumze na lipi asizungumze,Hana vikao Wala makubaliano na akili yake kabla ya kuzungumza kitu.

Kwa Sasa lisu anaona viongozi wenzake ndani ya chama hawana akili isipokuwa yeye tu,anajiona yeye ndiye mwenye Akili kuliko chama chake chote na wote walio salia Ni mambumbumbu tu, anamuona Mwenyekiti wake Kama mtu asiye jielewa Wala kujitambua Wala akili,anamuona Mwenyekiti wake na viongozi wenzake Kama mahayawani na makasuku tu.

Ndio maana kwa dharau za kuwadharau viongozi wake wakiongozwa na Mwenyekiti wake anadharau na kubeza jitihada zote zilizofanywa na Mwenyekiti wake pamoja na viongozi walioshirikiana na mh Mbowe, anatamka hadharani kwa kiburi ,kejeri na dharau kubwa kuwa yote yaliyofanyika ni ujinga Tu, Bila Shaka Moyoni mwake anamwita Mbowe Ni mjinga na jinga,kwa Sasa hamheshimu Wala Hana Cha Mwenyekiti Wala katibu Wala kamati kuu Wala nani. Anajiona ni Taasisi Ndani ya Taasisi,Ni chama ndani ya chama,Anajiona ni mkubwa kuliko Mwenyekiti wake pamoja na chama chake,Anajiona anatakiwa kusikilizwa yeye tu na akili zake za kushikiwa na wazungu, anajiona ni mwanachama Bora kuliko wengine wote,anaona wengine Kama madodoki tu ya kunyonya kila kitu.

Ikumbukwe kuwa Ni Hekima za mh Mbowe kwa kushirikiana na viongozi imara ,wazalendo,wakomavu ,waungwana na wenye mapenzi mema na Taifa letu kutoka ndani ya CCM walio amua kukaa chini kwa pamoja na kufungua ukurasa mpya wa kisiasa hapa nchini,Ndio hao waliofanikisha lissu anapata nafasi ya kuropoka majukwaani yote aropokayo na kumdharau Mwenyekiti wake,Ni hao ndio waliofanikisha kuondoa uhasama wa kisiasa,Ni hao waliofanikisha yeye kurejea nchini bila hofu,Ni hao walio fanya Tusalimiane na kushirikiana katika shughuli za kijamii bila kujari itikadi zetu za kisiasa,Ni hao waliowezesha haki ,amani na demokrasia kushamiri katika Taifa letu na kurejea katika kiti chake Cha kikatiba na Ni hao waliopelekea mpaka Sasa kuuona mchakato wa katiba mpya kuanza kuwekewa mikakati ya kufufuliwa upya na Ni hao waliorejesha Hali ya kuaminiana na kupendana licha ya tofauti zetu za kisiasa.

Sasa lisu kwa akili yake inayotokana na kukosa hekima za uongozi na malezi mazuri kutoka utoto wake anaona siyo kitu,anaona Ni ujinga ,Ni ushenzi ,Ni utahira,Ni uwendawazimu na ukasuku.

Watanzania hatupaswi kumsikiliza lissu Wala kumuunga mkono kwa kauli zake za kuwakatisha Tamaa viongozi wetu wazalendo walio amua kuweka maslahi ya Taifa letu mbele,Hatupaswi kumpa nafasi ya kutimiza ajenda zake.

Ajenda za lissu ni kutaka kuvuruga maridhiano ,ni kutaka kuleta uhasama wa kisiasa,ni kutaka kupandikiza mbegu za chuki na visasi mioyoni mwa watanzania,ni kutaka siasa za visasi ,Ni kutaka kukimbizana mitaani Kama wakimbizi ili apate ya kwenda kuropoka huko kwa wazungu anakopata misaada.

Kwa Sasa lissu Hana Raha maana anaona amepuuzwa na watanzania,anaona amenyimwa ajenda ya kuisema vibaya nchi yetu na Taifa letu ,anaona amekosa hoja za kuishambulia serikali yetu na hivyo kukosa hoja mbele za watu na ndio maana kila Siku anarudia yale Yale ambayo Kama Taifa tulishapita na kuvuka hatua hiyo kwa kushikana mikono na kuchora mistari ya kizalendo na kuamua kusonga mbele Kama Taifa.

Rai yangu kwa mh Mbowe Ni kuwa usikate Tamaa Wala kukatishwa Tamaa na maneno ya lissu ,simama imara na kishujaa, usihofu ,wengi wamekupongeza kwa kukubali kunyoosha mkono wa amani, lissu ameshapuuzwa na watanzania, usikubali avuruge maridhiano,Katu na kamwe usimpe nafasi hiyo.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
CHADEMA hoyee!!!!! NAONA Sasa tumehamia huku
 
TUNDU LISSU akiendelea kuunguruma leo yuko IGUGUNO.

20230511_133455217.jpg

Hafungwi Mtu mdomo hapa✌️✌️✌️
 
Ndugu zangu watanzania,

Namshauri mh Mbowe achukue Hatua za makusudi za kuudhibiti mdomo wa lissu maana kwa Sasa umeshapoteza muelekeo na Dira, Ndio sababu anaongea chochote kinachotua na kumjia katika mdomo wake,Hana breki Wala nati za kuubana, Haelewi Ni lipi azungumze na lipi asizungumze,Hana vikao Wala makubaliano na akili yake kabla ya kuzungumza kitu.

Kwa Sasa lisu anaona viongozi wenzake ndani ya chama hawana akili isipokuwa yeye tu,anajiona yeye ndiye mwenye Akili kuliko chama chake chote na wote walio salia Ni mambumbumbu tu, anamuona Mwenyekiti wake Kama mtu asiye jielewa Wala kujitambua Wala akili,anamuona Mwenyekiti wake na viongozi wenzake Kama mahayawani na makasuku tu.

Ndio maana kwa dharau za kuwadharau viongozi wake wakiongozwa na Mwenyekiti wake anadharau na kubeza jitihada zote zilizofanywa na Mwenyekiti wake pamoja na viongozi walioshirikiana na mh Mbowe, anatamka hadharani kwa kiburi ,kejeri na dharau kubwa kuwa yote yaliyofanyika ni ujinga Tu, Bila Shaka Moyoni mwake anamwita Mbowe Ni mjinga na jinga,kwa Sasa hamheshimu Wala Hana Cha Mwenyekiti Wala katibu Wala kamati kuu Wala nani. Anajiona ni Taasisi Ndani ya Taasisi,Ni chama ndani ya chama, Anajiona ni mkubwa kuliko Mwenyekiti wake pamoja na chama chake, Anajiona anatakiwa kusikilizwa yeye tu na akili zake za kushikiwa na wazungu, anajiona ni mwanachama Bora kuliko wengine wote,anaona wengine Kama madodoki tu ya kunyonya kila kitu.

Ikumbukwe kuwa Ni Hekima za mh Mbowe kwa kushirikiana na viongozi imara ,wazalendo,wakomavu ,waungwana na wenye mapenzi mema na Taifa letu kutoka ndani ya CCM walio amua kukaa chini kwa pamoja na kufungua ukurasa mpya wa kisiasa hapa nchini,Ndio hao waliofanikisha lissu anapata nafasi ya kuropoka majukwaani yote aropokayo na kumdharau Mwenyekiti wake,Ni hao ndio waliofanikisha kuondoa uhasama wa kisiasa,Ni hao waliofanikisha yeye kurejea nchini bila hofu,Ni hao walio fanya Tusalimiane na kushirikiana katika shughuli za kijamii bila kujari itikadi zetu za kisiasa,Ni hao waliowezesha haki ,amani na demokrasia kushamiri katika Taifa letu na kurejea katika kiti chake Cha kikatiba na Ni hao waliopelekea mpaka Sasa kuuona mchakato wa katiba mpya kuanza kuwekewa mikakati ya kufufuliwa upya na Ni hao waliorejesha Hali ya kuaminiana na kupendana licha ya tofauti zetu za kisiasa.

Sasa lisu kwa akili yake inayotokana na kukosa hekima za uongozi na malezi mazuri kutoka utoto wake anaona siyo kitu,anaona Ni ujinga ,Ni ushenzi ,Ni utahira,Ni uwendawazimu na ukasuku.

Watanzania hatupaswi kumsikiliza lissu Wala kumuunga mkono kwa kauli zake za kuwakatisha Tamaa viongozi wetu wazalendo walio amua kuweka maslahi ya Taifa letu mbele, Hatupaswi kumpa nafasi ya kutimiza ajenda zake.

Ajenda za lissu ni kutaka kuvuruga maridhiano ,ni kutaka kuleta uhasama wa kisiasa,ni kutaka kupandikiza mbegu za chuki na visasi mioyoni mwa watanzania,ni kutaka siasa za visasi, Ni kutaka kukimbizana mitaani Kama wakimbizi ili apate ya kwenda kuropoka huko kwa wazungu anakopata misaada.

Kwa Sasa lissu Hana Raha maana anaona amepuuzwa na watanzania,anaona amenyimwa ajenda ya kuisema vibaya nchi yetu na Taifa letu ,anaona amekosa hoja za kuishambulia serikali yetu na hivyo kukosa hoja mbele za watu na ndio maana kila Siku anarudia yale Yale ambayo Kama Taifa tulishapita na kuvuka hatua hiyo kwa kushikana mikono na kuchora mistari ya kizalendo na kuamua kusonga mbele Kama Taifa.

Rai yangu kwa mh Mbowe Ni kuwa usikate Tamaa Wala kukatishwa Tamaa na maneno ya lissu ,simama imara na kishujaa, usihofu, wengi wamekupongeza kwa kukubali kunyoosha mkono wa amani, lissu ameshapuuzwa na Watanzania, usikubali avuruge maridhiano, Katu na kamwe usimpe nafasi hiyo.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.

Posho hazikuwa sawa
 
Ndugu zangu watanzania,

Namshauri mh Mbowe achukue Hatua za makusudi za kuudhibiti mdomo wa lissu maana kwa Sasa umeshapoteza muelekeo na Dira, Ndio sababu anaongea chochote kinachotua na kumjia katika mdomo wake,Hana breki Wala nati za kuubana, Haelewi Ni lipi azungumze na lipi asizungumze,Hana vikao Wala makubaliano na akili yake kabla ya kuzungumza kitu.

Kwa Sasa lisu anaona viongozi wenzake ndani ya chama hawana akili isipokuwa yeye tu,anajiona yeye ndiye mwenye Akili kuliko chama chake chote na wote walio salia Ni mambumbumbu tu, anamuona Mwenyekiti wake Kama mtu asiye jielewa Wala kujitambua Wala akili,anamuona Mwenyekiti wake na viongozi wenzake Kama mahayawani na makasuku tu.

Ndio maana kwa dharau za kuwadharau viongozi wake wakiongozwa na Mwenyekiti wake anadharau na kubeza jitihada zote zilizofanywa na Mwenyekiti wake pamoja na viongozi walioshirikiana na mh Mbowe, anatamka hadharani kwa kiburi ,kejeri na dharau kubwa kuwa yote yaliyofanyika ni ujinga Tu, Bila Shaka Moyoni mwake anamwita Mbowe Ni mjinga na jinga,kwa Sasa hamheshimu Wala Hana Cha Mwenyekiti Wala katibu Wala kamati kuu Wala nani. Anajiona ni Taasisi Ndani ya Taasisi,Ni chama ndani ya chama,Anajiona ni mkubwa kuliko Mwenyekiti wake pamoja na chama chake,Anajiona anatakiwa kusikilizwa yeye tu na akili zake za kushikiwa na wazungu, anajiona ni mwanachama Bora kuliko wengine wote,anaona wengine Kama madodoki tu ya kunyonya kila kitu.

Ikumbukwe kuwa Ni Hekima za mh Mbowe kwa kushirikiana na viongozi imara ,wazalendo,wakomavu ,waungwana na wenye mapenzi mema na Taifa letu kutoka ndani ya CCM walio amua kukaa chini kwa pamoja na kufungua ukurasa mpya wa kisiasa hapa nchini,Ndio hao waliofanikisha lissu anapata nafasi ya kuropoka majukwaani yote aropokayo na kumdharau Mwenyekiti wake,Ni hao ndio waliofanikisha kuondoa uhasama wa kisiasa,Ni hao waliofanikisha yeye kurejea nchini bila hofu,Ni hao walio fanya Tusalimiane na kushirikiana katika shughuli za kijamii bila kujari itikadi zetu za kisiasa,Ni hao waliowezesha haki ,amani na demokrasia kushamiri katika Taifa letu na kurejea katika kiti chake Cha kikatiba na Ni hao waliopelekea mpaka Sasa kuuona mchakato wa katiba mpya kuanza kuwekewa mikakati ya kufufuliwa upya na Ni hao waliorejesha Hali ya kuaminiana na kupendana licha ya tofauti zetu za kisiasa.

Sasa lisu kwa akili yake inayotokana na kukosa hekima za uongozi na malezi mazuri kutoka utoto wake anaona siyo kitu,anaona Ni ujinga ,Ni ushenzi ,Ni utahira,Ni uwendawazimu na ukasuku.

Watanzania hatupaswi kumsikiliza lissu Wala kumuunga mkono kwa kauli zake za kuwakatisha Tamaa viongozi wetu wazalendo walio amua kuweka maslahi ya Taifa letu mbele,Hatupaswi kumpa nafasi ya kutimiza ajenda zake.

Ajenda za lissu ni kutaka kuvuruga maridhiano ,ni kutaka kuleta uhasama wa kisiasa,ni kutaka kupandikiza mbegu za chuki na visasi mioyoni mwa watanzania,ni kutaka siasa za visasi ,Ni kutaka kukimbizana mitaani Kama wakimbizi ili apate ya kwenda kuropoka huko kwa wazungu anakopata misaada.

Kwa Sasa lissu Hana Raha maana anaona amepuuzwa na watanzania,anaona amenyimwa ajenda ya kuisema vibaya nchi yetu na Taifa letu ,anaona amekosa hoja za kuishambulia serikali yetu na hivyo kukosa hoja mbele za watu na ndio maana kila Siku anarudia yale Yale ambayo Kama Taifa tulishapita na kuvuka hatua hiyo kwa kushikana mikono na kuchora mistari ya kizalendo na kuamua kusonga mbele Kama Taifa.

Rai yangu kwa mh Mbowe Ni kuwa usikate Tamaa Wala kukatishwa Tamaa na maneno ya lissu ,simama imara na kishujaa, usihofu ,wengi wamekupongeza kwa kukubali kunyoosha mkono wa amani, lissu ameshapuuzwa na watanzania, usikubali avuruge maridhiano,Katu na kamwe usimpe nafasi hiyo.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Kwa maelezo haya maridhiano yanaonekana ni kufuri kwa midomo iliyo na utayari wa kuitumia demokrasia kuyaweka hadharani mawazo yao kwa hofu kuwa yanaweza yakawa ni msumeno unaokula pande zote.
 

Uzuri wa TL hajui kupaka siagi mkate Wala kujikomba, yeye spade ni Spade na si vinginevyo, fikiria mtajadiliana vipi maridhiano bila kushirikisha wanainchi Kwanza? Mbowe katolewa kwenye kesi ya kubumba hiyo sawa je hao wengine waliotendwa hivyo na bado wapo magereza wasahaulike waozee huko ? Kuna watu wamepoteza maisha na Kuna wale wamekuwa walemavu waachwe vile vile na maridhiano yapite Kama vile mambo hayo hayana thamani? Hicho ndicho TL anaongelea
 
Uzuri wa TL hajui kupaka siagi mkate Wala kujikomba, yeye spade ni Spade na so vinginevyo, fikiria mtajadiliana vipi maridhiano bila kushirikisha wanainchi Kwanza? Mbowe katika katika kwenye kesi ya kubumba sawa he hao wengine waliotendwa hivyo na bado wapo magereza wasahaulike waozee huko ? Kuna watu wamepoteza maisha na Kuna wale wamekuwa walemavu waachwe vile vile na maridhiano yapite Kama vile mambo hayo hayana thamani? Hicho ndicho TL anaongelea
Basi aanzishe chama chake ili akaongoze mapambano anayoyataka aone Kama atafanikiwa au kuungwa mkono
 
Back
Top Bottom