Mbowe audhibiti mdomo wa Tundu Lissu

Hafungwi mdo mtu hapa CHADEMA

#FREE Dawa Juma.
Ujinga wake hauwezi kuvumiliwa,Kama Anataka aondoke chadema akaunde chama chake Cha kwenda kuropoka huko aone Kama Kuna mtu atamfuata huko,Ndio atajuwa maana ya kujenga chama imara maana yeye anafikiri chama kinajengwa kwa kuropoka ropoka tu
 
Labda hiyo nambari ya kuombea ajira
Hapana mzee wangu Mimi Tayari nilishajiajiri katika kilimo, shambani ndio ofisini kwangu,jembe ndio kalamu yangu,Shamba ndio daftari langu na mabega yangu ndio begi langu.Nakula kwa jasho langu, mikono yangu ndio inipatiayo chakula changu na nakula kwa jasho langu.
 
TAFUTA Kazi uchawa sio Kazi it all about fucking job
Mimi Ni mkulima na NAJIVUNIA kuwa mkulima maana ni kazi inipayo chakula changu na kulisha Taifa langu,hivyo nashiriki katika kutunza amani na utulivu wa Taifa letu maana huwezi ukamuongoza wala kusikilizwa na mtu mwenye njaa hivyo nawapatia watu chakula kwa kujituma shambani ili chakula kipatikane masokoni na madukani
 
Lissu is ur father
Amekuzidi umri amekuzidi Elimu amekuzidi exposure na maisha huwezi mfananisha na wewe muimba mapambio
Unaweza ukawa na Elimu ya makaratasi lakini ukaonekana ni kituko mbele za watu,Elimu inayokufanya kushindwa kuzungumza kwa busara ,hekima ,staha na utaratibu hiyo siyo Elimu. Msomi Ni lazima uonyeshe usomi wako hata uzungumzapo mbele za watu na siyo kukurupuka tu
 
CHADEMA ni chama cha mfumo sio chama cha mtu mmoja mwenye ultimatum decision kama ilivyokuwa ccm kwa jiwe
Lissu ni makamu mwenyekiti kila neno analotamka ni very well calculated na lina baraka zote za chama
 
Mwenzako aliweza kuchaguliwa na wananchi kuwa mbunge, wewe hata kuwa kiongozi wa familia yako imeshindikana unaongozwa na mkeo
 
CHADEMA hoyee!!!!! NAONA Sasa tumehamia huku
 

Posho hazikuwa sawa
 
Kwa maelezo haya maridhiano yanaonekana ni kufuri kwa midomo iliyo na utayari wa kuitumia demokrasia kuyaweka hadharani mawazo yao kwa hofu kuwa yanaweza yakawa ni msumeno unaokula pande zote.
 

Uzuri wa TL hajui kupaka siagi mkate Wala kujikomba, yeye spade ni Spade na si vinginevyo, fikiria mtajadiliana vipi maridhiano bila kushirikisha wanainchi Kwanza? Mbowe katolewa kwenye kesi ya kubumba hiyo sawa je hao wengine waliotendwa hivyo na bado wapo magereza wasahaulike waozee huko ? Kuna watu wamepoteza maisha na Kuna wale wamekuwa walemavu waachwe vile vile na maridhiano yapite Kama vile mambo hayo hayana thamani? Hicho ndicho TL anaongelea
 
Basi aanzishe chama chake ili akaongoze mapambano anayoyataka aone Kama atafanikiwa au kuungwa mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…