Mbowe awakimbia wana habari: Clouds TV wamtafuta bila mafanikio, asemekana kujificha!

Unafikiri yule Baby na yule mpare anayejiita Tanzanite wataweza kuhimili hoja za Mbowe akiamua kufafanua live bila chenga? Kwanza mada waliyomuitia tu wenyewe wanaogopa maana wanajua majibu hawataweza kuyarusha live. Walahi Jonii nakuapia hawataweza
Yule Ngoma hachelewagi kutokwa povu!
 
Yule Ngoma hachelewagi kutokwa povu!
Sijui ila yule kijana ni dhaifu sana kwenye uvumilivu.
Kama wanataka amani na kituo chao waendelee hivyo hivyo kusema Mbowe kakimbia
Tena siku akienda studio na wakialert mapema siku hiyo watapata watazamaji wengi sana japo kipindi hakitaisha.
 
Hao wana habari wa 360 mbona weupe sana, wanatafuta kick kumuhoji Mbowe wakati walishaenda kuwauliza bodaboda wa Dodoma!.

Muda ukifika Chadema kama chama wataitisha press wazungumzie hilo, lakini sio kualikwa na hao walamba miguu ya watawala.
 
Mzee wa k-vant
 
Hawezi kuongea na waramba miguu wa CCM. Mbowe anaongea na media zinazojitambua
 
CLOUDS 360 YAMSAKA MBOWE

Kwa mujibu wa Mtangazaji @hassanngoma360 amesema wamefanya jitihada za kumpata Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ili wazungumze naye kuhusu mambo mbalimbali ikiwepo miaka mitano katika maisha ya kisiasa hapa nchini. .

" Tumezungumza na Mh. Spika, Job Ndugai wiki iliyopita, tumeona ni vyema sasa kuzungumza na Mh. Mbowe tupo tayari kumfuata popote alipo hata Hai "

" Tumepambana sana kumtafuta kupitia viongozi wa chama ili tufanye naye mahojiano lakini hatujafanikiwa "

Mbona mkiwatafuta Wakubwa wengine tena Waandamizi kabisa kutoka CCM wakiwakatalia au kuwakwepa huwa hamuwatangazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…