Mbowe: Awamu ya Magufuli watu waliporwa mali na fedha

Kama ulikuwa na mali ambazo hujui umezipataje kisheria lazima zitaifishwe.

We ni meneja au mkurugenzi wa shirika la uma kisha una hotel ya billioni 1. Tunakuuliza umejenga kwa mkopo au nini, hutoi maelezo. Sie tufanyeje?
Na nyie tukiwauliza mabilioni mliyonayo mmepata wapi mtajibu nn?
 
Kwamba wewe hujui hilo mpaka Mbowe ndiyo aje aseme ?!. WaTanganyika wamerithishwa ujinga kwa faida ya watawala.
 
Kilio cha wengi ni ibada tosha, tulilia mwenyezi Mungu akatusikiliza - kwa sasa pamoja na mapungufu yote haya ila Taifa linapumua.
 
Kwa hiyo Chadema wanapambana na Magufuli kwenye uchaguzi wa 2025 ?
 
Nyie hata hamjui mnalolitaka.

Nchi iko imara kwa sasabu JPM alijenga misingi imara.
Alijenga misingi au alitaka kubomoa misingi miziri iliyowekwa na jk. Halafu eti watu wanasema jpm kajenga barabara, ipi? Barabara zote zimejengwa wakati wa jk.
 
Watanzania tuna taka Rais kama JPM na tutampata wahuni wote wa msoga tulieni tu muone
 
Nimemsikiliza Lema leo aisee kumbe tulikuwa Bagidadi
 
Safi tuipigie kura CCM Sasa.Maana hata wapinzani wote tunamuunga mkono Samia.Sugu kule Mbeya,mm ni rafiki wa Samia.Tumepoteza welekeo wa upinzani.CCM milele.
Usinune Dr Samia anapopongezwa kwa mazuri.
 
Sasa mkuu chama cha mambuzi unachodharau wewe sio ndio kimweka madarakani Dr JPm?

Kwani walimtaka?!

Yule aliwekwa pale by devine order to set the standards…

Waone mambuzi sasa hv yalivyo na wakati mgumu….
 
Shetani baba yako, mbwa wewe, pamoja na familia yako
 
kwamba wewe ukimuona mbowe sawa na mrema ndio kila mtu atamuona hivyo, 2025 wapuuz jiandaen kulia na kusaga meno.
Kweli zama za Mbowe zimeshapita.

Mwenyekiti wenu asipoamua kustaafu atastaafu lazima kwa aibu.

Huwezi amini thread ya kumpa sifa mwenyekiti wenu mpaka usiku huu ndio kwanza ipo page ya pili tena kwa kusuasua.

Watu wameshamshtukia kuwa anaigiza tu hakuna mwenye muda wa kusikiliza sanaa.

Kipindi kile manyumbu mkiwa wa moto mpaka sasa hivi uzi ungekua page ya 400 na picha kibao.
 
Asante.
Hebu ongeeni yanayowahusu wananchi zaidi. Ya JPM yaacheni tu.
 
Tarehe 17/03 kila mwaka iwe ni siku ya kitaifa ya kuliadhibu kaburi la jiwe
 
Kama ulikuwa na mali ambazo hujui umezipataje kisheria lazima zitaifishwe.

We ni meneja au mkurugenzi wa shirika la uma kisha una hotel ya billioni 1. Tunakuuliza umejenga kwa mkopo au nini, hutoi maelezo. Sie tufanyeje?
Kuna habari ya upatanisho ilitrend sana wakati fulani hivi katika kipindi hiki cha mama.

Hivi nani alikuwa anapatanishwa na nani?

Walifanyiana kitu gani kilipelekea wasipatane?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…