Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Baada ya kuharibiwa na nani?Mama liponye Taifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kuharibiwa na nani?Mama liponye Taifa.
Mtu kafa na bado anateseka🤣🤣🤣Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema miaka saba iliyopita ilikuwa ya bonde la maumivu makali kwa wananchi wote.
Alitaja maumivu hayo akihusisha wale waliofungwa magerezani na watumishi waliofukuzwa kwa kigezo cha vyeti feki.
Mbowe aliyasema hayo jana mkoani Njombe alipokuwa akiwahutubia wananchi mkoani humo, ikiwa ni mwendelezo wa mikutano ya hadhara baada ya kuruhusiwa hivi karibuni.
“Wako walionyang’anywa mali, Tanzania ikageuzwa kuwa Taifa la mateso, wananchi wakaishi kwenye hofu, lakini kwa wiki moja tuliyofanya mikutano ya hadhara, nikiliangalia Jeshi la Polisi silielewi mbona limekuwa na ubinadamu hivyo,”alisema Mbowe.
Alisema miaka saba iliyopita jeshi hilo halikuwa hivyo, lakini wanashukuru kwa sasa hali hiyo imebadilika na wanaamini kiongozi wa nchi anatengeneza vyombo vya dola kwa kuzingatia misingi ya kujali haki kwa wote.
“Tunachokiona leo ni Tanzania tunayoipenda Chadema tukizungumza, polisi wapo wanalinda amani na wanasikiliza sera.Tulifika hatua polisi wetu walionekana maadui kwa wananchi na raia, walikuwa wanawaombea mambo mabaya,”alisema.
My Take
Awamu ya Magufuli ni ya hovyo, ni kama awamu ya Nduli kule Uganda
Baada ya kunajisiwa na MagufuliBaada ya kuharibiwa na nani?
HujitambuiWanasiasa wengi wa upinzani wanaokoteza tu ajenda. Hawa jamaa bado wanapambana na JPM ambaye hayupo. Nilitegemea kusikia hali ngumu ya maisha, upandaji wa bei za bidhaa, bei za mafuta, Kilimo kinachosua sua, hali ngumu ya mwananchi. Eti kweli jamani tunazungumzia serikali ya JPM? Nafikiri hawa wanastahili wakizuiwa mikutano.
CCM kuna kiwanda cha kuzalisha wapumbavuKama ulikuwa na mali ambazo hujui umezipataje kisheria lazima zitaifishwe.
We ni meneja au mkurugenzi wa shirika la uma kisha una hotel ya billioni 1. Tunakuuliza umejenga kwa mkopo au nini, hutoi maelezo. Sie tufanyeje?
🤣🤣🤣🤣🤣Mtu kafa na bado anateseka🤣🤣🤣
Vip lakin alitaifisha na za wasukuma?Kama ulikuwa na mali ambazo hujui umezipataje kisheria lazima zitaifishwe.
We ni meneja au mkurugenzi wa shirika la uma kisha una hotel ya billioni 1. Tunakuuliza umejenga kwa mkopo au nini, hutoi maelezo. Sie tufanyeje?
Long time no see u bro.🤣🤣🤣🤣🤣
Hiyo hali ngumu ya maisha na wewe kaisemee.Wanasiasa wengi wa upinzani wanaokoteza tu ajenda. Hawa jamaa bado wanapambana na JPM ambaye hayupo. Nilitegemea kusikia hali ngumu ya maisha, upandaji wa bei za bidhaa, bei za mafuta, Kilimo kinachosua sua, hali ngumu ya mwananchi. Eti kweli jamani tunazungumzia serikali ya JPM? Nafikiri hawa wanastahili wakizuiwa mikutano.
Na enzi za utawala wa JK Arusha iligeuka Darfur mwaka 2011,vijana wa CDM walikufa kwa Mabomu na risasi!Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema miaka saba iliyopita ilikuwa ya bonde la maumivu makali kwa wananchi wote.
Alitaja maumivu hayo akihusisha wale waliofungwa magerezani na watumishi waliofukuzwa kwa kigezo cha vyeti feki.
Mbowe aliyasema hayo jana mkoani Njombe alipokuwa akiwahutubia wananchi mkoani humo, ikiwa ni mwendelezo wa mikutano ya hadhara baada ya kuruhusiwa hivi karibuni.
“Wako walionyang’anywa mali, Tanzania ikageuzwa kuwa Taifa la mateso, wananchi wakaishi kwenye hofu, lakini kwa wiki moja tuliyofanya mikutano ya hadhara, nikiliangalia Jeshi la Polisi silielewi mbona limekuwa na ubinadamu hivyo,”alisema Mbowe.
Alisema miaka saba iliyopita jeshi hilo halikuwa hivyo, lakini wanashukuru kwa sasa hali hiyo imebadilika na wanaamini kiongozi wa nchi anatengeneza vyombo vya dola kwa kuzingatia misingi ya kujali haki kwa wote.
“Tunachokiona leo ni Tanzania tunayoipenda Chadema tukizungumza, polisi wapo wanalinda amani na wanasikiliza sera.Tulifika hatua polisi wetu walionekana maadui kwa wananchi na raia, walikuwa wanawaombea mambo mabaya,”alisema.
My Take
Awamu ya Magufuli ni ya hovyo, ni kama awamu ya Nduli kule Uganda
Zilijengwa nani akiwa Waziri wa Ujenzi?Alijenga misingi au alitaka kubomoa misingi miziri iliyowekwa na jk. Halafu eti watu wanasema jpm kajenga barabara, ipi? Barabara zote zimejengwa wakati wa jk.
Mimi bado naendelea kusimama na maono ya Mwalimu Nyerere aliyesema mapema kuwa upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM.Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema miaka saba iliyopita ilikuwa ya bonde la maumivu makali kwa wananchi wote.
Alitaja maumivu hayo akihusisha wale waliofungwa magerezani na watumishi waliofukuzwa kwa kigezo cha vyeti feki.
Mbowe aliyasema hayo jana mkoani Njombe alipokuwa akiwahutubia wananchi mkoani humo, ikiwa ni mwendelezo wa mikutano ya hadhara baada ya kuruhusiwa hivi karibuni.
“Wako walionyang’anywa mali, Tanzania ikageuzwa kuwa Taifa la mateso, wananchi wakaishi kwenye hofu, lakini kwa wiki moja tuliyofanya mikutano ya hadhara, nikiliangalia Jeshi la Polisi silielewi mbona limekuwa na ubinadamu hivyo,”alisema Mbowe.
Alisema miaka saba iliyopita jeshi hilo halikuwa hivyo, lakini wanashukuru kwa sasa hali hiyo imebadilika na wanaamini kiongozi wa nchi anatengeneza vyombo vya dola kwa kuzingatia misingi ya kujali haki kwa wote.
“Tunachokiona leo ni Tanzania tunayoipenda Chadema tukizungumza, polisi wapo wanalinda amani na wanasikiliza sera.Tulifika hatua polisi wetu walionekana maadui kwa wananchi na raia, walikuwa wanawaombea mambo mabaya,”alisema.
My Take
Awamu ya Magufuli ni ya hovyo, ni kama awamu ya Nduli kule Uganda
Nilikuwa busy my dearLong time no see u bro.
Nakubaliana na ww ..maana sio kwa shida hizo jamani .mbowe amefungwa na samia akafunguliwa na samia ila hasira zote ni kwa magufuli mbona kituko jamaniKisaikolojia huyu hayuko sawa. Labda walimf*ra
Sasa mbona hilo zoezi lilikuwa na double standard?!!kwani wapiga deal waliisha?!!MUNGU FUNDIHivi kumuondoa mtumishi aliyeghushi vyeti wewe unaona alikosea? Unatengeneza taifa la wajanja wajanja, taifa la wapiga dili? Taifa la mtu asipotaka kulipa kodi aachwe? Nyie watu mtaona ccm ikitawala karne nyengine ijayo