Mbowe: Awamu ya Magufuli watu waliporwa mali na fedha

Mtu kafa na bado anateseka🤣🤣🤣
 
Hujitambui
 
Kama ulikuwa na mali ambazo hujui umezipataje kisheria lazima zitaifishwe.

We ni meneja au mkurugenzi wa shirika la uma kisha una hotel ya billioni 1. Tunakuuliza umejenga kwa mkopo au nini, hutoi maelezo. Sie tufanyeje?
CCM kuna kiwanda cha kuzalisha wapumbavu

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Aisee lile zee lilikua katili kuliko firauni bora limejifia tupumuwe asante Mungu.
 
Mbowe ana hadaa wananchi kama ilivyokuwa Lissu.
Sasa wanajikomba kwa polisi. Wameshika adabu. Wanajikomba kwenye serikali kwani wameshika adabu.

Uarakati wao ulilenga kusababisha vurugu na kuvunjisha amani ambayo Watanzania wamekua nao toka Uhuru. Walionyesha sura zao halisi. Mmoja akageuka kuwa gaidi na mwingine akajipiga risasi? kuharibu taswira ya polisi nchini.

Mbowe alikuwa hajalipia pango jengo aliloachiwa na mzazi wake NHC, na alipotakiwa kufanya hivyo akaibuka kama mbogo na utoto wake wa mjini na kuanza kupanga kuichafua Serikali. Aligeuka kuwa gaidi.

Leo hii wanajikomba kwa polisi waliokuwa wanawo wakejeli na kuwabeza, Je, anataka kudai polisi hao wamebadilika ghafla ila wengine waliokuwa katika serikali hiyo anayodai walikuwa makatili hawajabadilika? Siasa yake na Lissu hazina tofauti.

Wamejaa visasi. Hawa na chama chao wasipewe dhamana ya aina yeyote ile, dola yeyote ile kwani watageuza kuwa ni vyombo vya kulipiza visasi.

Machungu yao yabaki kwao kwani walijitakia wenyewe, makovu ni yao, majeraha ni yao wasitweshe Watanzania wengine hayo machungu. Wasitake kubadilisha taswira. Akalipie pango la NHC.
 
Kama ulikuwa na mali ambazo hujui umezipataje kisheria lazima zitaifishwe.

We ni meneja au mkurugenzi wa shirika la uma kisha una hotel ya billioni 1. Tunakuuliza umejenga kwa mkopo au nini, hutoi maelezo. Sie tufanyeje?
Vip lakin alitaifisha na za wasukuma?
 
Hiyo hali ngumu ya maisha na wewe kaisemee.
 
Marehemu alikuwa jambazi, eti aliyekufa asisemwe, mtu maisha take yalibeba masilahi ya umma kwa nini asisemwe. Yule jambazi yupo kuzimu.
 
Na enzi za utawala wa JK Arusha iligeuka Darfur mwaka 2011,vijana wa CDM walikufa kwa Mabomu na risasi!
Au nasema uongo ndugu zangu(in JPM voice)
 
Alijenga misingi au alitaka kubomoa misingi miziri iliyowekwa na jk. Halafu eti watu wanasema jpm kajenga barabara, ipi? Barabara zote zimejengwa wakati wa jk.
Zilijengwa nani akiwa Waziri wa Ujenzi?
 
Mimi bado naendelea kusimama na maono ya Mwalimu Nyerere aliyesema mapema kuwa upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM.
CDM hamna kitu!
 
Hivi kumuondoa mtumishi aliyeghushi vyeti wewe unaona alikosea? Unatengeneza taifa la wajanja wajanja, taifa la wapiga dili? Taifa la mtu asipotaka kulipa kodi aachwe? Nyie watu mtaona ccm ikitawala karne nyengine ijayo
Sasa mbona hilo zoezi lilikuwa na double standard?!!kwani wapiga deal waliisha?!!MUNGU FUNDI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…