Mbowe: Awamu ya Magufuli watu waliporwa mali na fedha

Kama ulikuwa na mali ambazo hujui umezipataje kisheria lazima zitaifishwe.

We ni meneja au mkurugenzi wa shirika la uma kisha una hotel ya billioni 1. Tunakuuliza umejenga kwa mkopo au nini, hutoi maelezo. Sie tufanyeje?
Usikurupuke, anazungumzia waliokuwa na maduka halali ya kubadili fedha ambao waliporwa na Magufuli, mwisho wa siku wakaambiwa wakachukue mali zao na walipokwenda wakakuta hizo mali ni viti, meza na kakyuleta! Pesa kabaki nazo Sabaya.
 
Alijenga misingi au alitaka kubomoa misingi miziri iliyowekwa na jk. Halafu eti watu wanasema jpm kajenga barabara, ipi? Barabara zote zimejengwa wakati wa jk.
Jk aliweka misingi ya wizi kama ndo unaifurahi hakika tuna hasara
 
Dah bado hamjatishika naye ?? !! Kweli aliwatesa Sana MAFISADI na ndo mliporwa Mali mlizoiibia Nchi
 
Jk aliweka misingi ya wizi kama ndo unaifurahi hakika tuna hasara
Zilezilikuwa kelele tu za jpm ambaye aliona kila mtu ni mwizi ispokuwa yeye tu. Serikali iliendeshwa kwa propaganda nyingi kuliko uhalisia ndo mana hata vyombo vya habari vilizimwa ili visihoji chochote
 
Hivi tumekosa hoja za kuongelea juu ya taifa letu tume mshikilia marehemu?
Jamani mbona chadema mnarudi nyuma kwa speed kali hivi? Wale wasomi wenu wako wapi? Wale waliokuwa wanachambua wizara kwa wizara ili kuwasema mafisadi?
Duh haki ya Mwenye Enzi Mungu!
 
Utuache mana JPm alituumiza sana na nusula atuue wapinzani wote Sasa lazima tumseme mpaka huko aliko aseme poo na mungu nadhani atakuwa anamshangaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…