#COVID19 Mbowe awataka wananchi wasihudhurie msiba wa Kaka yake kuepuka maambukizi ya COVID-19

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Posts
17,506
Reaction score
16,003
Ndugu zangu,

Mbowe amewataka wananchi kutohudhuria msiba na mazishi ya Kaka yake ili kuepuka maambukizi ya ugonjwa wa covid-19.Amesema msiba huo utakuwa "private" kwa familia tu.

Kwa upande mwingine Mbowe anatoka kuendesha mikutano ya kisiasa. Hapa ni funzo kwa wafuasi wa CHADEMA ambao wanakuwa wepesi kuhamasika kufanya ukorofi. Wanahamashishwa kupuyanga mabarabarani, mkipigwa na kuchakaa mwamba atakuwa anawaangalia kwa mbali akichekea tumboni

Pia soma > TANZIA - Kaka wa Freeman Mbowe, Charles Mbowe afariki Dunia

Mwanasiasa akikwambia kumekucha toka nje uhakikisha. Amkeni mabavicha!
 
Mbowe anafikiri watanzania wa sasa ni sawa na wale wa miaka ya 80, ambapo watu walikuwa wakijua au wakipata taarifa kupitia redio Tanzania tu. Jamaa anawadharau sana watanzania.
 
Mbona kwenye ulemkutano wa mdude walijazana?? Ufipani bwana. Kwahiyo watu wasiende kwenye msiba ila mikutano ya kudai katiba ruksa.hizi kiki zingine bwaaana
 
Mbona kichwa cha habari kinaonesha utata.Nadhani siyo mbowe katamka
Propaganda hata misibani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…