ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Poleni sana.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamanda wa anga
Mkuu kwa nini anafanya mikutano ya ndani na watu wamekusanyika wakati huo huo anawakataza watu wasije kwenye mkusanyiko wa msiba wake ?Mbowe ana busara sana!
Je samia aliyewakusanya watu kuaambia wasikusanyike?Ndugu zangu,
Mbowe amewataka wananchi kutohudhuria msiba na mazishi ya Kaka yake ili kuepuka maambukizi ya ugonjwa wa covid-19.Amesema msiba huo utakuwa "private" kwa familia tu.
Kwa upande mwingine Mbowe anatoka kuendesha mikutano ya kisiasa.Hapa ni funzo kwa wafuasi wa Chadrma ambao wanakuwa wepesi kuhamasika kufanya ukorofi.Wanahamashishwa kupuyanga mabarabarani,mkipigwa na kuchakaa mwamba atakuwa anawaangalia kwa mbali akichekea tumboni
Mwanasiasa akikwambia kumekucha toka nje uhakikisha.Amkeni mabavicha!
Aliyekwambia kaka yake mbowe alikuwa chadema nani.uliza uambiwrHizi ni hasira za Mungu baada ya chadema kushangilia kifo cha Magufuli.
Chanjo ni hiari na uamuzi wa mtuMbowe hakuona umuhimu kuijumuisha familia kwenye chanjo aliyopewa
Sijui kaka una uwezo hata wa kujielewa? Unachanganya mambo mengi yasiyo na kichwa wala miguu!!Ndugu zangu,
Mbowe amewataka wananchi kutohudhuria msiba na mazishi ya Kaka yake ili kuepuka maambukizi ya ugonjwa wa covid-19.Amesema msiba huo utakuwa "private" kwa familia tu.
Kwa upande mwingine Mbowe anatoka kuendesha mikutano ya kisiasa.Hapa ni funzo kwa wafuasi wa Chadrma ambao wanakuwa wepesi kuhamasika kufanya ukorofi.Wanahamashishwa kupuyanga mabarabarani,mkipigwa na kuchakaa mwamba atakuwa anawaangalia kwa mbali akichekea tumboni
Mwanasiasa akikwambia kumekucha toka nje uhakikisha.Amkeni mabavicha!
Mbowe anataka katiba ifuatwe sio lazima akusanye watuNdugu zangu,
Mbowe amewataka wananchi kutohudhuria msiba na mazishi ya Kaka yake ili kuepuka maambukizi ya ugonjwa wa covid-19.Amesema msiba huo utakuwa "private" kwa familia tu.
Kwa upande mwingine Mbowe anatoka kuendesha mikutano ya kisiasa.Hapa ni funzo kwa wafuasi wa Chadrma ambao wanakuwa wepesi kuhamasika kufanya ukorofi.Wanahamashishwa kupuyanga mabarabarani,mkipigwa na kuchakaa mwamba atakuwa anawaangalia kwa mbali akichekea tumboni
Mwanasiasa akikwambia kumekucha toka nje uhakikisha.Amkeni mabavicha!
anatakiwa amshukuru sana maaana alimsaidia kupata unaibu waziri aawamu iliyopita akaishia kugombana na wasanii labda hasira zake ni jinsi alivyoweza dhibitiwa mapinduzi mwaka ule 2013Mkuu Wakudadavua nafikiri una kitu fulani binafsi na Mbowe. Ama unamhusudu mno ijapokuwa aliwahi kukuumiza kihisia, ama la sivyo una mpenda kwa kificho cha "sitaki nataka" ili uweze kusikilizia mapigo. Maana, mhh! Si bure.
Ndugu zangu,
Mbowe amewataka wananchi kutohudhuria msiba na mazishi ya Kaka yake ili kuepuka maambukizi ya ugonjwa wa covid-19.Amesema msiba huo utakuwa "private" kwa familia tu.
Kwa upande mwingine Mbowe anatoka kuendesha mikutano ya kisiasa.Hapa ni funzo kwa wafuasi wa Chadrma ambao wanakuwa wepesi kuhamasika kufanya ukorofi.Wanahamashishwa kupuyanga mabarabarani,mkipigwa na kuchakaa mwamba atakuwa anawaangalia kwa mbali akichekea tumboni
Mwanasiasa akikwambia kumekucha toka nje uhakikisha.Amkeni mabavicha!
Sawa umemjibu vzr huyo mpuuzi.Familia ya mbowe imepata chanjo, hao wengine nao wamepata chanjo? mpuuzi mkubwa wewe
Je samia aliyewakusanya watu kuaambia wasikusanyike?
Sawa umemjibu vzr huyo mpuuzi.
Swali lingine ni hili.
Hao wanaoenda kwenye mikutano ya Mbowe ya hadhara wana chanjo?