#COVID19 Mbowe awataka wananchi wasihudhurie msiba wa Kaka yake kuepuka maambukizi ya COVID-19

Familia ya mbowe imepata chanjo, hao wengine nao wamepata chanjo? mpuuzi mkubwa wewe
Wanaohudhuria mikutano yake wamepata chanjo? Na mikutano ijayo ya chadema wahudhurie familia ya Mbowe tu!
 
Ndugu zangu,

Mbowe amewataka wananchi kutohudhuria msiba na mazishi ya Kaka yake ili kuepuka maambukizi ya ugonjwa wa covid-19.Amesema msiba huo utakuwa "private" kwa familia tu.

Kwa upande mwingine Mbowe anatoka kuendesha mikutano ya kisiasa. Hapa ni funzo kwa wafuasi wa CHADEMA ambao wanakuwa wepesi kuhamasika kufanya ukorofi. Wanahamashishwa kupuyanga mabarabarani, mkipigwa na kuchakaa mwamba atakuwa anawaangalia kwa mbali akichekea tumboni

Mwanasiasa akikwambia kumekucha toka nje uhakikisha. Amkeni mabavicha!
Mbona na wewe mwanasiasa unatuambia ya kwako? Mbowe hana .mpango na wewe na wenzio. zungumzia ya chama dola na mama wa kupewa muda atengeze church.i ulioporomoka.
 
Jikite kwenye hoja acha kulialia
Kama umepagawa hivi kuanzia paragraph ya pili [emoji1787][emoji1787]

Hebu leo kuwa muwazi hapa utueleze huenda utapata relief kwenye nafsi yako,
Hivi ulivyokua Bavicha na kina Ben saaanane na Mtela mla ugoro nk, ni kitu gani Mbowe alichokutenda mpaka umeshindwa kumsamehe mpaka leo kimekukaba kwenye shingo huli hulali unamuwaza Mbowe tu kuliko hata unavyowawaza kina baba wa watoto wako ?
 
Jikite kwenye hoja acha
Mbowe anataka katiba ifuatwe sio lazima akusanye watu

Mbowe anashida na kukusanya watu ila tamko la serikali kuzuia mikusanyiko liseme wazi sababu ni corona na wazuie pote

Daladala
Panton
Makanisani
Misikitini
Sokoni
Baa

Tuone kama wataweza au ni usanini ?
 
Jikite kwenye hoja acha kulialia
Mbona na wewe mwanasiasa unatuambia ya kwako? Mbowe hana .mpango na wewe na wenzio. zungumzia ya chama dola na mama wa kupewa muda atengeze church.i ulioporomoka.
 
RIP.
Ila jamaa nae alichimba sana visima vya dada zetu miaka hiyo,sikujua km bado mzima.
 
Ndugu zangu,

Mbowe amewataka wananchi kutohudhuria msiba na mazishi ya Kaka yake ili kuepuka maambukizi ya ugonjwa wa covid-19.Amesema msiba huo utakuwa "private" kwa familia tu.

Kwa upande mwingine Mbowe anatoka kuendesha mikutano ya kisiasa. Hapa ni funzo kwa wafuasi wa CHADEMA ambao wanakuwa wepesi kuhamasika kufanya ukorofi. Wanahamashishwa kupuyanga mabarabarani, mkipigwa na kuchakaa mwamba atakuwa anawaangalia kwa mbali akichekea tumboni

Mwanasiasa akikwambia kumekucha toka nje uhakikisha. Amkeni mabavicha!
Hapo tayari kigololi kimekushuka
 
Mkuu Wakudadavua nafikiri una kitu fulani binafsi na Mbowe. Ama unamhusudu mno ijapokuwa aliwahi kukuumiza kihisia, ama la sivyo una mpenda kwa kificho cha "sitaki nataka" ili uweze kusikilizia mapigo. Maana, mhh! Si bure.
Kaachika na Mbowe labda huwezi jua. Dunia ina mengi
 
Ndugu zangu,

Mbowe amewataka wananchi kutohudhuria msiba na mazishi ya Kaka yake ili kuepuka maambukizi ya ugonjwa wa covid-19.Amesema msiba huo utakuwa "private" kwa familia tu.

Kwa upande mwingine Mbowe anatoka kuendesha mikutano ya kisiasa. Hapa ni funzo kwa wafuasi wa CHADEMA ambao wanakuwa wepesi kuhamasika kufanya ukorofi. Wanahamashishwa kupuyanga mabarabarani, mkipigwa na kuchakaa mwamba atakuwa anawaangalia kwa mbali akichekea tumboni

Mwanasiasa akikwambia kumekucha toka nje uhakikisha. Amkeni mabavicha!
Ukwaju wake huupati maana unautafuta kwa udi na uvumba.
Hivi Samia amekusahau? Làbda kwenye uDED, endelea kumkandia Mbowe làbda atakusikia lkn kumbuka huyu siyo Jiwe, hataki kukanyaga watu
 
Mkuu Wakudadavua nafikiri una kitu fulani binafsi na Mbowe. Ama unamhusudu mno ijapokuwa aliwahi kukuumiza kihisia, ama la sivyo una mpenda kwa kificho cha "sitaki nataka" ili uweze kusikilizia mapigo. Maana, mhh! Si bure.
Huyu ndiye akiwa Waziri mdogo? Alitoka Chadema?
 
halafu kuna watu wanafanya usaniii wa kuvaa barakoa, unakuta jitu zima lipo kwenye mikusanyiko linapumukia wenzake!!
unakuta mtu anapiga michafya bila hata kuziba pua.
unakuta jitu zima limevaa barakoa ya mtoto inaishia mdomoni.
unakuta jitu zima limevaa barakoa chini ya kidevu.
watqnzania ukosefu wa maarifa utawaangamiza.
vaeni Barakoa acheni upumbavu mtakwisha, mtapuputika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Mbowe amewataka wananchi kutohudhuria msiba na mazishi ya Kaka yake ili kuepuka maambukizi ya ugonjwa wa covid-19.Amesema msiba huo utakuwa "private" kwa familia tu.

Kwa upande mwingine Mbowe anatoka kuendesha mikutano ya kisiasa. Hapa ni funzo kwa wafuasi wa CHADEMA ambao wanakuwa wepesi kuhamasika kufanya ukorofi. Wanahamashishwa kupuyanga mabarabarani, mkipigwa na kuchakaa mwamba atakuwa anawaangalia kwa mbali akichekea tumboni

Mwanasiasa akikwambia kumekucha toka nje uhakikisha. Amkeni mabavicha!
Mrenda na chai haviendi mkuu
 
Huyo kaka yake aliye fariki alipata chanjo ya covid mbona kafa kwa covid[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa upande mwingine Mbowe anatoka kuendesha mikutano ya kisiasa. Hapa ni funzo kwa wafuasi wa CHADEMA ambao wanakuwa wepesi kuhamasika kufanya ukorofi. Wanahamashishwa kupuyanga mabarabarani, mkipigwa na kuchakaa mwamba atakuwa anawaangalia kwa mbali akichekea tumboni
Punguza kunywa mataputapu ndugu, ndio maana mwili na akili vimechoka hivyo haraka tofauti na umri wako.
 
Back
Top Bottom