#COVID19 Mbowe awataka wananchi wasihudhurie msiba wa Kaka yake kuepuka maambukizi ya COVID-19

Zombie boy toka mwishoni 2015 hadi March 16 2021 huonekani jamvini licha ya thread nyingi za Chadema na Mbowe. Ni nini kimekufanya sasa hivi uwe active wewe mdini, mkabila na mkanda??????!!

Udini umemjaa kila sehemu ya mwili.Leo hii akitokea mwarabu wa Misri atawale Tanganyika jamaa litacheka na kushangilia kisa ni dini yake.
 
Mkuu kwa nini anafanya mikutano ya ndani na watu wamekusanyika wakati huo huo anawakataza watu wasije kwenye mkusanyiko wa msiba wake ?

Nauliza hivi ikiwa kama kweli amesema hayo kama hajasema nabatilisha maswali
Ni kweli amesema
 
Ndugu zangu,

Mbowe amewataka wananchi kutohudhuria msiba na mazishi ya Kaka yake ili kuepuka maambukizi ya ugonjwa wa covid-19.Amesema msiba huo utakuwa "private" kwa familia tu.

Kwa upande mwingine Mbowe anatoka kuendesha mikutano ya kisiasa. Hapa ni funzo kwa wafuasi wa CHADEMA ambao wanakuwa wepesi kuhamasika kufanya ukorofi. Wanahamashishwa kupuyanga mabarabarani, mkipigwa na kuchakaa mwamba atakuwa anawaangalia kwa mbali akichekea tumboni

Mwanasiasa akikwambia kumekucha toka nje uhakikisha. Amkeni mabavicha!
Mikutano ya kisiasa ya ndani kimesambaza kirusi cha delta covid 19 nchi nzima. Bado wanaona hiyo haitoshi wanalilia wakiwa wamevaa nguo nyekundu, kufanya mikutano ya hadhara nchi nzima ili kirusi hiki wakisambaze kwa kasi zaidi. Mwamba yeye ana full vaccination ya Pfizer aliyoipata Dubai.
 
Ndugu zangu,

Mbowe amewataka wananchi kutohudhuria msiba na mazishi ya Kaka yake ili kuepuka maambukizi ya ugonjwa wa covid-19.Amesema msiba huo utakuwa "private" kwa familia tu.

Kwa upande mwingine Mbowe anatoka kuendesha mikutano ya kisiasa. Hapa ni funzo kwa wafuasi wa CHADEMA ambao wanakuwa wepesi kuhamasika kufanya ukorofi. Wanahamashishwa kupuyanga mabarabarani, mkipigwa na kuchakaa mwamba atakuwa anawaangalia kwa mbali akichekea tumboni

Mwanasiasa akikwambia kumekucha toka nje uhakikisha. Amkeni mabavicha!
Wewe ni mpumbavu, usilete ujinga kwenye misiba, mjinga sana
 
Kama nikweli alichokisema basi yuko sawa...harusi, kumbi za aina yoyote na mikusanyiko isiyo ya lazima mama apige marufuku...akifanya hivi, maambukizi/vifo vitapungua.
 
Ndugu zangu,

Mbowe amewataka wananchi kutohudhuria msiba na mazishi ya Kaka yake ili kuepuka maambukizi ya ugonjwa wa covid-19.Amesema msiba huo utakuwa "private" kwa familia tu.

Kwa upande mwingine Mbowe anatoka kuendesha mikutano ya kisiasa. Hapa ni funzo kwa wafuasi wa CHADEMA ambao wanakuwa wepesi kuhamasika kufanya ukorofi. Wanahamashishwa kupuyanga mabarabarani, mkipigwa na kuchakaa mwamba atakuwa anawaangalia kwa mbali akichekea tumboni

Mwanasiasa akikwambia kumekucha toka nje uhakikisha. Amkeni mabavicha!
Covid ilisepa nae
IMG_20210409_074341.jpeg
 
Back
Top Bottom