#COVID19 Mbowe awataka wananchi wasihudhurie msiba wa Kaka yake kuepuka maambukizi ya COVID-19

#COVID19 Mbowe awataka wananchi wasihudhurie msiba wa Kaka yake kuepuka maambukizi ya COVID-19

Kamanda Mbowe anakula kodi zetu maneno yake tunayafatilia kama mnavyomshupalia Mhe.Rais Samia
Mkuu Wakudadavua nafikiri una kitu fulani binafsi na Mbowe. Ama unamhusudu mno ijapokuwa aliwahi kukuumiza kihisia, ama la sivyo una mpenda kwa kificho cha "sitaki nataka" ili uweze kusikilizia mapigo. Maana, mhh! Si bure.
 
Kamanda Mbowe anakula kodi zetu maneno yake tunayafatilia kama mnavyomshupalia Mhe.Rais Samia
Lakini ulitakiwa useme ukweli. Mbowe kasema kaka yake amefariki kwa corona. Mbona hilo hujasema?
Kasema kutokana na hali hiyo ni wanafamilia wachache tena ndugu wa karibu watahudhuria kwa tahadhari, mbona hujasema hilo? Acha roho mbaya kama shetani.
 
Sasa anavyosema Chadema wataitisha maandamano watapata kwanza chanjo?
Zombie boy toka mwishoni 2015 hadi March 16 2021 huonekani jamvini licha ya thread nyingi za Chadema na Mbowe. Ni nini kimekufanya sasa hivi uwe active wewe mdini, mkabila na mkanda??????!!
 
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amekiri kuwa mwendazake kaka yake Charles Mbowe amefariki kwa ugonjwa wa Corona
20210708_205429.jpg
 
Back
Top Bottom