DAVSON
Member
- Sep 27, 2012
- 46
- 27
Ndugu zangu,
Mbowe amewataka wananchi kutohudhuria msiba na mazishi ya Kaka yake ili kuepuka maambukizi ya ugonjwa wa covid-19.Amesema msiba huo utakuwa "private" kwa familia tu.
Kwa upande mwingine Mbowe anatoka kuendesha mikutano ya kisiasa. Hapa ni funzo kwa wafuasi wa CHADEMA ambao wanakuwa wepesi kuhamasika kufanya ukorofi. Wanahamashishwa kupuyanga mabarabarani, mkipigwa na kuchakaa mwamba atakuwa anawaangalia kwa mbali akichekea tumboni
Pia soma > TANZIA - Kaka wa Freeman Mbowe, Charles Mbowe afariki Dunia
Mwanasiasa akikwambia kumekucha toka nje uhakikisha. Amkeni mabavicha!
Juzi alikuwa anafanya mikutano anashikana mikono kwenye shwrehe ya bawacha leo anasema tena wasifike kwenye msiba coz ya coranona mbona hii ni double standardNdugu zangu,